nchi zilizoendelea

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Ajali za mwisho wa mwaka, Je ni Africa peke yake au hata nchi zilizoendelea ? Je ni dhana ya ulozi au Uzembe tuu ? Mbona watu wanapotea kizembe hivi ?

    Salaam Case study: Tanzania, Hizi ni coache tu, kagera 15, Mikese 18, hapo bado majeruhi watakao kuwa vilema wa maisha, Sina data kamili ila kuanzia mwezi wa 10 mpaka huu wa 12 inawezekana death toll kwenye ajari pekee inafika 50, hapo bado sijazungumzia pale songwe mlima mbalizi nasikia tena...
  2. Ahadi ya msaada wa fedha kutoka nchi zilizoendelea kwa nchi zinazoendelea haitoshelezi mahitaji ya kukabiliana na mabadiliko ya tabianchi

    Mkutano wa 29 wa Umoja wa Mataifa wa Kukabiliana na Mabadiliko ya Tabianchi (COP29) umefungwa hivi karibuni huko Baku, mji mkuu wa Azerbaijan, na nchi mbalimbali zimefikia makubaliano kwamba, nchi zilizoendelea zitatoa angalau dola bilioni 300 za Kimarekani kila mwaka hadi mwaka 2035, ili...
  3. Nchi zilizoendelea Hasa marekani na ulaya wanachukua rasilimali Afrika na huku wakituambia ni nchi masikini Duniani. Tujitafakari

    Kuanzia Congo , Tanzania, Kenya , South Africa, Namibia , Zambia , Botswana, Zimbabwe na nchi nyingine nyingi za Africa makampuni kutoka ulaya na Marekani wanachota rasilimali za afrika ikiwa ni dhahabu , almas, trophies, shaba , coltan , mbao n.k Wakati huo huo Afrika imetengwa kama Moja...
  4. Kwanini Tanzania haiko tayari kunakili mfumo wa maendeleo ambao tayari umeonekana kufanikiwa katika nchi zilizoendelea kama vile Ulaya na Amerika/US?

    Huwa najiuliza sana hili swali lakini sipati picha majibu kabisa.. Mfumo wa utawala, sheria, elimu, miundo mbinu, jamii, n.k. ni mzuri sana ukilinganisha na nchi ya Tanzania. Kwanini?
  5. Mambo ambayo wenzetu katika nchi zilizopiga hatua kiuchumi, kijamii na kisiasa tunaweza kujifunza

    Wakuu Salaam, Nitakuwa nilkileta hapa mfululizo wa mambo muhimu ambayo wenzetu katika nchi zilizopiga hatua huko Ulaya ya Magharibi tunaweza kupata la kujifunza. Kwa leo nitajikita kwenye angle ya usafirishaji. Bila kupoteza muda na kukuchosha mpenzi msomaji naanza kuyataja mambo hayo kama...
  6. F

    Mpango wa kupiga marufuku matumizi ya petrol na dizel unaandaliwa na nchi zilizoendelea. Tuwe makini na miradi katika nishati hizi

    Niliwahi kutahadharisha miaka takriban minne iliyopita kuwa, siku za petrol and dizel zinakwisha na hivyo tufikirie vizuri zaidi kuhusu miradi mikubwa ya petrol and dizel. Nililenga moja kwa moja mradi mkubwa wa bomba la mafuta kutoka Hoima nchini Uganda hadi Tanga nchini Tanzania. Technologia...
  7. Nchi zilizoendelea biashara ya chakula ni kubwa sana na ndio zinalipa sana kwa watafutaji

    Tuliosafiri ndio tunafahamu kuhusu upatikanaji wa chakula nchi za nje.mfano tu ukifika china ,japan,india,usa,south africa na n.k utaona sehemu nyingi biashara ya chakula ilivyopamba moto. Biashara ya chakula kwa nchi zilizoendelea ni zakutofautiana sana ili kila mtu kumudu chakula anachoweza...
  8. R

    Nchi zilizoendelea kiongozi akituhumiwa kwa rushwa anajiuzulu, Tanzania viongozi wanakamatwa na vidhibiti lakini hawatishiki hadi watumbuliwe

    Viongozi wa Tanzania wanakiburi sana, wanakamatwa kwa rushwa na tuhuma nyingine za maadili lakini uwezi kusikia wamejiuzulu. Wanasubiri hadi Mh. Rais awatumbue jambo ambalo ni dharau kwa mamlaka. Kujiuzulu ni Ishara ya kuomba radhi na kukaa pembeni ni Ishara ya kufungua milango usafishwe au...
  9. Nini tofauti ya trade deals zinazofanywa na nchi za kiafrika ukilinganisha na zile zinazofanywa na nchi zilizoendelea

    Huwa sielewi. Rish Sunak asili yake ni India, nchi yake ya UK imekuwa kwenye negotiation ya trade deal na India kwa miezi mpaka wanafika sehemu wanaweka pause then wanaendelea na sometime prime minister anafanya visit na anarudi patupu. Marekani ili push UK ijiondoe EU kwamba trade deal itakuwa...
  10. J

    SoC03 Changamoto za Uchumi wa Kati

    UTANGULIZI. Uchumi wa kati ni hali ya nchi kupiga hatua ya maendeleo ya kijamii, kiuchumi, kisiasa na kitamaduni,hivyo nchi huweza kujiimarisha yenyewe katika sekta muhimu za uzalishaji mali Kama viwanda,Kilimo, biashara na uchumi na kuongeza pato la nchi kwa haraka,hivyo kuachana na hali ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…