Leo saa 10:00 jioni Simba SC itakuwa kibaruani kucheza dhidi ya Coastal Union katika dimba la Uhuru Dar es Salaam.
Ni mchezo wa raundi ya tatu ya NBC Premier League ambapo kila timu inahitaji alama tatu ili kujiweka katika nafasi nzuri kwenye msimamo wa ligi.
---
Kikosi cha Simba kinachoanza...
ipo hivi mimi ni mwalimu, mfanyabishara na mkulima , mimi ni mkopaji mzuri sana , nilikuwa na mkopo kupitia salary nilikopa 2019 NMB, nimekuwa na mkopo wa biashara nimekopa CRDB, kwa sasa nimemaliza deni nadaiwa na bodi tu ya mikopo, nina uhitaji tena wa pesa kama milioni mia moja tu.
Nipeni...
Habari wana-JF.
Mimi ni mpenzi mkubwa na mfuatiliaji wa soka ila ligi ya Tanzania ilinishinda kwa namna inavyoendeshwa kishkaji. No professionalism kama wanavyojinadi kwa kusaini mikataba kwa mbwembwe.
Ligi ya bongo sifuatilii maana sina hata timu ila leo nineona habari kuwa NBC wameongeza...
Katika uchunguzi wangu WA AWALI nimeanza kupata mashaka na umri sahihi wa huyu "Polepole" wa Yanga, Maxi Nzengeli. Kuna vitu kadhaa nimevichunguza vinavyonipa mashaka na umri wake sahihi. Nikiangalia mitandaoni wanasema huyu ni "mtoto" wa 2000, yaani eti ana miaka 23.
Kuna watu baada ya game...
Kesho tarehe 15 /08/2023 ligi Kuu ya mpira wa miguu Tanzania Bara inaanza rasmi msimu wake wa 2023/2024.
Ligi hii ilizinduliwa rasmi kwa mechi ya kilele kati ya Simba na Yanga tarehe 12/08/2023 ambapo timu ya mpira ya Simba ilishinda na kubeba Ngao ya jamii.
Huu hapo ni msimamo wa ligi hiyo...
Akili inakataa, kwa akili ya kawaida, si kila kinacholetwa na serikali ni lazima mtu akitii na kukipenda, Rais mwenyewe hawezi kukubalika na kila mtu, sembuse makosa ya kimkataba ya DPW?
Waliowahi kupinga ubinaifishwaji na uwekezaji kwenye miradi ya serikali, akiwepo Mwl JKN alijitokeza...
Haiwezekani kila mkikutana na Yanga SC mnarudia makosa yale yale yanayowagharimu na Kufungwa kila mkikutana.
Yaani Kocha mwenye Akili anaweza kumuweka Nje Kipa namba moja wa Timu aliyekuwa amekaa Benchini?
Hivi Wachezaji kama Kipre Jr, Amoah na Idi Nado ni wa kutoanza katika First Eleven ya...
Rais wa Yanga SC Injinia Hersi Said asipoachia ngazi Yanga SC yetu tunamroga ili nae ahamie huko Azam FC au kwa Simba SC alikowauzia Bernard Morrison aliyetutia sana Hasara Yanga SC katika Kesi yake.
Injinia Hersi Said tuachie Timu yetu.
Baada ya kuchambua kwa kina hizi timu za kibongo na sasa nimejiridhisha kuwa Bingwa wa NBC Premier League msimu wa 2023/2024 atakuwa timu ya Simba Sc, mpaka ligi NBC inafika ukingoni Simba Sc atamwacha Yanga Sc kwa zaidi ya point tano. ukumbuke huu uzi ligi ikishaanza na pale ligi itakapokwisha...
NDUGU WANAJAMVI ILI KUWEZA KUPATA LADHA YA KABUMBU VITU VIFUATAVYO LAZIMA VIFANYIE KAZI
Usajili wa wachezaji bora
Benchi la ufundi bora na lililokamilika
Maandalizi ya msimu/ pre season
Viwanja bora vya kuchezea mpira
Vifaa bora na vya kutosha vya kurushia matangazo kutoka kwa mdhamini...
Kudadadeki TFF andaeni kabisa Kombe la NBC kwa Msimu ujao wa 2023/2024 kwani kwa vyuma vitano hatari nilivyoviona Mwenyewe na ninavyowajua Uwezo wao mkubwa Uwanjani kuna Timu itabeba Vikombe vyoye vya Tanzania (hata hiki changu ambacho GENTAMIYCINE nanywea Uji wangu wa Ulezi, Mhogo, Karanga na...
Tayari baada tu ya Kumaliza Mechi yenu huko Mkoani Mbeya nimemsikia Mmoja wa Kiongozi wenu Said Swedi 'Scud' akifurahia na kutamba kuwa Msimu ujao wa Ligi Kuu Timu zitawakoma.
Said Swedi Scud ni mwana Yanga SC lialia tena ni Mwanachama kabisa na alishawahi pia kuwa Mchezaji ( hasa Mshambuliaji...
Leo ni mechi ya mwisho ya PlayOff kati ya Mashujaa na Mbeya City.
Mechi ipo live hapa Mbeya 0-0 Mashujaa. Mbeya City ipo kwenye hatihati ya kushuka daraja baada ya kula kichapo cha 3-1 huko Kigoma.
My Take
Waha njoeni hapa mbishane
Jamani ebu tufahamishane vizuri hapa wote tujue.
Dickson Job kapewa tuzo ya Beki Bora kwa Criteria gani?
Haya tuliyaona TMA na tuzo zao za CUBA, leo hii kwenye NBC mambo kama yanajirudia.
Hivi kwanini Bongo tunaishi kama gari bovu. Ada za usajili za wachezaji haziwekwi wazi, hata malipo viwanjani nayo magumashi kibao.
Haya tuwekeeni hapa kifungu cha kanuni ya bodi ya ligi kuhusu mfungaji bora.
Ahsanteni.
Msajili wa Hazina Bw Nehemiah Mchechu (wa tatu kushoto) akipokea mfano wa hundi yenye thamani ya Tsh 6 Bilion kutoka kwa Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya NBC Bw Theobald Sabi (Kushoto) ikiwa gawio la mwaka 2022 kwa Serikali ambayo inamiliki asilimia 30 ya hisa za benki hiyo. Wanaoshuhudia ni...
Mkuu wa Bidhaa za NBC, Abel Kaseko akiongea na waandishi wa habari wakati wa uzinduzi wa kampeni ya kampeni mpya inayojulikana kama “Shinda Mechi Zako na NBC”. Kampeni ya “Shinda Mechi Zako na NBC”, inalenga kuongeza thamani kwa wateja wa NBC na kukuza ukuaji wao wa kifedha na uchumi wa nchi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.