Hivi ni kweli hatuna ndege za kufanya safari za ndani?
Nauliza hivyo kwa kuwa, kila wiki Ijumaa hadi Jumatatu huwezi kupata ndege ya Arusha au JRO to Dar labda ukimbizane na hivi vicaravan (C208) vya watu 10 wakati huo huo, ATC inalalamika haina biashara.
Utashangaa vi Caravan zaidi ya 15...