Mshangao; KFC ni kwa ajili ya masikini nchi zilizoendelea ila Africa ni kwa ajili ya matajiri!

Mshangao; KFC ni kwa ajili ya masikini nchi zilizoendelea ila Africa ni kwa ajili ya matajiri!

Tanzania bado kuna neema fulani ya Mungu ndo maana watu hawaendi sana supermarket kwa sababu vitu vipo mtaani kwa bei ya kutupa. Vyakula Tanzania ni bei rahisi sana. Tena ni vyakula vya maana. Wenzetu hapo Nairobi ikifika mida ya Lunch karibu mji mzima unaenda kula chips kavu na wengine mikate. Migahawa ya chips kavu ni mingi sana Nairobi na ndo kimbilio la walalahoi. Kinyume na hapo wataenda kuagiza Githeri/Makande. Huku Tanzania kwa Tsh 3000/= taslim bila makato unapata wali nyama safi iliyotulia.

Upo sahihi kabisa

Vyakula vya Tanzania ukila mlo wa elfu 5 sio ajabu ulaya ukauzwa mpaka laki moja kwa sahani.
 
Africa tajiri lazima unenepe uwe na mtumbo mkubwa pamoja na mashavu yaliyovimbiana, wenyewe wanasema shavu dodo😁
1773826651536.png
 
Naomba niulize wale kuku wanawekwa nn maake hiyo kitu sijawahi kula na sitarajiii coz ukiingia KFC kuna nulia design ya ajabu ajabu...

Binafsi nimeuliza nisije shambuliwa na KFC clients
Kwanza wanakinaisha balaa. Ukila mmoja tu hamu inaisha.
 
Wadau wahoji na kushanga jinsi migahawa ya KFC imekuwa ni kwa ajili ya wenye kipato au matajiri nchi nyingi za Africa wakati nchi zilizoendea huko duniani kuanzia Marekani, Canada, Ulaya, Japan n.k KFC ni kwa ajili ya masikini au watu wenye kipato cha chini!

Wadada wa mjini wanavyopenda kuku wa KFC sijui kama wataelewa hili suala.
View attachment 3559358
the same question, why the poor one on america, if came in africa is a rich?
 
Back
Top Bottom