Habari ndugu Wana jukwaa.
Ile ndoto ya Mwendazake kuifanya Chato kuwa Mkoa inaonekana kugonga mwamba Kama sio kuota mbawa kabisa kufuatia Mikoa Jirani Kugoma.
Taarifa kutoka huko Kigoma,Mwanza na Kagera Ni kwamba Wananchi wamekataa maeneo Yao kuwa sehemu ya Mkoa mpya wa Chato hivyo kuzika...
Enyi wapambanaji, "Kama kazi yako, hujawahi kutana na polisi au vyombo vya usalama" kuwa tajiri Ni ndoto!
Utakuwa na maisha ya kawaida Sana, shida ZITAKUWA nawe kila siku, lakini kamwe hutoweza kuwa tajiri ktk maisha haya.
"Lakini Kama kazi yako unayoifanya una misuko suko ya kukutana na...
Imenitokea usiku wa leo wadau, hapa nimebaki nimeshangaa tu tangu asubuhi mpaka muda huu.
Wanasema si vema kusimulia ndoto lakini kwa hili limenishinda; kikubwa nilichoweza kufanya ni kutosimulia hapa mtaani na badala yake nimekuja humu.
Fadhaa zaidi inanikuta kwenye aina ya mapenzi niliyoota...
Habari waungwana naomba msaada kwa mwenye kuelewa maana ya ndoto hii mara nyingi nimekuwa nikiota naendesha vyombo vya moto kama vile gari ya abiria au pikipiki huku nimepakia abiria nyuma.
Sometime naota narusha ndege angani yenye abiria wengi wakati huo sina experience yoyote na vyombo vya...
Ndugu wanajamvi habari zenu,
Natumaini mko powa kabisa na mnaendelea na shughuli za hapa na pale
Kwenye maisha ya mwanadamu kila mtu anakuwa na ndoto zake ambazo hana budi kuzipigania!!
Binafsi toka nikiwa mdogo ndoto zangu zilikuwa ni kuishi Canada, hapa katikati ni kama zilipotea vile...
Kuna kipindi fulani mida ya usiku nimelala, ghafla juu yangu nikaona nuru nyeupee imeniwakia na sauti ikaanza kuongea, huwezi amini ile lugha sikuielewa.
Siku nyingine nimewahi kulala mida saa tano ghafla tena Ile nuru nyeupee ikanijia na sauti Ile ile ikawa inaniongelesha.
Na mara zote...
Hello family,hope mko bye!
Moja kwa moja kwenye uzi,kwa kifupi sana ndoto yenyewe ni kwamba JF ina utaratibu wa get together party kwa kila mwisho wa mwaka (December) kwa members wote wa JF na ndoto hii ni kuhusu party ya mwaka huu Dec 2022.
Utaratibu wa hii party ni kwamba wahudhuriaji (JF...
Habari!
Hapa naomba tuelewane kuwa sizungumzii pesa bali nazungumzia ndoto za vijana katika kuliinua taifa na familia zao.
Pamoja na kazi ya bodaboda kuwapatia kipato vijana na baadhi ya wazee ambao wanaifanya hiyo biashara lakini imechochea uchumi wa China na India kwa kiasi kikubwa.
Hapa...
KWA NINI MUNGU HAZUNGUMZI TENA NA WATU WA LEO?
Leo 14:45hra 27/11/2022
Je unaweza kuitambua sauti ya Mungu!? Je ukipata ndoto au maono utaweza kutambua huyu azungumzae nami ni nabii Musa, ama Nabii Elia ama ni Yesu Kristu? Unapaswa kuwajua awa kwa kuwasoma kwenye maandiko jinsi walivyo ili...
Nimegundua ukitaka kujenga ukisubiri Pesa zijae hata kibanda hutajenga, Basi sasa mliojenga ama wenye malengo ya kujenga ila bajeti inabana tushauriane ni bidhaa zipi tuanze kununua mdogo mdogo ili kufanikisha ndoto ya kujenga.
Mfano Je ni wazo zuri kuanza kununua vitu vyenye gharama kubwa...
Nashangaa sana kuona watu wanayopotoshana kwamba ujio wa starlink Internet hapa Tanzania ndio utakuwa suluhisho la unlimited internet ghali kama supakasi ya voda.
Kama hauwezi kumudu internet unlimited ya supakasi kwa 115,000 basi ondoa shaka kabisa kwamba star link itabaki kuwa ndoto daima...
Amani iwe nanyi GT!
Nmepata kuota ndoto ambazo tafsiri yake nmeshndwa kung’amua...ila naomba niulize wajuvi wa mambo
Watu
Watu ninaotokea kuwaona kwenye ndoto sjawah kutana nao hata siku moja.....ni sura mpya kabisa ktk ulimwengu wa kawaida. Yaweza tokea ndoton naota nmekutana nao mskitin...
Habari zenu wapendwa.
Mimi ni mwanafunzi wa Diploma ya Uandishi wa habari mwaka wa pili. Nina ndoto ya kuwa Mshehereshaji wa matukio makubwa ya kiserikali hususani Yale ya mh Rais.
Naomba ushauri, je napaswa kufanya Nini ili niweze kutimiza ndoto yangu hiyo huku nikiendelea kusoma zaidi?. Je...
Vijana mmeaminiwa na Rais Wa Jamhuri Ya Muungano Wa Tanzania kwa kupewa uwaziri lakini mnachokifanya kwenye wizara zenu ni madudu tu. Hamjaonesha kuwa mko competent kuweza kugombea nafasi ya Urais hapo mbeleni.
Mwigulu Nchemba umeshindwa kubuni vyanzo vipya vya kodi badala yake umeweka tozo...
Wakuu heri, nimeota ndoto npo na mzee anayefanana na marehemu mengi, nikawa namueleza changamoto zng za kutafuta ajira, akanpeleka kwenye ofisi moja akanambia nitafanya kazi hapo. Wakati tunarudi akawa ananipa pesa za noti elfu tano tano kwa kuzdondosha chini mi naokota, niliokota mpaka likawa...
Ndoto hii nimeiota usiku huu mida ya saa 8 sasa sababu usingiz ulikata ikabidi niingie mtandao jf kupata habari zilizojiri siku nzima ya jana. Natoa pole kwa wafiwa wote waliopoteza wapendwa wao kutokana ajali ya ndege nawaombea heri majeruhi wote Mungu awaponye warudi kwenye majukumu yao...
Habari zenu wana JF wenzangu, ama baada ya salam ningependa sasa nijielekeze kwenye mada husika.
Ndugu wanajamii forum wenzangu, unapokuwa nje ya nchi mara nyingi unakumbana na changamoto nyingi kutoka kwa ndugu, jamaa na marafiki uliyowaacha nyumbani.
Hii ni kutokana na wao kuona, au kuamini...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.