Nimeshashuhudia wana Yanga SC wakijitokeza kwa nguvu zote kutetea kauli za kuwachafua na kuwatuhumu ila kwa hii ya mmoja wa shabiki na mwanachama wao hivi majuzi baada ya kutoka Suluhu na Club Africaine ya nchini Tunisia kusema kuwa Unbeaten Record yao na ushindi wao katika Ligi Kuu ya NBC ya...
Ni mambo ya ajabu kweli. Hawa waamuzi ni wa kiwango Cha chini sana, tena hawana ushawishi kabisa. Carrier ya waamuzi Kwa hapa nchini ni kizungumkuti.
.............
Mwamuzi wa mechi ya leo kati ya Simba SC na Yanga ameboronga sana kimaamuzi. Katoa kadi bila...
Wadau nawakaribisha ili tupeane kinachoendelea kwenye mech tajwa hapo juu.
Mchezo umemalizika: Kocha wa Ruvu Charles Mkwasa anasema timu yake haikustahili kupotez mchezo huu kwa kuwa walicheza vizuri lakini walizidiwa uzoefu na wachezaji wa Yanga.
90' Mchezo unaweza kumalizika muda wowote...
Ligi kuu huwa inasimama kupisha mechi za timu za taifa. Je! Wakati Augustine Okrah atakapokuwa anaiwakilisha Ghana itabidi ligi kuu Tanzania bara isimame?
Yanga wanaongoza kwa goli la freekick ya Djuma Shaban
37' Mayele anafunga goli murua baada ya kupiga chenga mabekibwa Mtibwa
Kipindi cha kwanza kimekamilika Yanga wanaongoza magoli 2-0.
MAPUMZIKO
81' Yanga wanamiliki mpiramuda mwingi
83' Kasi ya mchezo siyo kubwa, ni kama Mtibwa wameshakata...
Majira ya saa 1:00 usiku, mabingwa watetezi wa taji, Yanga SC watashuka dimbani kumenyana na Azam Fc katika muendelezo wa ligi kuu ya NBC.
Yanga itashuka dimbani kutafuta alama 3 huku Azam Fc nayo ikijaribu kutafuta alama 3 huku ikiwa haina kocha mkuu.
Mechi inategemewa kuwa ngumu na...
Ni weekend tena. NBC Premier League inaendelea ambapo Wagosi wa Kaya, Coastal Union watashuka dimbani kuwaalika Mabingwa watetezi wa taji, Yanga katika dimba la Sheikh Amri Abeid Kaluta jijini Arusha.
Mara ya mwisho timu hizo zilikutana katika dimba hilo mwezi wa saba mwaka huu katika mchezo wa...
Ikiwa ligi kuu bara alimaarufu NBC ikiwa imeanza jana tarehe 15 Agosti 2022. Hii ndio top 4 yangu kwa msimu wa 2022/2023.
1. Yanga SC
2. Simba SC
3. Singida BS FC
4. Azam FC
Tupia na yako tone
NB. Sina Usimba na Uyanga mimi.
Leo tena Mabigwa wa nchi, FA na Ngao ya jamii timu ya Yanga inaanza rasmi mbio za ubigwa wa ligi kuu Tanzania Bara.
Leo majira ya saa 10:00 jioni macho na masikio ya Watanzania yataelekea huko jijini Arusha, Yanga watakipiga na Polisi ya Tanzania
Mchezo huu huenda ukawa na ushindani mkubwa...
Bodi ya ligi Leo tarehe 12/8/2022 imefanya marekebisho ya kanuni ambayo ilikuwa inazitaka club za ligi kuu kutumia wachezaji nane wa kigeni kwenye mechi moja,
Ivyo kuanzia Sasa wachezaji 11 wa kigeni wataruhusiwa kuanza kwenye mechi moja.
Wachezaji wazawa wapambane la sivyo wataishia kusugua...
Aibu ya Jana inadhihirisha kuwa lig yetu imeshuka kiwanga na pia inatawaliwa na rushwa,kitendo Cha waamuz wetu kupewa hongo ili waipe Yanga ushindi ndio kimefanya watanzania tuzalilike hapo Jana. Maana haiwezekan bingwa halali apgwe na Tim ndogo namna hyo!!!
NDUGu WADAU Wa Soka la Tanzania...
NBC is the oldest serving bank in Tanzania with over five decades of experience. We offer a range of retail, business, corporate and investment banking, wealth management products and services.
Job Summary
Participate in an internship programme in order to maximise individual and organisational...
Hivi GRAPHICS wa YANGA SC hawezi fungua CHUO ili awape Darsa hawa wa vilabu Vidogo?
Nimecheka hapa naona watu wanasema kaiba ile sehemu ya kutembea na funguo, niwatoe ushamba tu kwamba Kile kitu kinaruhusiwa kabisa katika fani ya graphics na ni sehemu ya sheria za "Fair use policies" katika...
Kwa miaka ya ivi karibuni league kuu ya soka ya Tanzania imeongeza hamasa ya kutazamwa na baadhi ya wana habari wa michezo wa kubwa toka nje ya Tanzania.
Kwa kipekee kabisa mchango unaofanywa na hawa wafanyabiashara wakubwa kuingia ktk soka na kuweka pesa ktk vilabu ambavyo vina umri mkubwa...
Nianze kwa kumpongeza Bw. mdogo (Ali Kamwe) kwa kazi nzuri ya uchambuzi wa soka hasa ligi ya ndani ambayo amakekuwa akiifanya kwa usanifu wa hali ya juu kupitia kituo cha AZAM TV. Pamoja na umri wake kuwa mdogo, Bw mdogo ameonyesha sio tu ukomavu mkubwa wa akili anapochambua soka letu bali pia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.