Habari za asubuhi wanaJF, hope tumeamka salama kwa uweza wa manani🙏
Wiki kama mbili nilikuwa nasumbuliwa na ndoto za kuhusu wazee wangu (RIP, manake wote walishatangulia mbele za haki), walikuwa wananijia ndotoni wakiomba niwapatie vinywaji, sehemu nyingine niliota napeleka vyakula,wakaniomba...