Yaani kwa tafiti kadhaa nilizofanya na uzoefu binafsi nimeamini kweli watu wapole na watulivu hawanaga bahati kwenye mahusiano.
Unaweza kuta mdada mzuri, mtulivu, hana makuu lakini aliyeolewa nae sasa pasua kichwa, vurugu, amani hakuna.
Au mkaka mpole, mvumilivu anaoa kicheche, mtaa mzima...