ndoto

Ndoto Za Elibidi is a 2010 Kenyan film.

View More On Wikipedia.org
  1. S

    Masela na ndoto ya bahari Jangwani

    Kuna masela wawili pale jangwani waliofanikiwa kuipata chemchem baada ya miaka 88 na wananchi rasmi kuanza kuiota bahari katikati ya jangwa. Hawa ni viongozi wangu ila ni masela wenzangu pia. Wakati waanza masela hawa kila mtu hakuwa na imani nao kama wateza kupata maji jangwani na badala yake...
  2. benzemah

    Ndoto ya Rais Samia kuifufua NARCO yaanza kutimia

    Serikali imeiwezesha Kampuni ya Ranchi za Taifa (NARCO) Sh. bilioni 4.65 kununua vitendea kazi na ng'ombe wazazi ili kuboresha na kuongeza uzalishaji wa kampuni hiyo. Hayo yamefahamika wakati wa ziara ya Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Abdallah Ulega aliyoifanya katika Ranchi ya Kongwa wilayani...
  3. G Jonathan Kamenge

    "United States of Africa" na Ndoto za Bulicheka

    Changamoto kubwa mbili zinazowakabili Waafrika kwa sasa katika ulimwengu, na kusema kweli zinazotunyima sauti kwenye majukwaa ya kidunia, ni Mamlaka (Sovereignty) na Nguvu za Kijeshi (Military Power). Tuzungumze Mamlaka! Miaka 60 tangu kuundwa kwake, AU (African Union) imeshindwa kufikia maono...
  4. W

    Dah, ila ndoto zingine; sasa kuota unakula chakula juu ya choo ndo nini tena hiki?!!!!!

    Imenitokea hivi punde tu. Nilijikuta napata chakula juu ya ukuta wa choo kilichowazi. Ajabu ni kuwa chakula chenyewe nimenunua kwa mama n'tilie anayeuzia nyumbani kwake na hapo juu ya choo ndipo nilipojikuta nimechagua kukaa. Yaani nimeamka ghafla hapa, hata sielewi. Hata habari za makolo...
  5. R

    Naombeni code za hii ndoto

    Habari za wakati huu ndugu zangu. Naamini humu ndani watu Wana maarifa mbali mbali katika nyanja tofauti tofauti. Nipo na mahusiano na mwanamke mmoja ambae nmezaa nae mtoto mmoja. Siku kama mbili tatu nyuma nlikua nmetibuana nae ijapo sikuonyesha kwake ka amenikwaza Ila mawasliano nlipunguza...
  6. Mwachiluwi

    Ndoto hii imekuwa ikijirudia mara kwa mara lakini sijui maana yake

    Morng African. Kuna ndoto imekuwa inanijia mara kwa mara lakini sijui maana yake naomba msaada kwa anaejua. Jana nimeota narudi kazini pale ambapo niliacha mweenyewe na ujio wangu wa kurudi pale boss anaonekana kufurahia wafanya kazi wezangu nao wanafurahi sana lakini sijawaelewa. Mara...
  7. Kiranja Mkuu

    Sio ndoto, nimeng'atwa na paka kwenye uume

    Sio ndoto, ni tukio halisi. Baada ya kuperuzi JF nikampigia mke wangu, maana niko Mafinga nimekuja kufunga mzigo wa mbao kwa ajili ya ujenzi wa shule. Nilipomaliza kuongea na simu, nimekuja kushtuliwa na maumivu makali sana kitu kimeng'ata uume wangu na kimeushikilia. Uzuri switch iko hapahapa...
  8. Cute Msangi

    Nina gundu, wanaume hawanitongozi

    Wazima jamani Baada na kuachana na boyfriend wangu, sasa ni miez 5 sipo kwenye mahusiano, niko mpweke Sana sijui yule kaniachia gundu mwezenu ata sitongozwi yani kila nikijipitisha walipo wanaume hakuna ata anayenisimamisha au ata wakuniomba namba,nikijiangalia kwenye kioo najiona bado...
  9. O

    EDO KUMWEMBE: Ndoto inayotisha dhidi ya ndoto inayosikitisha Simba, Yanga

    NI ndoto inayotisha. Pambano la Simba dhidi ya Wydad Casablanca ya Morocco ni ndoto inayotisha. Simba wametoka kufungwa jumla ya mabao 6-1 katika mechi mbili walizocheza na Raja, timu nyingine kutoka jiji hilo lenye wakazi milioni tatu na zaidi nchini Morocco. Lakini kuna ndoto nyingine...
  10. LA7

    hii ndoto inamaana gani? kitu ambacho ni sahihi naambiwa sio sahihi

    kwanza kabisa mtanisamehe kwa kuwasumbua kila wakati kwa kuja hapa kuhitaji msaada wenu lakini nashukuru kwa majibu yenu mazuri ambayo wakati mwingine yananifanya kuwa makini na mambo yajayo, ipo hivi kwanza kabisa mazingira ya hii ndoto na watu wote waliokuwepo nawafahamu ni huko kijijini...
  11. LA7

    Maana ya ndoto ya kutembea uchi mbele za watu, mrejesho

    Kwanza kabisa niwashukuru wana jamiiforms kwa kunifumbulia maana ya ndoto hii, ukweli upo hivi, toka nianze maisha na make wangu sijawahi chepuka nje na mke wangu ni miaka miwili sasa imepita, na watu wengi mpaka ndani ya familia yangu wananisifiaga kuwa Mimi ni mtu wa pekee sana kwani sipo kama...
  12. T

    Nimekuwa nikijitahidi kuzikemea ndoto zangu lakini wapi! 2025 CCM watanyukana ngumi!

    Shalomu Tanzania! Nimekuwa nikiota ndoto za ajabu na kwa upande mwingine ndoto hizo, huwa zinanifurahisha na naamini pia iwapo itakuwa ni kweli' wote waliowahi kusababishiwa umasikini na ama kuteswa na wanaojiita CCM, basi tutakuwa na kila sababu ya kufanya sherehe anguko hili tukufu la wana...
  13. LA7

    Ina maana gani kuota unatembea uchi mbele ya watu?

    Kwanza kabisa nilikuwa juu ya jengo la ghorofa 4 nikiwa uchi kama nilivozaliwa, sasa wakati nashuka zile ngazi zilikuwa ni zile zinakaaga nje kwa pembeni, cha ajabu hizo ngazi hazikuwa za kawaida yaani ni nyembamba mno kiasi ya kwamba ili uzishuke lazima uwe umegeuzia tumbo ukutani na ushikilie...
  14. J

    Simba msimu ujao tujifelishe tushiriki Shirikisho, tusishiriki tena Champions League, ama nusu fainali kwetu itabaki kuwa ndoto

    HAKUNA POINTI YA KUSHINDANA KATIKA SHINDANO AMBALO UNAJUA HUTASHINDA Yaani unakuwa tu kama msindikizaji, Simba ni timu kubwa sana, yenye pride kubwa, so haiwezi kuendelea kuwa mdindikizaji kila msimu kama timu ndogo Jamani wana Simba tuwe realistic, kwenye mashindano ya CAF Simba mwendo...
  15. T

    Unadhani ni kweli Hayati Magufuli aliiona Tanzania ikiwa nchi ya kutoa misaada kwa nchi zingine?

    Ni kweli miradi iliyoanzishwa chini ya utawala wa Magufuli, ilitosha kuifanya nchi yetu kuondokana na umasikini na kuwa nchi yenye uchumi mkubwa kiasi cha kutoa misaada? #Unapoitazama SGR unaona nini #JKNHP, unaona nini #Kauli mbiu ya viwanda, wewe unaona nini #Ununuzi wa ndege Je. #Upanuzi...
  16. kali linux

    Ukilewa sana kisha ukalala unaweza kuota ndoto ndani ya ndoto na ukiwa kwenye hiyo ndoto ukaota tena ndoto ila process ya kuamka inaweza kukuchizisha

    Hello bosses and roses, Leo niko kwenye mood ya kuandika so nimeona niandike hii experience nliopitia mwaka fulani. Kuna siku miaka ya zamani kdg nililewa sana zaidi ya kawaida. Mie nna alcohol torelance ya ajabu sana. Hata nilewe vipi huwa sipotezi fahamu, nitayumba kutembea lkn ukinipa kazi...
  17. G-Mdadisi

    Wenye ndoto za kugombea nafasi za uongozi 2025 watakiwa kuzijua kwanza changamoto za wananchi wao

    ZANZIBAR KATIKA kuhakikisha lengo la ushiriki sawa wa wanawake kwenye nafasi za uongozi linafikiwa, wanawake wenye nia ya kugombea na kushika nafasi hizo wametakiwa kutumia muda wao kukaa karibu na jamii zao ili kubaini changamoto zinazowakabili wananchi na kusaidia kuzitaftia ufumbuzi badala...
  18. Bemendazole

    Ndoto ya Hayati Magufuli imetimia. Sasa Tanzania ni Donor Country

    Japo Hayati Magufuli aliwahi kuniudhi kwenye maeneo fulani, lakini leo nimefurahi kwa kuwa Tanzania imefanikiwa kuwa a Donor Country. Haya yalikuwa ni maono yake kuiwezesha nchi yetu kuwa msaada kwa wengine. Sasa tunaona tukiisaidia Uturuki, Malawi n.k. Mungu baba wa Mbinguni amuhurumie mja...
  19. kwisha

    Hii ndoto ina maana gani?

    Kuna kitu nimekiota leo ambacho bado natafakari Sipati majibu Nimeota kuna baba moja ambaye alikuwa na watoto wengi saana na wote walikuwa wanakaa ndani ya nyumba moja. Sasa kwa bahati mbaya nyumba ile ikaungua moto baba yule akatoka ndani ya nyumba ile mbio na kukimbia kuokoa maisha yake...
  20. Pumigogolo

    Nini Maana ya ndoto hii?

    Kuna mtu ameniambia ameota ndoto kwamba ameumwa na nyoka mdogo na mguu wake umevimba sana. Nini maana ya ndoto hii?
Back
Top Bottom