Mshangao; KFC ni kwa ajili ya masikini nchi zilizoendelea ila Africa ni kwa ajili ya matajiri!

Mshangao; KFC ni kwa ajili ya masikini nchi zilizoendelea ila Africa ni kwa ajili ya matajiri!

Kwaani hapa tunazungumzia mahali gani? Si mgahawani?

Uliza AI wakupe makadirio vitu hivyo migahawa ya Ulaya na Amerika utapewa bills kiasi gani
AI inasema Ulaya kuanzia £10 unapata huo mlo na Tanzania kuanzia $5 unapata huo mlo.
 
AI inasema Ulaya kuanzia £10 unapata huo mlo na Tanzania kuanzia $5 unapata huo mlo.

Thubutu!
Hiya £10 Hilo si paja la kuku pekee.
Hapo hujaweka gimbi, parachichi na spinachi.

Embu Acha makhara

Hapahapa bongo hiyo £10 hupati chakula hotel na motel za nyota 3/4
 
Wadau wahoji na kushanga jinsi migahawa ya KFC imekuwa ni kwa ajili ya wenye kipato au matajiri nchi nyingi za Africa wakati nchi zilizoendea huko duniani kuanzia Marekani, Canada, Ulaya, Japan n.k KFC ni kwa ajili ya masikini au watu wenye kipato cha chini!

Wadada wa mjini wanavyopenda kuku wa KFC sijui kama wataelewa hili suala.
View attachment 3559358
Kama uko na akili timamu, lazima utaona kinyaa kula nje ya nyumbani.

Narudia tena. KAMA ZIKO TIMAMU KICHWANI.
 
Thubutu!
Hiya £10 Hilo si paja la kuku pekee.
Hapo hujaweka gimbi, parachichi na spinachi.

Embu Acha makhara

Hapahapa bongo hiyo £10 hupati chakula hotel na motel za nyota 3/4
Screenshot_20260318-131816~2.jpg
 
Hata school basi ni kwa ajili ya watoto wa masikini huko ulaya ila huke kwetu magari ya njano ni ya watoto wa vibopa
 
Hata school basi ni kwa ajili ya watoto wa masikini huko ulaya ila huke kwetu magari ya njano ni ya watoto wa vibopa
School bus ni kwa ajili ya wanafunzi wote Ulaya, Wanafunzi hawagombei dalaladala kama nchi za bara la giza.
 
Kwa mazingira ya vyakula vya Mafundi ujenzi naweza kukuelewa na kuelewa unachosema.
Mama ntilie sio?
Sisi mafundi ujenzi tutapata wapi hela ya kula pizza KFC.

Haijalishi ni wapi, kama uko timamu inatia kinyaa kula chakula mbali na nyumbani. Otherwise huna exposure ya kuyajua yanayoendelea bihind majikoni huko
 
Huko nyumbani mnapikia Sebuleni??
 
Back
Top Bottom