Salaam!
Kwanza nimshukuru Mungu kwa uzima na uhai hadi sasa nipo safi na njema sana, then am going straight to the point mimi ni kawaida yangu kupata ndoto every day lakini jana nilipata ndoto ambayo iliniamsha na imenishitua.
Kwenye ndoto nimeona kama napigiwa simu na shangazi yangu alikuw...
Habari za wikiendi na skukuu ya Baba wa Taifa. Bila kuchelewa ngoja niende kwenye mada husika.
Usiku wa jana kuamkia leo nileota ndoto ya ajabu mpaka hivi sasa cjajua inamaana gani.
Nimeota Al Ahly ya Misri ikishinda magoli 4-0 huku wapinzani wao sikuweza kuwaona ni timu gani.
Mwenye ujuzi wa...
Aina mbili za ndoto ni :-
i. Symbolic dream (yenye fumbo)
ii. Reality dream (isiyo na fumbo)
Tangu nilipoanza kufatilia na kuandika ndoto zote ninazozipata ndoto hii ya simu kupasuka kioo ilikua ndio ndoto ya kwanza yenye fumbo mimi kung'amua kuwa napewa ujumbe gani.
Kuna mambo mengi ambayo si...
Huu Uzi naomba wanasaikolojia na wanabaiolojia(neuroscientists) waje kuhakiki maana nitaenda kupublish research.
Utangulizi:
Unajua asilimia kubwa ya Akili na mawazo unayowaza iko nje ya ufahamu wako? Unajua kuwa hata mawazo unayofikiri huwa yanachipuka kutokea kwenye akili iliyo chini ya...
Hapo vipi!
Jana nimeota passport yangu ya kusafiria nimekuta mahali imetupwa na imekanguliwa na wembe maandishi yote kwenye passport kisha ikakatwa kipande.
Nina imani huku kuna watu wana karama ya kufafanua ndoto na kusaidia.
Naombe msaada wa maombi yenu.
Unaweza kuwa na ndoto zako, greatest ones, ukazipangilia lakini mwanamke akakufanya usizifikie hizo ndoto. Bro! Kama haupo sahihi na mwanamke unayetaka kumuoa, acha, usioe.
Kuwa alone kama mimi, piga zako Puchu maisha yasonge. Mwanamke ndiye mtu anayeongoza kuua ndoto za watu hapa duniani...
Akiwa na miaka 5 Alifiwa na Baba yake...
Akiwa na miaka 16 aliamua kuacha shule.
Akiwa na miaka 17 tayari alikua kapoteza ajira 4.
Akiwa na miaka 18 aliamua kuoa.
Akiwa na miaka 19, alifanikiwa kuwa Baba.
Akiwa na miaka 20, Mke aliamua kuondoka na mtoto.
Alishindwa hata katika jaribio la...
Ijumaa ya juzi niliamua nitoke kidogo angalau nikapate mbili tatu za baridi.
Nikiwa maeneo ya kujivinjari, huku napambana na mitungi yangu, mara akatokea lishangazi la makamo. Akaomba tukae naye pale mezani, kwa sababu nilikuwa mwenyewe nikamkubalia.
Akaagiza raundi, tukawa tunaendelea kunywa...
Sikumbuki ilianzaje ila tulikuwa kwenye gari kama zile za kutembeza watali na watu zaidi ya watatu akiwemo na mke wangu na mtoto
Tulikuwa tunasafiri tukafika kwenye mji una maghorofa mazuri sana lakini tulipofika tu kwenye jengo moja la ghorofa refu tukaona watu wanauwawa kwa kupigwa kwa risasi...
True story: Tea time,
Nilizaliwa katika ukristo na kukulia kwenye ukristo.
Mwaka Jana nilihamia Tanga kikazi, mtaa niliokuwa Ninaishi ulikuwa una Waislam tupu. Nyumba nliyokuwa Ninaishi ilikuwa jirani na msikiti, Kila siku pale msikitini walikuwa wanaimba aya za Quran Usiku kucha. Sijui...
Habari za asubuhi, naomba mnisaidie waungana kama kutakuwa na mtu ana uelewa na ndoto.
Ni mara kadhaa sasa nimekuwa nikiota nimeibiwa hereni zangu, nahitaji kujua maana ya hii ndoto.
Inasemwa kwamba kila ndoto mtu anayoota inakuwa na maana, naomba msaada katika hili
Asanteni.
Sio dhambi wala jinai kuwa na ambitions za kuusaka uongozi wa juu wa nchi, lakini wengi wanakuwa consumed na ndoto hizo, wako distracted, wanafanya siasa zaidi kuliko kazi waliyopewa, wanahangaika kukusanya fedha na kusuka mitandao yao. Watu hao sio wazuri kwako.
Moja ya mambo yaliyomfanya...
Kwa muda Sasa mpenzi wangu amekuwa akisema (kudai) anaota NDOTO akifanya mapenzi hadi kuridhika.Na amekuwa akiota na watu(sura) tofauti tofauti anao wajuwa tena Hana ukaribu nao na akiamka anajikuta na majimaji na mwenyewe akidai ana furahia kwenye NDOTO.Kwa yeyote mwenye uelewa wa mambo haya...
Ni muda sasa nimekuwa napitia mazingira magumu sana ya kimaisha ajira ikiwa kwangu ni jambo lisilotatulika pamoja na kutegemewa na familia niliyonayo. Nimekuwa nikijitahidi sana kutafuta kazi kwa nguvu nyingi but naishia kuambulia patupu.
Jambo ambalo limekuwa likinikosesha raha ni namna ya...
Kati ya ndoto ambazo ni rahisi kupata tafsiri yake basi ni zile ndoto unapokutana na watu wa usalama katika ndoto.
Mambo ni mawili, polisi anaweza kuwa upande wako (polisi mzuri) au polisi anaweza kuwa against na wewe (police mbaya).
Police mzuri - Malaika.
Police mbaya - Majini (roho chafu...
Nimeota nipo sehemu nisioijua ni kama mji hivi, umechangamka kiasi nikajikuta na mtu nisiemjua, tukaenda kwenye mwembe uliokua umemwaga maembe mengi lakini hayana muokotaji.
Basi tukaanza kuyaokota lakini mengi yalikua mabichi nikasema niokote mabichi ndio makubwa na la kuiva lilikua dogo...
Mtu ni roho anayo nafsi na anakaa ndani ya mwili.
Roho na Nafsi vikiumwa na mwili nao unaumwa.
Sikuwahi kufikiri ninaweza kufanya kazi ya kusikiliza wagonjwa na kuwatibia kwa kuwapa matibabu ya dawa na ushauri.
Doctor's skills imenisaidia sana kuanza kupenda ukaribu na watu jambo ambalo...
Binafsi sikuwahi kufikiria kabisa kuhusu ndoto. Nilikuwa nachukulia kama mauza uzaza ya uchovu na mawazo ya siku nzima. Ila kuna kitu nimekuja kukigundua kwa namna mbili kwanza ni kuwa sina kawaida ya kuota ota kila wakati na ikitokea naota basi hiyo ndoto inakuwa kweli. Mfano nikiota mtu...
NAIBU WAZIRI CHILO: VIJANA FANYENI MICHEZO ILI KUIMARISHA AFYA ZENU NA KUTIMIZA MALENGO NA NDOTO ZENU
Mbunge wa Jimbo la Uzini Muheshmiwa KHAMIS HAMZA CHILO Amewataka Vijana (Wanamichezo) wa Jimbo la Uzini kufanya Michezo kama sehemu ya Kuimarisha Afya zao na Kukuza Vipaji na Kitimiza Ndoto...
Nadhani hii ndio ikawa sababu kubwa ya kwanini watu wengi wanakua wagumu kuamini kuwa kila ndoto unayoipata inakuwa na maana na umuhimu wake.
Lengo kuu la ujumbe wa ndoto ni
i. Kupewa maelekezo nini cha kufanya (mawazo)
ii. Maonyo (warning)
iii. Kuoneshwa mambo ya mbele yatakayokuja kutokea...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.