Nilijikuta niko kwenye nyumba yenye njia kama barabara ya kwenda underground floor (basement hivi). Kuta za hiyo nyumba zilipakwa rangi ya yellow (njano) na nilivyopiga kama nusu mzunguko niliona ukutani kulikuwa na picha ya nyoka mkubwa kichwa kama kilikuwa juu kama kwanye ground-floor kwa vile...
Yaani mpaka sasa ubao unasoma Wydad 2 SImba 0..... na SImba wanajitahidi kupambana sana ili wapate hata Draw. Maalimu anasema hali ni Mbaya kwa Simba sababu majini yote kwa siku ya leo yanaonekana kuwa upande wa Wageni. SImba hapati kitu le ndo mwisho wake wa kuwa na ndoto za kuenda kucheza robo...
Habari wana JF, Poleni na pilika pilika za hapa na pale 🤝, Binadamu mara nyingine wanaweza kuwa na tabia ya kutoa hisia au sifa za kibinadamu kwa vitu ambavyo havina hisia wala ukweli wowote, yani utakuta mtu au watu wanajiuliza maswali ya namna hii kuhusu wewe:-
• Watu wengi wanapata ugumu...
Wakuu leo tupige stori nyepesi. Mambo ya Hamas, Karia & TFF, Siasa, Simba na Yanga tuweke kando kwa muda. Ni ndoto gani uliyowahi kuota ikakushangaza?
Binafsi kuna siku niliota nimekaa sehemu maeneo ya Mburahati Madoto ninakunywa pepsi mara ghafla katokea Aliko Dangote kachoka mbaya anaomba...
Halafu anakuja mtu from nowhere anaumia na kifo cha mtanzania mmoja!
2 days ago
Inasikitisha sana kuona watu wasio na hatia wakiuawa, wakijeruhiwa na wengine kuachwa wakiwa katika ulemavu ilhali kuna watanzania wanafurahia!
Lakini pia msifikiri waliokufa ni maiti, Laa👇
وَلَا تَحْسَبَنَّ...
Dogo alisomea ukulima pale Morogoro kisha akapata fursa ya kwenda kuongeza elimu na maarifa Israel, yeye ndiye mtoto wa kwanza kwenye familia yenye watoto watano, ndoto yake ilikua akirudi nyumbani afanye ukulima biashara ila magaidi ya kidini yalikua na mawazo mengine.
Mashabiki wa hayo magaidi...
“Ukiona kazi haina upinzani achana nayo, kazi yoyote ambayo ina maslahi kwa watu lazima iwe na upinzani,” - Mbunge Cherehani
Mbunge wa Ushetu mkoani Shinyanga Mhe. Emmanuel Cherehani amewasihi vijana kutokata tamaa pindi wanapoanza mapambano ya kuzifikia ndoto zao
Mhe. Cherekani amesemaa hayo...
Hapo vip!!
Naomba mtu mwenye tafsiri kamili ya hii ndoto.
Jana nimeota nipo eneo fulani hivi, nikiangalia nimevaa shati jeupe na kuna watu nipo naona karibu japi siwajui ila miongoni mwa hao watu akawa kuna mmoja kama anajaribu kukwepa ndege anayeitwa popo anayezinguka juu akipaa akiwa...
Suala langu:
Nimekuwa nikisikia Mengi kuhusu ndoto, Wengine mara oohh sijui mlango wa kuyaona yaliyopo nyuma ya Dunia, Mambo yasiyoonekana etc.
Wengine wanasema kuwa ndoto ni matukio ambayo tunayafanya kila siku...yanajikusanya.
Swali langu:. Kwanini Hajawahi tokea Binadamu yoyote akaota...
Miaka 600 iliyopita, baharia wa China Zheng He aliongoza kikosi cha majahazi kusafiri hadi kwenye pwani ya mashariki ya Afrika mara nne, na kwamba Njia ya Hariri Baharini ilishuhudia historia ndefu ya mawasiliano kati ya China na Afrika.
Miaka 600 baadaye, karakana za Luban zilipewa jina la...
Mwenyekiti wa Chadema Mbowe anesema Tozo/Kodi inayotarajiwa kuwekwa kwenye Matangazo ya Facebook itawapunguzia Vijana Kipato na Fursa za Kujiajiri.
Mbowe anesema Maisha ya Vijana wa Tanzania ni ya kuungaunga hayana Afya yoyote hivyo ni vema Serikali ikawaangalia kwa jicho la Huruma.
Jumaa...
Tangu mdogo nasoma, kuna familia jirani na kwetu walikua wakishua sana. Watoto wa ile familia kila wakija kumsalimu Babu yangu nyumbani, walikua wanamletea
zawadi nyingi na vitu vya thamani sana.
Babu hakuishia hapo, muda mwingi alinijaza stori kuwa hawa jirani zako unao waona, wako sweden...
Ndoto iliyopitishwa!! Usiku ule nikiwa ndotoni ghafla nikaona madaraja matatu mazuri ambayo ni msaada mkubwa kwa wananchi wote; Nyerere bridge, Busisi bridge na Samia Bridge!! Daraja moja limeanzishwa na kujengwa na Mama mzaliwa wa visiwa vya Zanzibar hadi kukamilika hivyo kwa kuheshimu na...
Baada ya kufariki dunia Dk. Reginald Abraham Mengi Kituo cha Televisheni cha ITV kimebadili mtizamo wake kutoka kuwa chombo kimbilio la wanyonge na chombo makini cha kuanika maovu ndani ya jamii leo kimegeuka kuwa jukwaa la machawa na watuhumiwa wa ufisadi.
Tangu Makonda ameteuliwa ITV hawataki...
Mwaka 2015 nilipata Admission ya kwenda kusoma Masters kwenye ujasiriamali pale UDSM. Nilishapokea maelekezo yote ikabakia kulipa tu ada. Nilivyojicheki nikaona hadi wakati ule nilikuwa nina pesa ya kulipa ada na gharama zingine kwa mwaka mmoja tu. Hata kama Masters sio muda mrefu bado pesa...
Mimi ni kijana wa kiume miaka 27 'nilimaliza Form 4 2013 nikapata division 3 lakini nikakosa nafasi form 5
Since day one ndoto yangu ilikuwa ni kuwa DAKTARI +Business man 2014 nikachomoka Moshi Kuja Dar ku strugle
Nimepambana from 2014 up to this moment MUngu akanibariki kiuchumi kwa kiasi...
Habari wanajamvi,
Natumaini kuwa mnaendelea vizuri. Moja kwa moja kwenye mada...
Nakumbuka nilikuja kwenu na wazo majuzi. Nilitamani kutengeneza mfumo utakao wawezesha wateja kununua kwa bei ndogo na wauzaji kuwafikia wanunuzi moja kwa moja.
Nikiwa "chini ya maji", nilipitia phases kadhaa...
Nimeota tumepewa paund 200 na bibi yangu, kila mmoja, mama yangu, mimi na mdogo wangu.
Niko kwenye eneo kùbwa la wazi, ni kama karakana, supervisor mzungu akanifuata akaniambia niondoke hapo mara moja. Hali ni mbaya sana nitafute eneo salama.
Nikaingia ndani ya nyumba, na mara ghafla mvua...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.