Kati ya sekta huria ambazo kila kinyangarika yumo basi ni NDOA.
Hii "sekta" ya ndoa huwezi kujua mtaalamu ni yupi wala majnuni ni yupi. Kila mtu kawaka moto anajitia mjuvi, hapoi wala haboi.
Ukiingia mitandaoni na penginepo, kila Tom na Jeri anafundisha kuhusu ndoa. Hata wachungaji nao ati ni...
Mambo vipi wanandugu.
Nimekaa na kutafakuri Sana.
Hizi ndoa ambazo hazidumu huwa ni laana tupu.
Kama Baba yako mzazi alimuacha mama yako akaenda kuoa mke mwingine basi tambua hiyo laana itakufata tu yaani hata wewe utaoa mke wako wa Kwanza na utamuacha sababu ya laana aliyoanzisha baba ako...
NB: picha kwa hisani ya mtandao.
UTANGULIZI.
👉 Linapokuja suala la mapenzi, mahusiano, na ndoa, watu wanaweza kuwa na matakwa mbalimbali yanayohusiana na hali ya maisha, utamaduni, na imani zao. Wakati mwingine, matarajio haya yanaweza kutofautiana kulingana na umri, jinsia, na hata muktadha...
Mwanaume ameaminiwa na Mungu na kuwekwa kuwa kichwa cha familia.
Kichwa ndio Injini ndio ubongo wa familia. Kwa mtazamo huu Rasilimali na vipato vyote vya familia vinapaswa kuwasilishwa kwa kichwa mara tu vinapopatikana.
Mwanamke hata uwe CEO wa Google(kampuni inayoongoza kwa kulipa mishahara...
Shalom,
Sina mengi zaidi kichwa Cha habari kinajieleza, mamlaka husika ikiwemo wizara yenye dhamana ipate kulitizama hili swala.
Vilaza wengi wanaodanga na machangu, waliofeli kwenye Ndoa, mibaba mihuni tu inayonyandua mademu hovyo tu imegeukia hio fursa kuelimisha kuhusu Ndoa, mijitu...
Jinsi maisha haya inaonesha idadi ya wakataa ndoa inazidi kuwa kubwa yani siku hizi ndoa zimekuwa kama uchaguzi NEC tanzania.
jamaa kavisha pete kumbe pembeni kuna jamaa alishapitia kitambo
Mimi naweza kufafanya kitu kibaya kabisa kwa majibu ya chooni kama haya.
Sina maneno mengi ila inasikitisha sana kwa hali ilivyo siku hizi hawa wanawake watatuuwa tukiwa bado vijana wadogo kabisa.
Pia tuwe makini na sehemu tunazotaka kuoa wanaume.
Sijui ni kiki au ndio kweli ila nimepata picha kuwa mambo ya kuwekana wazi au mlivyokutana mlibidi kukubaliana kuwa kazi ya mwenzake.
Imngeweza kuishi kama wafanyavyo wasanii davido na kwengine.Pili ingekuwa mimi barnaba kwa kweli ni aibu kesi yako kama mama mkwe kakutawala na mwanae.
Aisee...
JamiiForums ilipata wasaa wa kuongea na Dr. Chris Mauki, Mtaalamu wa Saikolojia, Ndoa na Mahusiano, Malezi na Mhadhiri kutoka Chuo Kikuu cha Dar es Salaam juu ya suala hili la Kataa Ndoa, mjadala ambao umekuwa mkali sana hasa kwa vijana wa zama hizi.
Kusoma sehemu ya kwanza ya mahojiano haya...
Naamini kuna mambo mengi yanayochangia migogogoro na kuvunjika kwa ndoa nyingi kwa wakati huu
Ila Naomba nielezee hii sababu majawapo ambayo ni
Wanaume wengi au vijana pengine niwaite wavulana kuingia kwenye ndoa wakidhani wanawake wao watawasaidia baadhi ya majukumu na wengine wajinga...
Habari zenu members,
Leo nimetumia muda mrefu saana kuongea na kucheka na mke wangu(huaga nafanyaga hivo siku moja moja) maana huyu mwanamke hana utofauti na wanawake wengine kwahiyo naishi nae kwa akili saana.
Hivyo baada ya furaha ya muda ikabidi akili inikumbushe namna nilivompata huyu...
Ndoa hizi zitatuua.
Jamani ipo hivi. Mimi ni mume mwenye mke mmoja na mtoto mmoja.Mke huyu tumetoka nae mbali tulianza nae mwaka 2008. Changamoto aliyo nayo ni kelele na wivu uliopitiliza yani sina amani ndani akianza kuongea hamalizi.
Kiufupi tabia yangu niyakawaida sichepuki sana. Sasa juzi...
Kuna baadhi ya wanawake wanaenda na kauli mbiu kuwa mwanaume ni wajibu wake kutafuta Hela, yeye kazi yake kutumia.. Hilo janga kwakuwa linapingana na neno la Mungu kuwa asiyefanyakazi na asile. Kila mtu anawajibika kuwa na Mchango katika familia, sio kusubiri kudaka tu. Heshima yako na ndoa...
Kwahiyo Yeye Mkewe hachepuki, yeye hachepuki na kwamba yeye ni Mtakatifu sana katika Mahusiano na Saikolojia?
Tafadhali mwenye Picha ya Mke wa Dkt. Chris Mauki tafadhali aiweke hapa ili labda wenye Changamoto zetu za Kimahusiano tuitumie Kuwaonyesha Wapenzi / Wake zetu ili Wakiiona tu nao...
"Barnaba usijisahau kama umemuoa mtoto wa nani, unajua kabisa wewe ni mume wa mtu unaenda kupiga picha kama zile, umeweka mkono kwenye chup! ya mwanamke mwingine wakati unajua hiyo ni nguo ya ndani haitakiwi kushikwa hovyo unamaanisha nini?"
"Mbona video zingine unafanya vizuri tu kwa heshima...
Raha ya tendo la ndoa wote mfurahie si kukaa kama gogo kitandani.
Kufanya tendo la ndoa walikuwa kwenye mahusiano lazima kila mtu afurahie utamu wa tendo la kufanya mapenzi sio kukaa kama gogo kitandani ni aibu sana na hii ndiyo inapelekea walio kwenye mahusiano kuchepuka.
Tuwekane sawa
#Kwanza kabisa zaidi ya 90% ya wanaume wenye shida ya nguvu za kiume ni just psychological / shida ya kisaikolojia tu.
#Pili kwa wanawake Kiuhalisia hakuna mwanaume atakuoa akamaintain huo muda wa tendo la ndoa kama mkiwa kwenye relationship au ukichepuka.
Kuna mambo mengi nyuma...
𝑵𝒂. 𝑱𝒐𝒉𝒏-𝑩𝒂𝒑𝒕𝒊𝒔𝒕 𝑴. 𝑵𝒈𝒂𝒕𝒖𝒏𝒈𝒂
____________________________
Nimekuwa mfuatiliaji sana wa maneno yaliyokuwa yakisemwa na baadhi ya Waimbaji wa Kike wa Nyimbo za Injili hasa baada yaWanawake hao kuachana na Waume zao, kutoka kwenye Ndoa zao baada ya Ndoa zao kuvunjika.
Nilifuatilia zilipovunjika...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.