Match Day!
Simba SC Vs Namungo FC
⌚ 04:00pm
🏟️ Uhuru Stadium.
Namungo anakutana na mnyama aliyejeruhiwa.
Kikosi cha Simba kinachoanza dhidi ya Namungo
Kikosi cha Namungo Kinachoanza
All the Best Simba.
#Nguvumoja#
Mchezo umeanza
10' Simba wanaonekana kuwa na presha ya kutafuta matokeo...
Ni kivumbi tena, Kagera Sukari wakiwa wenyeji kuwakaribisha wajelajela wa Tanzania.
Hadi sasa Dakika ya 45 Wakata Miwa wanaongoza kwa goal 1 lililotupiwa na Chirwa Obrey kwa mkwaju wa penati, dhidi ya Prisons wakiwa na Sifuri
Azam FC inakutana na Namungo FC katika Uwanja wa Azam Complex unaomfanya Azam FC kuwa nyumbani
Huu ni mchezo wa mzunguko wa 7 wa Ligi Kuu Tanzania Bara. Na hapa chini ni baadhi ya taarifa za timu
1. Namungo wako katika mwendo mbaya wa ushindi 1 pekee katika mechi 10 (Ligi Kuu Bara)
2. Namungo...
Binafsi kama GENTAMYCINE sitoiangalia kwakuwa tayari Matokeo yake ninayo, ambapo Wakuja watafungwa Goli 3 au 4 au 5 na hata 6 kama wakilegea kwa Spray ya vyumbani na kwa Muamala uliofanyika kwa baadhi ya wachezaji iliyopitia kwa Mchezaji aliyeondolewa Timu hiyo na kwenda kwa Wakuja FC kutokana...
Kuwarejesha akina Makonda, Sabaya na Happy kwenye chama cha CCM kunaweza kubadilisha mwelekeo wa siasa nchini. Historia inatufundisha mengi kuhusu nguvu ya umoja katika kufanikisha malengo makubwa. Wakati mwingine, inachukua uamuzi wa busara na mageuzi ya kimkakati kuimarisha msimamo wa chama...
Inauma sana Kiukweli yaani Wenzako wakiwa Wanaongozwa na Ving'ora kwenda Estadio Du Lupaso Wengine wanakatiza tu Mitaani, Majarubani huku Wakikanyaga Nyanya za Watu, wakigonga Makopo ya Mkaa na kupigia Kelele Wakazi wakiitafuta Mbande Mbagala Kucheza na Waliofeli Wenzao.
ANGALIZO
Ukijijua tu...
Beki huyu kisiki ndiyo litmus paper ya nini na vipi beki wa kulia anavyotakiwa acheze
Anakaba,ana dribble,anafanya interceptions za mashambulizi ya wapinzani,anashuka na kupanda kirahisi kwenye flank yake bila kumhatarisha kipa wake.
Yao Yao ndo SI Unit ya beki wa kulia aweje...
Match Day
📅 October 8, 2023.
⚽ NBC Premier League
Singida Fountain Gate vs Simba Sc
🏟️ CCM Liti, Singida.
⏰ 4:00Pm.
Haya, kumekucha vyema.
Baada ya michezo ya jana ya ligi kuu Tanzania Bara kupigwa,
Tukishuhudia Yanga kutoa kipigo kwa Geita Gold cha 3-0
Huku Ihefu akizamishwa na KMC kwa 1 -...
Haya!!
Baada ya mjadala mzito wa Makundi,
Turudi kwenye ligi yetu pendwa, inayojizolea mashabiki wengi kila kukicha.
Game Day. 06.10.2023
FT: Tabora FC 2 - 1 Dodoma Jiji.
Next Match, ni mechi ya kisasi.
Coastal Union Vs Azam
Muda ni saa Moja jioni.
Tukutane Saa 1:00
Azam.
Tafadhali naomba mwenye Jedwali la Msimamo wa Ligi Kuu yetu ya NBC aniwekee hapa tafadhali ili tujikumbushe na tusisahau au tusijisahaulishe kwa Makusudi.
Kumekucha tena,
Kivumbi leo. Uwanja wa Sokoine Mbeya.
Simba ya Dar es Salaam itaumana na Tanzania Prison ya Mbeya.
Muda ni Saa 10 Jioni kwa Saa za Afrika Mashariki.
Kikosi cha Simba kinachoanza dhidi ya Tanzania Prisons, Oktoba 5, 2023
Updates.
Mchezo umenza
12' Tanzania Prisons Wanaongoza...
Sijui ni nani tu huwa anawaandikia hayo maelezo!
Whoever that person is, he or she ought to get a pay cut.
The grammatical sloppiness in the above screen grab is blasphemous.
“After you have been created”…….seriously NBC? Fukumean by that?
Improper use of articles.
How does such a text...
Baada ya Mechi hizi za raundi ya tatu za Ligi ya NBC.
Imejidhihirisha Jean Othos Baleke ndiye mchezaji Hatari Zaidi kwenye safu ya Ushambuliaji Kwa Sasa Nchini Tanzania.
Sio kwamba wengine hawapo, Ila Yeye ndiye Kiumbe Katili zaidi ndani ya 18 akiwa na mpira ukilinganisha na Wengine kwenye...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.