Mshangao; KFC ni kwa ajili ya masikini nchi zilizoendelea ila Africa ni kwa ajili ya matajiri!

Mshangao; KFC ni kwa ajili ya masikini nchi zilizoendelea ila Africa ni kwa ajili ya matajiri!

Yoda

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2018
Posts
64,960
Reaction score
111,265
Wadau wahoji na kushanga jinsi migahawa ya KFC imekuwa ni kwa ajili ya wenye kipato au matajiri nchi nyingi za Africa wakati nchi zilizoendea huko duniani kuanzia Marekani, Canada, Ulaya, Japan n.k KFC ni kwa ajili ya masikini au watu wenye kipato cha chini!

Wadada wa mjini wanavyopenda kuku wa KFC sijui kama wataelewa hili suala.
20260318_072337.jpg
 
Wazungu wakishaandika viingereza vyao tunawaamini mbaya KFC package ya lishe yao mbona ipo juu maskini gani wa Kiafrika atanunua lishe ya mlo mmoja rand 300 kwa familia sawa na Tsh 50,000 ya Kitanzania..
Tena hizi bei ni za hapa kwa Kaburu huko itakua zaidi ya hapa.
 
Africa Kusini kuna masikini wengi choka mbaya
 
Back
Top Bottom