ndoa

  1. USSR

    Nini kifanyike kuokoa ndoa kwa sababu ya wanawake kukosa nguvu za kike?

    Kumekuwa na kasi kubwa ya wanawake wengi hasa mijini kukosa nguvu za kike, nao moja tu uaanza kulalamika eti amechoka na visingizio kibao mara amechoka,mara anamaumivu mara anamawazo na n.k Nini kifanyike hawa viumbe wawe kama zamani unalala unaikoboa na bado asubuhi wanadai . Kazi ya kucheka...
  2. Ncha Kali

    Cheti cha Ndoa kingetolewa baada ya miaka mitatu ungechukua?

    Kingekuwa kinatolewa baada ya miaka mitatu ya ndoa, ungekifuatilia?
  3. St. Paka Mweusi

    Mke anamnyima mumewe tendo la ndoa, nini kifanyike?

    Habarini wajukuu wema na wabaya. Nimeletewa mashitaka na huyu kijana mwenye ndoa ya miaka mitano sasa. Anasema alitahadharishwa na watu kuwa unaoa dada wa Kilimanjaro, jiandae kwenda kunyimwa tendo la ndoa, hakuwasikiliza. Sasa yamemfika. Anadai kuwa wanaweza kukaa hata miezi sita bila...
  4. Sainya Jnr

    Tangu mvua ianze sijasikia "kataa ndoa" wala "fear women" humu ndani.

    Leo sisalimii Moja kwa moja kwenye hoja. Aisee leo nimepata kugundua kitu fulani hapa ulimwenguni. Mara nyingi hasira za wanawake huwa zinakuwa ni ushindi au furaha kwa wanaume. Immediately a woman gets mad, she cheats with another man, it's men who are winning. If women want revange, she...
  5. Half american

    Kama hujawa tayari kuishi na kuiheshimu ndoa yako ni bora ubaki peke yako na uhuru wako

    Tazama Hapa tukio la FUMANIZI la jamaa mmoja ambaye alifanikiwa kumfuma mke wake wa ndoa akijivinjari na mwanaume mwingine nyumba ya jirani. Angalizo: Punguza Sauti Kama upo kwenye watu wengi https://www.instagram.com/reel/C5pbVlzIiGv/?igsh=YzljYTk1ODg3Zg== Kama mtu hujawa tayari kuitumikia...
  6. Mwizukulu mgikuru

    Umri wa miaka 36 ndoa imekuwa ngumu

    Jamaa yangu ana umri wa miaka 36 amepambana sana kupata mwenza, lakini akianzisha uchumba na Mwanamke hawafiki mbali uchumba unakufa. Hii itakuwa ni shida gani! Au ni nguvu za giza zinamtesa?
  7. Tman900

    Wakristo kuna la kujifunza kupitia ndoa hizi

    Hii kauli ya "Ndoa ni Mwili mmoja" Kuna la kujifunza Kupitia hii mifano. Hawa Ni waimbaji wa nyimbo za Injiri na walisema hayo Maneno. Ikumbukwe wazi kua ndoa Nyingi za kikristo zinashida kutokana na hiyo kauli. Mwanamke Ni kiumbe Mwenye roho ya tofauti Kuliko viumbe Vyote Duniani. Ndoa za...
  8. Prakatatumba abaabaabaa

    Kuna yeyote aliyeoa single mother na wakafanikiwa kuishi vizuri tu kwenye ndoa?

    Nimekaribia kuingia kwenye huu mtego aisee, nimepata single mother mzuri kinoma, ananisikiliza kila kitu , ni muislamu yupo tayari kubadili dini na kua mkristo, Yuko smart kichwani yaani naona kabisa huyu naenda kufanya nae maisha, yaani mtoto ni mweupeee waarabu flani wa kasulu huko. Lakini...
  9. Jaji Mfawidhi

    Wafungwa Wanawake wapatiwe tendo la ndoa?

    https://www.youtube.com/watch?v=mDH3QEXfcD8 Binafsi naona wafungwa wa kike ambao "siyo bikra" na wamefungwa zaidi ya mwezi mmoja wapewe haki ya kufanya mapenzi walau kwa wiki mara moja. Hili jambo kama wana kataliwa tujiulize je sisi ambao tupo uraiani tunaweza kuishi bila hili tendo takatifu...
  10. I LOVE YOU DUCE

    Kwenye Ndoa yangu sitamsumbua mtu kwa michago na kadi

    Ta-toa mahali kama kawaida, baada ya hapo sita m-sumbua mtu Kwa michago na kadi. Siku ya ndoa, tamuomba mchungaji na familia ndoa ifanyike ufukweni, tena watu wakiwa wachache. Ndugu zangu watano, na ndugu upande wa binti wa tano tu. Baada ya happy tutapata chakula cha pamoja na pic za...
  11. G

    Kwa mparaganyiko huu wa ndoa, sitaki tena kusikia wala kupokea kadi ya mchango wa harusi tena

    Yaani ndoa inadumu muda mfupi kuliko hata ule uliotumika kwenye vikao?? Kuna haja ya watanzania kubadilika ktk suala hili la sherehe za harusi. Tafakari ya kina ifanyike ili tuchukue mwelekeo mpya. Watu wafunge ndoa kwenye nyumba za Ibada na baada ya hapo waelekee majumbani mwao na siyo kwenda...
  12. Surya

    Kufanya ngono kabla ya ndoa ni dhambi au sio dhambi?

    Binafsi siri ya kuwa mtu makini na mwenye misimamo yangu binafsi ni baada ya kugundua taarifa nyingi ambazo watu wanazibeba kuwa ndio kweli mara nyingi si si za kweli. Wrong information Unakuwa mjinga na mtumwa bila kujijua. Nina swali, mnipe majibu kupitia Biblia ambayo na mm nimeisoma...
  13. Equation x

    Ananinyima tendo la ndoa, kisa eti amefunga

    Kuna kamchepuko kangu, kila siku ananipiga kalenda kwa sababu yupo kwenye mfungo. Nimeongea naye hivi karibuni, anasema mpaka mfungo uishe, na ataongeza siku zingine sita za mfungo; sasa huyu ananipenda kweli au ananikomoa? Natamani nimuache, ila nashindwa kutokana na mautundu aliyonayo...
  14. Mshamba wa kusini

    Makabila yenye wanawake waliokosa uvumilivu kwenye ndoa

    Makabila haya mwanamke anaweza kukuacha hata kwa kumsonya tu. 1.warangi 2.wapare 3.wahaya 4.wameru 5.wachagga
  15. Friedrich Nietzsche

    Ndoa ina mwezi mmoja, nishaanza kukosa amani

    Jaman ndoa ndo zilivo. Yaan tangu nimuoe nimuweke ndani naanza kuona tabia zinazoanza kuninyima aman.Had natamani nimwambie bana tumeshindwana Tabia anazoonesha 1. Kisiran 2. Kununa 3. Kuzalisha migogoro Haya yote alivyokuwa kwao sikua nayaona aisee nishachoka.Nimeukumbuka uhuru wangu
  16. Natafuta Ajira

    Kwenu watetezi wa ndoa

    Mmekua na kasumba wa kutushambulia ambao hatutaki ndoa lakini insasikitisha sana mashambulizi yenu huwa hamlengi kwenye point mahususi. Utetezi wenu huwa unalenga zaidi kwenye dhiaka mfano kataa ndoa ni mashoga, hawana hela, wamelelewa na single parent, wana trauma n.k lakini kwenye point huwa...
  17. Half american

    Lugha ya picha: Ndoa za siku hizi

    Tegemezi nae anategemewa, ahudumiwe ili aweze kuhudumia. Chanzo ni nini?
  18. Aramun

    Ndoa ya Marekani ya Mtangazaji Maulid Kitenge yadaiwa kuaota mbawa baada ya kumuoa Mbunge Nusrat Hanje

    Hiyo ndiyo habari ya motomoto kunako mainstream, ambapo inasemekana mtangazaji maarufu Maulid wa Wasafi TV hapa nchini, ndoa yake ya Marekani imeota mbawa baada ya kumuoa Mbunge N. Chanzo cha ndoa hiyo kuvunjika ni mtangazaji huyo kuoa bila kuomba consent kutoka kwa mke wake huyo, na hata baada...
  19. Prakatatumba abaabaabaa

    Vipi mke wa kutafutiwa anaweza kudumu kwenye ndoa?

    Mshikaji wangu baada ya kunusurika kwenye ajali nyingi na misukosuko ya mahusiano ikabidi aanze kushirikisha watu Ili apate mke sahii wa kuoa. Kwenye harakati hizo huku akiendelea kumuomba Mungu (Kwa mujibu wake), jamaa yake mmoja aliepo kigoma akamwambia Kuna Binti anamuona kanisani na...
  20. MamaSamia2025

    Wafuatao wamefunga ndoa na umaskini. Na ni ngumu ndoa zao kuvunjika

    Umaskini ni fedheha. Kwenye maisha yako yote chukia umaskini kwa kila hali. Fanya jambo lolote la halali kujiondolea umaskini kwenye maisha yako. Ibara ya 25 ya katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imetamka wazi namna ya kuondokana na umaskini. Hata Mwenyezi Mungu mwenyewe hataki viumbe...
Back
Top Bottom