Salaam,
Wakuu, naomba muongozo wa uzoefu kwenu.
Soko lipi nitapata bidhaa kama Mihogi, Viazi(vya aina zote ), Magimbi......etc.
Vipimo vikoje kwa kila zao.
NB; Nahitaji kwa ajiri ya kuuza rejareja gengeni.
Nawasilisha.
Habari wakuu, ni wapi Tanzania hii naweza kupata viatu / boots za Salomon original, kuna vya mtumba madukani, ni original kabisa lakini shida vinakuwa vimechakaa. Nataka kiatu kipya.
Habari wakuu! Nilikuwa nafanya kazi mkoa wa kusini Songea ajira ya mkataba wa muda baada ya mkataba kuisha nilienda kuulizia taratibu za kufungua madai wakaniambia mimi bado kijana nitapata kazi nitaendelea kuchangia..
Imepita almost miaka miwili nikiwa Sina kazi nikakumbuka Kuna hela nilikuwa...
Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA- Bara, Tundu Lissu amsema iwacha CHADEMA itaacha misingi yake ailiyomfanya ajiunge na chama hicho basi ataondoka katika chama hicho na sio dhambi kufanya kuvyo kwani Chama cha Siasa sio mama yake wa dini yake
Akizungumza kupitia Mtandao wa Clubhouse amesema "Mwalimu...
Habari wana JF, Mimi ni mwanachuo wa diploma mwaka wa pili nilikuwa naulizia kwa wazoefu kuwa naweza kupata scholarship ya kusoma nje ya nchi kusomea bachelor degree na kama ni ndio, vigezo vyake na sites za ku'apply ni zipi?
Nina rafiki yangumambo yamemkalia kombo,anataka kuigeuza altezza yake kuwa bolt.
Lakini kwa injini iliyomo hawezi kupata faida,je anaweza kuweka injini ya IST?
Is it compatible??
Habarini wote, naomba kujua ni maeneo gani kwa Moshi naweza kufungua duka la vifaa vya ujenzi, pia mwenye pia anaeweza nisaidia kupata na fremu itakuwa poa..
Habari za weekend wakuu.
Swali langu ni kama heading isemavyo.
Na Mimi natamani nipate ajira niachane na huu ujobless, maisha magumu umri unaenda, wachumba hawanitaki kisa dough.
mfano wa maswali.
1. What do you understand by the term security as applied in Information Technology (IT)?
2...
Habari wanajamii, mimi ni kijana wa kike natafuta kaz za ndani mshahara angalau uwe laki, naweza kufanya kaz zote za ndani na kutunza watoto pia. Ni mchapakaz na mwaminifu napatikana dar es salaam...
JD Vance aliwahi kumwambia Trump kuwa ni Mpumbavu na Mwendawazimu asiyefaa kuwa Rais wa Marekani ila Wamarekani kwa kutuonyesha kuwa Siasa siyo Chuki na Uadui Wiki hii Mgombea wa Republican Donald Trump kamteua huyo huyo JD Vance kuwa Mgombea Mwenza ikimaanisha kuwa akiwa Rais Jamaa ( JD Vance )...
Maafisa wa Polisi nchini Kenya wameingia katika mitaa mbalimbali ili kukabiliana na mamia ya waandamanaji katikati mwa jiji la Nairobi.
Waandamanaji hao wamedai lengo la maandamano hayo ni kutaka mageuzi yafanyike katika mfumo wa usimamizi wa rasilimali za umma, na haki kwa wenzao waliouawa...
Hello
Hapo zamani
Njaa nimewahi kulala zaidi ya mara moja.
Nimewahi kukosa mahali pa kulala.
Nimewahi kulala porini peke yangu.
Nimewahi kushikwa mjini kwa kosa la uzurulaji.
Nimewahi kukataliwa na mtu niliyemwamini kutia Saini fomu yangu ya kujiunga kidato cha 5.
N.k.
N.k
Baada ya miaka...
Samahan wakuu Kwa bahati mbaya Sana Jana nilikua nanunua vocha ya tigo Tsh 4000 kwenye crdb SIM bank sasa nikakosea nikajikiuta nmenunua vocha ya elfu 40000? Jeh naweza kubadilishiwa iwe tigo pesa.
Mwenye kufahamu naomba anisaidie ushauri naweza kweli kuirudisha iingie kuwa tigo pesa.
Kukua kiuchumi kuna kanuni zake. Na moja ya kanuni hizo ni kutokuwa na madeni yanayokuumiza.
Nimesikia hivi karibuni mtu mmoja anasema yeye bado anakopesheka na hivyo kusherehekea kwa bado ana sifa hiyo.
Je, kukopesheka ni suala la kushabihikia?
Asante
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.