Mawazo yenu wakuu, yaani nataka tu kuweka security kwenye Jina la biashara yangu hapo baadae ntakapo ianza rasmi.
Lakin nmeona moja ya vitu vinavyohitajika ili kusajili jina la biashara ni TIN namba. Sasa nahofia naweza kuingia kwenye sakata la kodi ya mapato mapema wakat biashara bado...
Kwa mfano nafungua kitabu kwenye laptop nisome, dakika chache nasikia usingizi, mikishika simu nipoteze usingizi, namaliza masaa bila kusinzia, ipi trick ya ku win hii hali ili niwe productive?
Nataka nitengenez account kama 20 hivi za wanunuaji wa bidhaa wa fiverr, ntakuwa nalipia kupitia visa hizi za mpesa/ Airtel.
Nataka niwe nanunua bidhaa zangu mwenyewe halafu najipongeza kwamba natoa huduma nzuri ili nijenge jina.
Ntakuwa nacheza na Ip address tofauti kwa kila browser tofauti...
Whatsupp
Nina PC yaina ya Lenovo Thinkcentre ilianza kuleta error ya blue screen siku kama 4 zilizopita. Ilikuwa kwa siku inaweza restart na kunonesha blescreen halafu ikarudi normal na isirudie tena.
Mwanzo niliona kawaida kwasababu hizi Windows 10 ishu ya bluescreen ni very common, so...
Wadau nisipoteze muda wenu, nauliza nje ya mkoa wa Dar Es Salaam ni mtandao wa kampuni ipi ya intaneti/simu ambao naweza kutumia kuangalia netflix au huduma za streaming kwenye smart tv hasa tulio wilayani, kwa jiji la Dar Es Salaam najua Zuku ndio wana unafuu kiasi bahati mbaya wilayani hatuna...
Wadau nisipoteze muda wenu, nauliza nje ya mkoa wa Dar Es Salaam ni mtandao wa kampuni ipi ya intaneti/simu ambao naweza kutumia kuangalia netflix au huduma za streaming kwenye smart tv hasa tulio wilayani.
Kwa jiji la Dar Es Salaam najua Zuku ndio wana unafuu kiasi bahati mbaya wilayani hatuna...
Hello watu kazi.
Naombeni msaada nawezaje kufanya group call ya WhatsApp kwa participants zaidi 30? Nina group kubwa la wajasiriamali sometimes tunahitaji kufanya mjadala, tunashindwa kwa sababu ya limit ya paricipants
Habari wakuu, huduma ya online copy haipo katika website ya nida ila kuna wataalam huwa wanauwezo wa kuzipata. Hivi ujanja gani wa kiteknolojia hutumika?
Habari zenu wakuu
Kwa budget ya 350K naweza pata simu aina gani mpya madukani?. Pia naomba kujuzwa specifications zake kama RAM, storage, battery life, pamoja na anroid version.
Habari wadau,
Mimi hata sitaki maneno meng in short ni kwamba nina kaz kubwa nataka kuprint ila uwezo wa kumudu wino wa laki 7 sina naombeni msaada wapi naweza kupata wino fake
Natanguliza shukrani
Habarin wanajf Mimi ni muitim wa kidato Cha sita kwa combination ya HGL baada ya matokeo kutoka nimepata division 3 ya 13 yaani
History-D
Geography-D
E language-E
GS-S
Je, kutokana na ufaulu wangu naweza kuapply chuo gan? Na coz ipi?
Naomben msaada wenu tafadhari
Wakuu nimepata fursa ya biashara ya kuuza Mkaa katika nchi wanazozungumza Kiarabu Egypt, Oman, Bahrain, Kingdom of Saudi Arabia, UAE na Qatar. Ili kurahisisha mawasiliano nimeona nijifunze lugha pendwa.
Wapi naweza kujifunza kwa Dar es Salaam? Gharama sio tatizo. **Walimu wawe professional...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.