ndoto

Ndoto Za Elibidi is a 2010 Kenyan film.

View More On Wikipedia.org
  1. ward41

    Kama umeota ndoto kutoka kwa Mungu, yeye mwenyewe atakupa tafsiri. Usihangaike kuuliza watu

    Kuna watu humu ndani wamekuja na hoja mbalimbali za ndoto na kutafsiri ndoto Biblia imeeleza waziwazi kwamba hakuna mwanadamu mwenye uwezo wa kutafsiri ndoto Tujifunze kisa cha Yusufu kwa Pharaoh na Daniel kwa Nebuchadnezzar. Hao wote wawili waliwaeleza wafalme kwamba hakuna mwanadamu mwenye...
  2. N

    Ukiona unaota ndoto hizi chukua hatua mapema

    Habari wapendwa! Katika maisha yangu ya kiutumishi mpaka sasa nimegundua kuwa watu wengi wanaishi kwa mapenzi ya wachawi, watu wengi wanakufa kabla ya siku zao, watu wengi ni masikini kwa sababu ya vifungo walivyo navyo, watu wengi wanaishi maisha ya shida ambayo sio kusudi la Mungu wao kuishi...
  3. S

    Somo kupitia Kwame Nkrumah na ndoto za United State of Africa na tafakari ya hatma ya EAC

    Habari za leo wana JF, Kama kichwa Cha habari kinavosema ngoja nianalyse mtazamo wangu Kwa kuangalia connection iliopo ktk past event baada ya uhuru wa nchi za Africa, current events tulipo na mtazamo wangu tunapoelekea. Nikiwachambua iconic hero's Kwame Nkuruma na Julius Nyerere Je! nani ni...
  4. Pang Fung Mi

    Wanaume wengi ambao hatuna ndoto za kuoa sio husband material kabisa japo wengi wetu tuna maokoto ya kula bata

    Mimi Wadiz nawasalimu na hapa chini ni ujumbe wangu kwenu wenye kupangia watu maisha. Wanawake wanatakiwa kujua sisi wanaume ambao hatutaki kuoa hatuna sifa ya husband material kabisa. Ndiomana wengi wetu pia hatutaki single mothers kwa sababu hatutaki kubeba majukumu ya wengine. Sisi...
  5. Yacky12

    Nina Ndoto ya kuwa na wake wengi

    Jambo hilo linaniumiza sana kichwa kuwa na mke mmoja naona kama sitotosheka Yani katika vitu ninavyovipenda, Mimi ni kujigijigi/kusex,pia napenda kuwa familia kubwa tu,lakini kuhusu kuwahudumia malazi,makazi,matunzo hilo halito Nipa shida kwasababu kiuchumi nipo vizuri. Sasa sijui nyie mna...
  6. K

    Aina za ndoto na maana zake, baadhi ya ndoto na maana zake

    Hii itakuongezea maarifa, ukiota ujue nini ulichokiota, na maana yake, na namna utakavyoingia kwenye maombi juu ya hiyo ndoto. 1.WANYAMA:Kuota unakimbizwa na wanyama wakali inaasshiria mashambulizi ya kipepo,yaaani nguvu za giza zimejizatiti dhidi ya maish yako. 2. DAMU:Kuota/kuona damu...
  7. Eli Cohen

    Ni breed ipi ya mbwa ndio ndoto yako ya kuwa naye nyumbani?

    Kwa kweli namkubali mbwa anaeitwa "GREAT DANE" Size yao, nguvu ya sauti ya kubweka, uchangamfu na nguvu.
  8. Robert Heriel Mtibeli

    Ndoto ya wengi ni Kazi, nyumba, Familia, mwisho Gari

    Kwema! Kibongobongo wengi ndoto yao ni kupata kazi, kisha nyumba( inaweza kuwa uwezo wa kulipia apartment), Familia(mke au mume na watoto) alafu mwisho usafiri kama kagari Fulani hivi kakishkaji. Imeisha hiyo
  9. L

    Hivi majuzi nimeota ndoto imenishangaza

    Nimeota nimekutana na malaika watu, hilo halikunishutua sana mimi ni mpentecostal safi. Cha ajabu hawa malaika walisema wanatoka kwa suba(Mungu wa Islam) na wametumwa kwa baba yangu? Hii inaweza kuwa na maana gani? Kwa kifupi kabisa mimi sijawahi hata kuwaza kuwa kwenye Imani hiyo. Je, hawa...
  10. A

    Ndoto ya ajabu inayojirudia rudia na mikasa niliyopata inanifanya nichanganyikiwe

    Habari za mapambano wana Jf? Mimi ni kijana wa miaka 27 ni muhitimu wa chuo kikuuu x na nipo nasubili ajira. Na saivi najishughurisha na bodaboda pia nalima. Kuna ndoto inanijia mara kwa mara yaaani " naota nipo shule nafanya mitihani ambayo ni migumu ambayo simalizi, nyingine nipo kwenye...
  11. LIKUD

    Mhitimu unayeamini waliopata sifuri Form 4 ndio kutimiza ndoto zao basi elewa kwamba ulipoteza muda shuleni

    Watu kadhaa wamenitag kwenye Uzi wa matokeo ya Necta ili nijionee jinsi vijana wa shule za Kayumba walivyo pata zero na 4 kwa wingi. Ni kama vile wanasema "Wewe si ndo unajifanya kuzipigia kampeni shule za Kayumba ona sasa walicho kipata?" Hapo hapo ni kama vile wanasema tena "Hawa vijana...
  12. Oya Tusepe

    Wataalamu wa ndoto mpo wapi? Njooni mnipe tafsiri

    Habari wakuu. Nimeota naoneshwa na mtu wa kawaida tu na 60 60, ni kwamba 60 moja imeandikwa juu ya nyingine. Kisha akaniambia, KIJANA HUO NDIO MWISHO WAKO. Note: Ni kwa watu wenye uelewa wa ndoto pekee
  13. M

    Ndoto ya Marekani na NATO kuishinda Urusi kwa kutumia mikono na damu ya Ukraine inaishia mdogo mdogo!

    Sasa hivi Marekani na NATO kwa ujumla wanajiondoa mdogo mdogo na zigo lote wanamwachia Zelensky na Ukraine yake! Ushindi ungepatikana wangesema ni wao wameshinda, lakini kwa sasa wanadai Ukraine inashindwa! Hata yule aliyekuwa waziri mkuu wa Uingereza aliyeizuia Ukraine kufikia makubaliano...
  14. Kijana LOGICS

    Kadri umri unavyoenda uwezekano wa kupata MKE/Mume sahihi unapungua

    Vijana oeni mapema Kadri umri unavoenda probability ya kuangukia kwa MTU broken ndio inaongezeka. Umri WA wadada single broken unaanzia 28yrs Umri WA wanaume single broken ni 35+ Ukijichanganya ukachelewa kuoa au kuolewa utakutana n'a mwenza aliyekata kamba. Manake kashaumizwa sana hadi...
  15. sinza pazuri

    Hatimaye Anjela atimiza ndoto yake ya muda mrefu, Zuchu akubali kufanya nae kazi

    Kila mtu ana ndoto zake na malengo yake. Anjela msanii aliyekuwa konde gang wakashindwa kumpa huduma muhimu akasepa, ndoto yake kubwa ni kufanya kolabo na msanii wa kike namba moja east africa Zuchu. Leo baada ya kuelezea namna atafurahi akitimiza ndoto yake hii, Zuchu alimpa go ahead ya...
  16. Mwamuzi wa Tanzania

    Kama wewe ni maskini ni vyema utambue mapema kuwa rasilimali za nchi hii hazikuhusu, ndio maana Sheria kali za kulinda rasilimali ziko kwaajili yako

    Hello! Kama wewe maskini please, please, please usizisogelee hizi rasilimali za taifa . Ni hatari zaidi ya kutupia kitimoto kwenye kusanyiko la Eid. Utauliwa na vijana wa TAWA, TANAPA, au TFS na ukinusurika nao utaozea jela. Ni ushauri tu.
  17. R

    Je, vipofu huota ndoto?

    Salaam, shalom!! Twende haraka kwenye mada, nimekuwa nikipost mada za intelligence ya Mbinguni katika jukwaa hili na zinahamishiwa majukwaa mengine, Leo tuanze mwaka na swali hili, Je vipofu wa Kuzaliwa huota ndoto? Kurahisisha upatikanaji wa jibu kuhusu ndoto za vipofu, tupate tafsiri ya...
  18. mdukuzi

    Nashukuru Mungu mwaka 2023 nimetimiza ndoto yangu ya kuishi Masaki japo ni chumba kimoja

    Nilizaliwa nikajikuta niko mitaa ya Chole Oysterbay, Mwaka 1988 kufumba na kufumbua roli aina ya Bedford limekuja nyumbani kutuhamisha kuelekea Tabata, huwezi amini mizigo haikufika hata nusu ya roli lile, enzi hizo watumishi ukihamia nyumba ya Serikali unakuta vitanda, magodoro, sofa, dinning...
  19. M

    Yanga komaeni kushinda mechi zenu: Hii ndoto ya kutaka Al Ahly amfunge CRB ugenini ni ndoto ya bafuni wakiwa wanaoga!!

    Namna pekee (the only scenario) ya Yanga kutinga robo fainali ni ya kushinda mechi zake zote mbili zilizobaki dhidi ya CRB nyumbani na dhidi ya Al Ahly wakiwa ugenini! Kama ubavu huo hawana wasahau ndoto za kuingia hatua ya robo fainali!! Kama Al Ahly alishindwa kumfunga CRB akiwa nyumbani ni...
Back
Top Bottom