Mshangao; KFC ni kwa ajili ya masikini nchi zilizoendelea ila Africa ni kwa ajili ya matajiri!

Mshangao; KFC ni kwa ajili ya masikini nchi zilizoendelea ila Africa ni kwa ajili ya matajiri!

SA wana chicken Licken nyingi sana chakula ni rand 50 hao KFC wasiwadanganye ni daraja lao Wazungu maana ndio wanapanga foleni drive in through na magari yao na sehemu walipo hao ni maeneo ya matajiri sio wachimba chumvi kuna masikini gani ataishi greenstone,Kensington au East Gate..
 
Tumeshafahamu unaishi South Africa.
 
Wadau wahoji na kushanga jinsi migahawa ya KFC imekuwa ni kwa ajili ya wenye kipato au matajiri nchi nyingi za Africa wakati nchi zilizoendea huko duniani kuanzia Marekani, Canada, Ulaya, Japan n.k KFC ni kwa ajili ya masikini au watu wenye kipato cha chini!

Wadada wa mjini wanavyopenda kuku wa KFC sijui kama wataelewa hili suala.
View attachment 3559358
Bei ya KFC Bongo maskini wataweza? BTW hata Africa wateja wengi wa KFC ni middle class ambao hata nchi zilizoendelea ni walaji wazuri wa KFC McDonalds etc
 
Tatizo mnaokoteza vitu na kuandika tu.
China kuna KFC 12,000
Dunia nzima zipo KFC 32,000
Ziko katika nchi 145
kwa Mwaka mapato ni Tril 81
Faida ni Tril 4
Ajira 800,000

Je China ni masikini?
Sielewi ulichoandika kama umeelewa hata hoja kwenye uzi
 
Labda hawa wenzetu wanawakuta akina Mo na watoto wa SSB kwemye migahawa ya KFC.
Kwani Mo na SSB ndio matajiri tu bongo?! Hao ni ultra rich individuals lakini hata hapo mtaani kwenu Kivule kuna matajiri baadhi wenye vigari viwili vitatu mnaishi nao
 
Wadau wahoji na kushanga jinsi migahawa ya KFC imekuwa ni kwa ajili ya wenye kipato au matajiri nchi nyingi za Africa wakati nchi zilizoendea huko duniani kuanzia Marekani, Canada, Ulaya, Japan n.k KFC ni kwa ajili ya masikini au watu wenye kipato cha chini!

Wadada wa mjini wanavyopenda kuku wa KFC sijui kama wataelewa hili suala.
View attachment 3559358
Labda useme middle income ila Matajiri wa Tanzania na KFC wapi na wapi? Hata pa kukaa hakuna pazuri, kwengine hata parking hakuna.

Wateja wengi wa KFC hata Tanzania ni watu wa kawaida, MTU anayeweza Ku Afford meal ya 10,000 mpaka 20,000.
 
Kwani Mo na SSB ndio matajiri tu bongo?! Hao ni ultra rich individuals lakini hata hapo mtaani kwenu Kivule kuna matajiri baadhi mnaishi nao
Sawa. Ni hivi bei ya KFC bongo masikini hawaiwezi. Hapa Bongo walaji KFC wengi ni vijana na watoto middle class ambao wewe unawaita matajiri. Hata huko nchi zilizoendelea walaji wakuu wa KFC ni middle class na wa chini kwasababu kwao ni cheap and fast food.
 
Back
Top Bottom