🥇 KIPA namba moja wa Yanga, Djigui Diarra amefikisha clean sheet 16 katika Ligi Kuu na zikiwa zimebaki mechi tatu kwa kila timu ili kukamilisha msimu tayari ametangazwa Kipa Bora wa msimu kutoka na na kuwa na clean sheet 16 hadi sasa ambazo haziwezi kufikiwa na kipa yeyote. 🧤
Mechi ni saa 1 usiku
Kuna mabadiliko makubwa kwenye kikosi cha leo na kile cha mwisho kilichocheza kule Morroco
Pamoja na hoja ya kuwapumzisha wachezaji lakini mtu kama Moses Phiri kukosekana hata benchi kunaongeza maswali.
Kibu D naye mechi hii kaikosa.
LIGI KUU: SIMBA YASHIKWA, YAZUIWA...
Yanga anaenda kudraw na Singida, Simba anashinda na Namungo zinabaki point 3, then Yanga anashinda na Dodoma anakuja kudraw na Mbeya city.
Simba anashinda na Ruvu shooting, Yanga anadraw tena na Prison, Simba huyo kileleni, mark my words nimekaa pale.
JKT TANZANIA WAPANDA LIGI KUU
Ni Rasmi Sasa Timu ya Maafande wa JKT Tanzania kutoka Mkoani Pwani imekuwa Timu ya kwanza Kutoka Ligi ya Championship Kupanda Ligi Kuu Msimu ujao 2023/2024 Baada ya Kuichapa Timu ya African Sports Magoli Mawili Kwa Bila kwenye Uwanja wa Mkwakwani Jijini Tanga na...
Mwanamuziki nguli wa Bongofleva, Lady Jay Dee aliwahi kuimba kibao maarufu " Siku hazigandi " alikuwa sahihi. Lile pambano lililokuwa linasubiriwa kwa hamu hatimae ndio linapigwa leo, ama kweli siku hazigandi.
Ndio ni Kariakoo Derby, ni Simba Sc Vs Yanga Sc katika dimba la Benjamin Mkapa jijini...
Majira ya Saa 10:00 Alasiri kwa masaa ya Afrika Mashariki, Ihefu Fc itawakaribisha Simba Sc katika dimba lao la Highland Estates katika muendelezo wa Ligi Kuu ya NBC.
Habari kubwa leo, nani wa kumzuia Jean Baleke ambaye amekuwa hazuiliki sasa, kwa taarifa yako Baleke kwasasa anafunga kila...
Habari wakuu,
Nikiwa kama mfanyabiashara ninayeanza kujikita katika hii tasnia huwa kuna hali inanijia kwa asilimia kubwa vitu ninavyokutana navyo huwa nahusisha sana na biashara.
Katika pilika zangu nikajikuta nachukia sana matangazo wanayofanya NBC kwenye udhamini wa ligi yaani hayaakisi na...
KINARA wa mabao wa Ligi Kuu Bara kwa msimu uliopita, George Mpole anayekipiga FC Lupopo ya DR Congo kwa sasa amesema kutinga kwa Simba katika hatua ya robo fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika imeiheshimisha Tanzania na kutoa fursa kwa vijana kupata nafasi zaidi za kutoka nje ya nchi.
Simba...
Ni vigezo gani hutumika kuchagua kocha bora wa mwezi kwa ligi yetu pendwa ya NBC?
Rekodi zinaonyesha kocha wa Yanga amekuwa na muendelezo bora kuliko makocha wote wa ligi kuu kwenye kila mechi ana 90% za kushinda .
Lakini ni miezi kadhaa tuzo zinatilewa ila anashindwa/anakosa i
Nabi...
Mchezo ni saa 16:00Vikosi vyote kwa timu mbili vimetolewa
Timu zinaingia uwanjani
Mchezo unaanza
1' Phiri anafika langoni mwa Mtibwa anashindwa kutumia nafasi vizuri
3'Goooooooooo
Jean Baleke anafunga goli kwa kwanza kwa Simba licha ya kubanwa na walinzi
7' Goooooooooo
Baleke anafunga goli la...
Nimelinganisha huduma ya simbanking ya NBC haina ubora unaotakiwa, Simbanking ya CRDB kwani ukituma pesa inakuonyesha jina la unaempelekea na hata ukitumiwa pesa benki inakuonyesha aliyekutumia tofauti na NBC.
Mimi nina account kote, hebu NBC mbadilike kuboresha huduma yenu, tunapoteza pesa...
Karibu kwa updates za moja kwa moja kutoka uwanja wa Hayati Benjamin William Mkapa.🏟
Mpira utaanza saa moja kamili usiku, saa za Afrika Mashariki.
Karibu.
00 refa anaanzisha mpira kwa kupuliza filimbi,
02 Goool Azam wanapata goli Prince Dube anaunyamazisha mji wa Dar, Simba kimyaaaa
20 Simba...
Salam kwa JF member wote
IKUMBUKWE
*Sina upendeleo na klab yoyote
*Si mtaalam sana wa mpira wa miguu
*Naandika haya kwa mtizamo wangu kutokana na kufuatilia mpira wa miguu toka 2016 mpaka leo 2023 kwa kiasi flani
YANGA WANAMSIMU MZURI TOKA 2022 NA UZURI HUO UNAWEZA KUFIKA 2025
Haya nayaandika...
Hapa wameshajiharibia. Nimefurahi sana maana wanaenda mfukuza huyu kocha muda si mrefu. Atabaki tena Mgunda na Matola. Ndo nawaaambia hivyo.
Wachezaji watamnyima ushirikiano. Atabaki peke yake. Wachezaji wengi ni Royal kwa Matola na Mgunda kwa baadhi. Hawajapenda kocha mpya watamuaibisha mbaya.
Je, Yanga itaendeleza ubabe wake wa kutokufungwa? Ama Ihefu watavunja mwiko?
Tuungane pamoja katika huu uzi...
Kikosi cha wenyeji, Ihefu SC
Kikosi cha wageni, Yanga.
UPDATE: MANENO YA MAKOCHA KABLA YA MECHI
"Mechi ya leo inaweza kuwa ni mechi ngumu kuliko watu wanavyofikiria" Cedrick...
Baada ya vibe la kombe la dunia huku Argentina akiwa haamini macho yake, ligi kuu Tanzania Bara leo inarejea. Kuwa nami nikujuze yanayojiri kutoka kwenye dimba la Liti mkoani Singida.
Dodoma Jiji wamejigamba leo wanaenda kuuvunja mwiko na hamna mtu atasimama dakika ya 46 kushangilia unbeaten...
14:00 Ihefu FC vs Polisi Tanzania
16:00 Mbeya City vs Kagera Sugar
19:00 Yanga SC vs Singida Big Stars
✍ BIG MATCH: Wakulima wa Alizeti, Singida Big Stars watakuwa wageni wa Mabingwa watetezi Yanga SC katika dimba la Benjamin Mkapa majira ya saa 1:00 jioni.
✍ Baada ya vipigo vitatu mfululizo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.