ndoa

  1. M24 Headquarters-Kigali

    Mabinti wanalilia NDOA lakini hamziwezi

    Mnakesha kwenye nyumba za ibada kuomba waume wa kuwaoa. Ila mkishaolewa mnazidisha kiburi, umalaya, uvivu na uchafu wa mwili. Hiyo NDOA itadumuje?
  2. D

    Kuna utafti naufanya kati ya waliochomwa chanjo ya covid katika suala zima la uaminifu katika ndoa na hasira nitareta mrejesho

    Kuna utafti naufanya kuhusu tabia za binadamu na mabadiliko ya hisia! Nafanya utafti wa tabia kabla ya kuchoma sindano ya covid na baada ya kuchoma sindano! Naangalia uaminifu katika Angel ya uaminifu katika ndoa ukoje baada ya kuchoma covid, umepungua au umeongezeka, Tabia za kihisia (Moody)...
  3. Joannah

    Hivi hizi Pete za Ndoa, hazivuliwagi?

    Morning, Natumai tuko salama wote wanajamvi. Nina kitu naomba kueleweshwa hivi, hizi pete za uchumba na ndoa ukishavalishwa ndio unatakiwa kuvaa kila siku? Yaani unalala nazo? Unaenda nazo kuoga? Unaenda nazo kupika, kufua, kuosha vyombo? Mpaka chooni? Mfano mtu unajisikia wiki hii kupumzika...
  4. TIASSA

    Maumivu makali ya mgongo mara baada ya tendo la ndoa

    Kwema Jf Doctors? Mpenzi wangu analalamika kuwa Kila akikutana na Mimi , baadaye hupata maumivu makali ya mgongo. Na anasema huwa inatokea kwangu Tu kabla ya hapo hakuwahi kupata shida hiyo husababishwa na nini?
  5. Money Penny

    Inawezekanaje mtu akampenda mchepuko sana kuliko mke wa ndoa?

    Haya nimeulizwa hilo swalo naomba jibu Nyie mnaopenda michepuko sana kuliko wake za ndoa mje mjibu nini mbaya? Na sahivi imekuwa kama tabia na inaenda kuwa legalised Sijui mtaishia vipi watoto wa sahivi?
  6. Nikifa MkeWangu Asiolewe

    Video: Kwenye Tendo la ndoa unafikiri ni style Gani mwanamke wa kileo inawezesha kumridhisha?

    Wakuu ni lugha ngumu imetumika kama upo na watoto kaa mbali nao. Sina nyongeza. Tukutane kwenye comment.
  7. nzalendo

    Ndoa za Kikristo chali (Zimekufa) Je, Kanisa limekosa msaada?

    Ukweli mchungu, wengi wanaishi na maumivu mioyoni mwao.... chanzo ni malezi...malezi si kumpeleka mtoto shule nzuri tu na kumpatia mahitaji muhimu bali kumfundisha mtoto KUMCHA MUNGU,,, Tizameni upande wa pili kwa watoto wa mama mdogo(watoto wa Hajiri/Hagar)...wao bize na madrasa,,,,unafikiri...
  8. M

    Ndoa yoyote inapita hatua 4 kubwa, Wewe upo hatua gani?

    Sikiliza kwa makini
  9. nipo online

    Je wajua maajabu taratibu za ndoa nchini Sudan Kusini?

    katika kitongoji cha Dinka nchi Sudani Kusini mwanaume Sudan, ukifanikiwa kuwa na wanawake wengi ndio utaweza pata wadhifa wa kua kiongozi katika jamii, Pia kutokana na tamadumi za Sudani kusini ukifa bila kuoa haraka sana atajitokeza mwanafilia atakuolea mke kisha watoto wake wataitwa majina...
  10. J

    Je, ni kipimo gani cha ubora katika ndoa

    Habari zenu wanajamii forums? Mimi nataka kujuwa kitu kimoja kutoka kwenu nduguzanguni. Kuna msemo ambao wazungu wanapenda kusema pale wasipo kuwa hawana uhakika na kitu. Mara nyingi husema "time will tell " wakiwa na maana mda utasema. Sasa swali langu ni hivi je katika suala la ndoa mda...
  11. Pdidy

    Ndoa sio ya kila mwanamke

    All d best Sema amen kama umeelewa
  12. kimara Kimara

    Kwanini Wanaume wengi wakiingia kwenye Ndoa wanapata kitambi?

    Moja kwa moja kwenye mada, kwanini wanaume wengi baada ya kuingia kwenye ndoa tu haipiti muda wanaanza kuota vitambi. Yani kumjua mwanaume kama ameoa ni rahisi sana asilimia kubwa wanakua na vitambi. kwanini inakua hivi, kifanyike nini ili wawe kawaida kama wale ma bachela KATAA NDOA :) .......
  13. Dogoli kinyamkela

    Kwanini unaingia katika ndoa?

    KWANINI UNAINGIA KATIKA NDOA? NDOA: Ni makubaliano ya muingiliano utakaohusisha hisia, Muingiliano utakao husisha miili ya watu wawili walioamua kuanzisha Familia ya Baba na Mama.. Kwa maridhiano ya wazazi wao...! Je ndoa kwani lazima iidhinishwe na mchungaji au sheikh au Askofu? Hapana sio...
  14. Miss Natafuta

    Vyakula vya kuboresha sehemu za Siri za mwanamke na kuongeza ubora WA tendo la ndoa

    Nasikia hakuna kitu kizuri kama sex .japo. Me mgeni kwenye mambo haya mjini hapa.japo kwa wenyeji jijini Maneno hayo wameyazoea hapa jijini. Kuna umri ukifika inatakiwa uangalie unakulaje.mwanamke unaweza ukajikuta unatembea na jangwa la Kalahari huko chini .na hii nchi ngamia hakuna bamia...
  15. Pdidy

    Kitanda hakizai haramu wewe ni wa nje ama ndani ya ndoa..nini haki zako kama mtoto wa nje ya ndoa kwa waislam na wakristo...

    wapendwa mwenye kujua haki za watoto wa nje ya ndoa tupeane madodosoo hapa kwa dini zotee maana watoto wa nje ya ndoa wanaongezeka kila iitwapo leo vyema nao wakajua wazazi wakifa nn maslahi yao kufwatana na dini za wazazi wao kazi kwenu wapendwa... Operation okoa mtoto wa nje ya ndoa
  16. Chibule

    Vijana ambao hawapo kwenye Ndoa wanatakiwa kuwa na Mafanikio Kuliko Walioko Kwenye Ndoa, kivipi?

    Vijana wengi wasio na wake wanapaswa kuwa na mafanikio zaidi kuliko walivyo sasa. Lakini kwa sababu wanatumia pesa nyingi kwa wanawake ambao sio wake zao, ndio maana hawafanikiwi. Bro unajua mapenzi yanaweza kukurudiasha nyuma kama usipoingia kwa akili? Ila mapenzi ni matamu sometimes lakini...
  17. Z

    Ndoa yangu ina hali tete

    Habari wakuu, Leo nimeona nije niwaletee maswaibu yangu yanayo nikabiri kwenye ndoa yangu. Mimi na mke wangu tuna miaka 6 ndani ya ndoa yetu, miaka mi 5 ya nyuma mambo yalikuwa safi kabisa, ila huu mwaka wa 6 umekuwa na heka heka nyingi mno. Mambo ni mengi sana ila Leo tuanzie hapa. MKE...
  18. chakii

    Kabla hujaoa/olewa tafakari haya pamoja na mchumba wako

    ..
  19. DIVISHENI FOO

    Kwanini wanawake wanang'ang'ania sana ndoa?

    Hii imekaaje? Wanawake wanang'ang'ania sana kuolewa hata ikibidi kutumia uchawi na kulazimisha ilimradi tu waolewe. Wengine wanakesha makanisani wanagaragara madhabahuni wakiombewa wapate ndoa. Wanapambana na kung'ang'ana vibaya mno kwanini? Huko kwenye ndoa kuna nini haswa kinachofuatwa kwa...
  20. Surya

    Timu kataa Ndoa kuweni Makini sana tunaishi na kiumbe kinaona zaidi yetu

    Sijui nieleze vip nieleweke vizuri, lakini kwa utafiti wangu ninachokiona Mwanaume anamuhitaji sana Mwanamke kuliko Mwanamke anvyomuhitaji Mume. Mwanamke kaumbwa kuwa kijakazi, au utumishi chini ya Mwanaume, Mwanamke anaweza kuwa Kijakazi hata kwa Mwanamke mwenzie. Mwanaume ukikataa uwepo wa...
Back
Top Bottom