Espoir_jnr
JF-Expert Member
- Aug 8, 2020
- 604
- 2,166
Wana-JF salamu,
Nimekuwa nikitafakari kuhusu diplomasia yetu ya kimataifa na nguvu ya pasipoti yetu.
Swali langu kuu ni: Je, nchi mbili zinaweza kukubaliana kufuta kabisa masharti ya Visa (Bilateral Visa Waiver Agreement) ili wananchi wake watembee kwa uhuru?
Kwa mfano, ikitokea Tanzania na Japan zikaingia makubaliano ya namna hii:
Naomba tupeane mtazamo na uzoefu wa kidiplomasia hapa. Karibuni kwa mjadala.

- Watanzania wapate ruhusa ya kuingia Japan bila visa, na Wajapani nao waingie Tanzania bila visa.
- Lengo likiwa ni kukuza biashara, utalii, na uwekezaji.