nchi

  1. Ajali za mwisho wa mwaka, Je ni Africa peke yake au hata nchi zilizoendelea ? Je ni dhana ya ulozi au Uzembe tuu ? Mbona watu wanapotea kizembe hivi ?

    Salaam Case study: Tanzania, Hizi ni coache tu, kagera 15, Mikese 18, hapo bado majeruhi watakao kuwa vilema wa maisha, Sina data kamili ila kuanzia mwezi wa 10 mpaka huu wa 12 inawezekana death toll kwenye ajari pekee inafika 50, hapo bado sijazungumzia pale songwe mlima mbalizi nasikia tena...
  2. Kwanini Nchi za Kiislamu zinaendelea kukumbwa na umaskini? Sababu zilizofichika za Kihistoria na Kisasa

    Nchi nyingi zenye Waislamu wengi zinakabiliwa na changamoto kubwa za kiuchumi, hali inayochangiwa na sababu za kihistoria, kitamaduni, na taasisi. Nchi kama Morocco na Yemen, licha ya historia tajiri ya kiasili, zinakumbwa na viwango vya juu vya umasikini, huku wastani wa Pato la Taifa kwa kila...
  3. Zifuatazo ni sifa za kipekee za nchi mbalimbali duniani, nchi yako inasifika kwa kitu gani? (Usitaje amani maana hauna hati miliki)

    Katika ulimwengu wetu uliojaa maajabu, kila nchi ina kitu ambacho inaongoza au inajulikana nacho duniani. Wakati mwingine, ni jambo la kufurahisha, la kushangaza, au hata la kusikitisha. Katika uzi huu tutagusia kiufupi sifa ya kila nchi kama ifuatavyo; Afghanistan hadi Angola Afghanistan...
  4. S

    Trump aziambia nchi za umoja wa ulaya zinunue gesi na mafuta zaidi kutoka Marekani au ataongeza ushuru kwa bidhaa za kutoka jumuiya hiyo

    Rais mteule wa Marekani Donald Trump ameonya kuongeza ushuru kwa bidhaa za jumuiya ya Ulaya zinazoingia Marekani endapo jumuiya hiyo haitaongeza viwango vya mafuta na gesi inavyonunua kutoka Marekani. Trump alitoa taarifa hiyo kupitia post katika mtandao wa Truth aliyoichapisha Alhamisi usiku...
  5. Yanayoendelea CHADEMA: Watu wanaanza kutuelewa kwa nini tunawaambia, wasishabikie vyama vya siasa, washabikie Rais wao wa nchi.

    Kila mtu anaona na kusikia yanayotokea chama kikuu cha Upinzani CHADEMA. Wanachama wanaumia sana mioyoni mwao kutokana na mnyukano unaoendelea. Saaafi sana. Sisi, kama Wafuasi wa kujitolea wa Rais tunaamini kitu kimoja hapa Duniani: Nchi ni Rais. Rais ni nchi. Nchi ni wananchi. Wananchi ni...
  6. Ama kweli kusikia kwa kenge mpk atoke damu puani!.

    Tumekamata mwizi tukaanza kukung'unta, piga mwizi mpaka akapandisha mapepo!. tukajua anatania tukaendelea kupiga tu! wacha mapepo ya mwizi yacharuke zaidi!, yakagoma hayasikii chochote ukirusha jiwe linadakwa linarudishwa!. mshale unakwepwa tukaona hii ishakuwa serious mapepo yakawa yanaongea...
  7. Kama hatulumchangia Lissu hela za kununua gari, kwa nini anaamini tutampa kura aqe Rais wa nchi?

    Mambo mengine ni kufanya tathmini tu ya kawaida, Lissu aliitisha mchango kwa nguvu kubwa sana, lakini alichopata ni cha kununua pikipiki ya SUN-LG. Anapata wapi nguvu ya kuamini tutampa kura?
  8. HIVI NI TAMTHILIA ZA NCHI GANI ZILIANZA KUVUMA HAPA TZ TOKA TV YA KWANZA ILETWE ?

    WAHENGA WAHENGA Habari zenu bana wahenga wa miaka ileeeeeeeeeeeeeeeeeeeee naona sasa hivi WATURUKI ..........2024 wana tamba ile mbayaaaaa............... je wahenga HIVI NI TAMTHILIA ZA NCHI GANI ZILIANZA KUVUMA HAPA TZ TOKA TV YA KWANZA kuanza kutumika ???
  9. D

    Hata wageni wameshajua kuwa Tanzania ni nchi ambayo watu wake wanaishi kwa mazingaombwe

    Tanzania ndiyo nchi pekee ambayo watu wanaishi kwa mazingaombwe. Miujiza inayokuwa claimed kufanywa na hawa wachungaji ni mazingaombwe ambayo yako formalised na hakuna tofauti na yale ya akina mwanamarundi au power mabula. Ndo mana hata akina prince dube au ateba nao wameenda kitafuta...
  10. TUGHE yalalamikia uwepo wa Kanuni inayokiuka Katiba ya Nchi

    Chama cha Wafanyakazi wa Serikali na Afya Tanzania (TUGHE) kimelalamikia uwepo wa Kanuni inayokiuka Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inayowazuia watumishi wa umma kujihusisha na masuala ya wafanyakazi, jambo ambalo limekuwa kero na kuzuia ukuaji wa vyama hivyo pamoja na kudhoofisha hima...
  11. Kiongozi wa waasi nchini Syria asema aomba amani na Israel, nchi za Ulaya na Marekani

    Amesema kuwa amechoka kupigana kwasababu zisizo na mbele wala nyuma, ameomba kuungwa mkono na Israel, Ulaya na Marekani. Huu ni ushindi mkubwa na ukombozi kwa makobazi. Chanzo: Adhuhuri Live (UTV).
  12. K

    Wafahamu wajinga wa aina 2 wanaoiumiza nchi

    Katika hii dunia, tunao watu wajinga sana wa aina mbili: Wajinga wenye kaujanja fulani, wenye uwezo wa kupewa elimu na kuacha ujinga. Wajinga wenye upumbavu wa kuwatotosha, uliowasahaulisha Mwenyezi Mungu na kuwafanya kujihisi kuwa na kauungu ndani yao. Tusichoke kutoa elimu ili tulinusuru...
  13. L

    Lissu Ataiongoza Vipi CHADEMA wakati Muda wote Anashinda Nje ya Nchi? Mnyimeni kura ili aendelee Kuzurura ulaya na Marekani.

    Ndugu zangu Watanzania, Kuongoza chama kikuu cha Upinzani Nchini kama CHADEMA inahitaji moyo,inahitaji ujasiri,inahitaji kujitoa na kujitolea muda na rasilimali zako kwa ajili ya kukijenga chama wakati na muda wote.inahitaji uvumilivu wa hali ya juu sana. Chama kinahitaji Kiongozi na viongozi...
  14. L

    Ushuru wa Trump kwa nchi washirika wake wa kibiashara huenda ukaifanya Marekani iishie kujipiga risasi yenyewe mguuni

    Rais mteule wa Marekani Donald Trump akiwa sasa yupo kwenye maandilizi ya kurejea tena kushika usukani na kuliongoza taifa la Marekani Januari mwaka 2025, ameanza kujenga uhasama na nchi washirika wake wa kibiashara kwa kutoa vitisho kwa nchi mbalimbali duniani, huku akitilia mkazo sera ya...
  15. Inakiwaje Nchi ya Misri imekosa nabii hata mmoja?

    Kwanza naomba kujua ni sababu zipi wazungu waliziona kwa misri na nchi nyengine za mashariki ya kati kuziunganisha na bara la Afrika? Je ni usalama au Kuwagawa waarabu? Jambo la pili inakuwaje nchi kama Misri ambayo inahistoria kubwa mno,imeshindwa kutoa hata nabii mmoja,Kiongozi(sayansi...
  16. D

    Biteko anafaa kuwa rais baasa ya Samia kuongoza nchi kwa takribani 40 years mana hatujawahi kuwa na rais aina hii.

    Hakina Samia ni rais na nunu nchi haijawahi kuwa na rais kama huyu tangu tupate uhuru. Rais mpole na msikivu Rais mpenda maendeleo tena kimya kimya bila kelele eti kishindo cha samia kama ilivyokuwa kwa jpm After 10 years to come unemployment rate iliyotengenezwa na jpm itakuwa imeisha na...
  17. S

    Ukitaka kujua nchi hii ina wenyewe, uliza tenda zote za mabilioni za huduma kwenye mradi wa bwawa la Nyerere nani walipewa!

    Ninaangalia hapa list ya wale wote waliopewa tenda za kutoa huduma kwenye mradi wa Nyerere nabaki kutikisa kichwa tu. Tenda hizi zilikuwa ni za mabilioni na kwa ajili ya ku-supply kila kitu, kuanzia chakula, vifaa, huduma nk. Sana sana ulinzi ndio naona walipewa Suma JKT. Naona majina hapa ya...
  18. I

    Serikali mpya ya Syria inajipanga kurejesha mahusiano na nchi za magharibi huku ikiipa Iran mkono wa kwaheri

    Ufaransa yarejesha bendera katika ubalozi wa Damascus huku mamlaka mpya ya Syria ikijenga mawasiliano na nchi za Magharibi. Ufaransa ilipandisha bendera yake katika ubalozi wake wa Damascus siku ya Jumanne kwa mara ya kwanza baada ya miaka 12 na maafisa wa Umoja wa Ulaya walijitayarisha...
  19. S

    Hali ya Elimu katika Nchi Yetu Sasa

    Habari wanajamvi, Naamini tunaendelea vizuri na shughuli zetu za kufunga mwaka wa 2024. Mungu amekuwa mwema kwetu, na ni kwa kudra zake tunaendelea kuishi. Jana nilimtembelea rafiki yangu mmoja. Yeye na mke wake ni waalimu wa sekondari. Tuliongea mengi, na mojawapo ya tulivyovigusia ni hali ya...
  20. Ni rahisi sana kwa CHADEMA kumpa Tundu Lissu nafasi awe Rais wa nchi kuliko kumpa uenyekiti wa chama

    Friends and Our Enemies, Siku zote tumekuwa tunasema hapa kuwa shida kubwa cha CHADEMA na hususani mwenyekiti wa chama hiko ni kushindwa kuandaa succession plan ya chama chao. Sisi hatuna shida na kuwa chama hiko waasisi wao ni KASKAZINI...Ni cham ambacho kimepitia mawimbi mengi makubwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…