Naom,ba kuuliza ni jinsi gani watu wanaandika mawazo yao na kufanikiwa kupata udhamini kutoka selikalini au makampuni binafsi na kufadhiliwa ili kuendeleza au kufanya yale m,awazo alioyawakilisha kwa mfano mimi naitaji kutafuta udhamini wa kutengeneza application au system ambayo inaweza kua...
Wakulu wa nchito,
Naomba anaejua wapi kwa hapa Nairobi naweza angalia Derby ya Simba na Yanga anifahamishe hasa pande hizi za Westland maana wiki ya Derby imenikuta huku bila kutarajia.
Natanguliza shukrani
Nataka kujua fani ya digital printing kwa ukubwa zaidi nataka niprinti mifuko mabango na vingine vingi. Je ni wapi wanafundisha kozi hii na ni sh ngapi?
Najaribu kufanya research ya kuangalia kati ya Aliexpress, Kikuu au Alibaba App ambayo ina uhakika na wanaweza kuniletea bidhaa kwa jina ninalotaka mimi.
Naomba msaada.
Katika upokezi wake wa Ukatibu Mwenezi Makonda amesema ataenda kwa Chongolo, Dr Mwinyi na pamoja na viongozi wa bunge la Tanzania kuomba mawazo yao wamwambie wanataka Mwenezi wa namna gani.
Akisema yeye anaweza kuwa mwenezi wa aina yoyote yule wanayemtaka, mnyenyekevu au mkorofi.
Naweza kubadilisha jaman form four nlipata iv geo c hist c bio c kisw c eng c civs D chem d phys D MATH F naomben kujuzwa. Naombe kujuzwa kuhusu kubadili kozi maana ngazi ya chet nmesoma human resource naweza badili ngazi ya diploma kusoma bussness administration?
Salaam!
Nakumbuka kuna msemo unasema usifanye au chukua maamuzi katika hali 3. Hasira, furaha na huzuni. Juzi ilinitokea moja ya tukio ambalo limenifanya niwe na hasira hadi hivi leo. Naomba nijue unawezaje kufanya maamuzi ukiwa katika furaha au huzuni? Unaweza kujizuia?
Wakuu habari,
Natumai kuna wajuzi na wenye uzoefu na mji wa kahama kwenye eneo la ujasiriamali hapa, nina ichi kiasi cha laki nane ambacho natamani kisikae kizalishe chochote kitu ili nitanue wigo wa mapato yangu ata kwa kidogo.
Naomba mawazo yenu wakuu.
Asante
Wakuu, hivi kisheria hii imekaaje!? Kuna uwezekano wa kuwafungulia shauri mahakanani hawa watoa Huduma kama Vodacom Tanzania kwa tatizo la kuchelewesha muamala wangu wa MUHIMU!?
Haya makampuni yamekuwa yakifanya kazi kwa mazoea sana... na kufanya wanachojisikia...
Hivi hakuna sheria ya wajibu...
Nina dogo langu kamaliza diploma in civil engineering (DIT) mwaka 2022 hapo tu, ana overall GPA ya 2.8, lakini GPA yake ya mwaka wa mwisho ni 3.1.
Sasa swali langu ni kwamba je, TCU wanaangalia overall GPA ya miaka yote mitatu ya diploma aliosoma au ya mwaka wa mwisho?
Maana siku za dirisha...
Huwa napenda sana kucheza game ya mpira kwenye playstation, x box na pc kwasababu mambo ni chap chap, ukiwasha game waweza kuchagua timu unayotaka unazama uwanjani kulisakata kabumbu.
Kwenye game za simu nimeshusha dls na fifa naona ni mpaka ujenge vikosi, huo muda sina kwakweli, hii kitu ipo...
Naomba kuuliza naweza kupata hotel au lodge nzuri na yenye usalama maeneo ya manzese isiyosidi 25k , nataka kukaa siku tano bajet yangu ni hiyo.
Natokea Mbeya nakuja kuleta ndizi mabibo sokoni.
Habari za muda huu ndugu zangu wana JamiiForum, naomba niende moja kwa mija kwenye mada, nataka kuandaa workstation kama hii nyumbani kwangu, na mimi sio mjuzi sana wa mambo ya mitandao ila napenda sana kufanya kazi online, mpaka sasa nimesha nunua monitor mbili 27inch HP, nina computer (laptop...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.