Ndoa ni jambo la heri na dini imesisitiza kila aliye na umri wa kuwa katika ndoa basi awe na mwenza
Ila 90% ya waimba injili japo ya kuwa wana ijua dini na wanaweza ombea amani katika ndoa ila wao hawana ndoa, kwanini
1. Rose Mhando hana ndoa
2. Martha Mwaipaja hana ndoa
3 Bahati Bukuku hana...
Imetokea somewhere jijini Dar es salaam, mwanamama mmoja in her 50s,mumewe kapatwa stroke. Mmama ana ana uwezo mkubwa tu which means kwamba anao uwezo wa kumuhangaikia mumewe apate tiba arudi kuwa Sawa lakini kamuacha mumewe kitandani anapigwa na vi benten.
What about u mwanamke? Wewe...
Hapa wengi watabisha, kwakuwa Mila zetu za ki Africa zilipigwa teke
Mwanamke aliyefundwa, aliyeenda unyagoni ni marufuku kunyoa sehemu zake za Siri bila ridhaa ya mmewe
Kitendo cha mwanamke kujiamulia kunyoa sehemu zake za Siri ni ishara ya umalaya na dharau kubwa Kwa mme wake
Mwanamke kunyoa...
Huwa inatokea mmiliki wa biasahara hasa baba anapotangulia mbele ya haki haya hutokea,
Mke hujimilikisha mali zote na pengine yeye kahusika kwenye kifo kwa tamaa ya mali
kuna mtoto hasa wa kwanza hupenda kujimilikisha biashara yote akiamini ni haki yake
Wengine wanaolewa au kuoa majambazi...
Kwasababu Waafrika wengi , na hapa niwe mchaguo wa Afrika Weusi kusini mwa jangwa la sahara 😅😅
Yes!
Ndoa nyingi siku hizi ni fashionable. Eti ili uonekane umeoa. Yani unaweka Milioni 200 kwenye Ndoa. !? Acheni acheni..nasema tena achenii
Hongera kwa Afande, Hivi kufuta hii kitu tena ukiwa umepiga magoti na mikono miwili tena kimahaba, huwa ina maanisha nini kwenye ulimwengu wa kiroho ?
Hii picha nimeangaliaaaaa, nikawaaaza, nikaangalia tena, nikawaza. Jibu la haraka haraka likaja kwamba ndio champagne salute au inaiitwaje...
ikitokea Umemleta demu ghetto ukidhani atakaa siku moja mara ghafla anakata wiki nzima, hujakaa sawa anafuata kwao mabegi na baadhi ya vyombo, mara ghafla anaanza kukuuliza mtoto wetu wa kwanza tutamuita nani?, wakati huna hata mpango wa kuoa, je utalikiambia ghetto lako au utatumia mbinu gani...
Wazee wamenikalisha kikao, wameniambia nifunge ndoa ..
Ila Sasa Mimi, ni team Kataa ndoa pia Mimi ni Atheist 😔 ( siamini kwenye hayo mambo ya ndoa Wala Mungu)Yani Sina mpango wa kuoa for my lifetime. Ila Sasa wazee ndio wamekomaa balaa , Yani familia imewasha moto kuhusu swala la kufunga ndoa...
Hili jambo nmekuwa nikilichunguza Kwa mda sana Hadi nimefikia hitimisho ukweli kabisa watu wawili hawano jielewa na kujitambua they can't fall in love
Mapenzi HUITAJI mjinga mmoja na mwenye akili mmoja so tafuta mjinga wako au wewe kuwa mjinga ili upate mwenye akili
Ni Hilo tu nawafundisha...
Wanaume wanalalamika wake zao wanachepuka,wanawake nao wanalalamika wanaume wanachepuka,kama hiyo haitoshi wake wanataka kuliwa kwa mpalange na wanaume wanataka kula kwa mpalange,hivi mkichepuka bila kula au kuliwa kwa mpalange hamridhiki?
Ndoa ni safari takatifu, lakini kama ilivyo safari nyingine zozote, inahitaji kuwa tayari kabla ya kuianza. Si kila mtu anafaa kuwa mwenzi wa ndoa, na si kila mtu anafaa kuingia kwenye taasisi hii ya takatifu. Kama mwanamke unajiona katika hali zifuatazo, pengine unapaswa kufikiria tena kabla ya...
Binafsi mimi niliamua kuahirisha ndoa yangu na mpenzi wangu tuliedumu fours years kwenye uchumba Baada ya kufika kwao nikakuta mama na bibi, shangazi, mama wadogo wapo lakini, baba, babu, wajomba, baba wadogo asilimia kubwa walikuwa wameshatangulia mbele za haki
Miji hiyo yote zinaendeshwa na...
Imeelezwa kuwa wanaume wengi bado wanakosa nafasi ya kusikilizwa, hali inayochangia kuongezeka kwa vitendo vya ukatili wa kijinsia dhidi yao katika familia nyingi, jambo linalosababisha msongo wa mawazo mkubwa, ambao kwa baadhi ya wanaume umesababisha vifo.
Hayo yameelezwa kwenye kongamano la...
Ule msemo wa kosea kujenga sio kuoa huwa unakumbukwa sana kwenye ndoa yenye changamoto na changamoto hiyo ukute ni ya mwanamke utajuta na kuomba poo.
Ukishafunga ndoa ni mkataba, mkataba huo unatenganishwa na kifo na uzinzi tu. Mambo mengine yoote nihayawezi kuvunja ndoa.
Ukiwa mume mkeo...
Kama umepambana na una Mali nyingi usioe.
Tafuta mwanamke uwe nae kama mpenzi tu.
Jenga nyumba Sehemu na umueleze huyo mwanamke kua umempangishia.
Umiliki wa hiyo nyumba hata kama uko kwa jina lako tafuta ndugu yako, asajili Taarifa za umeme kwa jina lake.
Inamaana hata huyo mwanamke...
Habari Kaka magical power,mimi ni Mama wa miaka 38 Majina naitwa Brenda, nipo kwenye ndoa kwa miaka 7 sasa😭💔, mimi na mume wangu tulikua vizuri tu, mume wangu ni wale wanaume wapole, ananiruhusu kufanya kila kitu ninachotaka na haongei sana. Tangu nakutana naye mimi niikua mtu wa club na kupost...
Kumekuwa na changamoto sana hasa hawa Dada zangu wanao pata mafanikio ya kimaisha, au wamepata kazi nzuri, idadi kubwa ya dada hawa huwa ni single mother Wengine huishia kuwa Mashangazi sijajua shida ni uwezo wa kimaisha walio nao ndio unawatenga na kujihusisha na mahusiano au shida nini...
Raha ya ndoa, mume na mke kulala pamoja na kuamka pamoja! Hii ya mwanaume kuwa dodoma mwanamke yupo mwanza hiyo sio ndoa na sio tafsiri ya ndoa kimaandiko, maana lengo la watu hawa kuoana ni kuwa mwili mmoja kila mmoja kumlinda mwenzake! Sasa mmoja akiwa dar na mwingine kigoma huo tena sio mwili...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.