ndoto

Ndoto Za Elibidi is a 2010 Kenyan film.

View More On Wikipedia.org
  1. G

    Ndoto zinavyoyasumbua maisha yangu, Nifanye nini?

    Nikipata muda naweza andika historia ya maisha yangu kwa kirefu, Kwa sasa naomba nieleze kwa ufupi. Nilipokuwa kama darasa la tatu au la nne hivi nilikuwa nalala na kaka nyumba ya pembeni kama mnavyojua nyumba za vijijini basi tulilima alizeti tukavuna kidogo tukawa tumeiweka pembeni ya nyumba...
  2. K

    Bodi ya mikopo(HESLB) inavyotaka kukatisha ndoto zangu za kusoma

    Kichwa cha habari cha husika, Mimi ni mwanafunzi niliyepata udahili kwenye chuo kimoja cha serikali, kozi ya engineering Mimi ni yatima kabisa na sina ndugu mwenye kipato cha kunisomesha, tegemeo langu kubwa lilikua bodi ya mikopo ila mpaka sasa batch 2 zote sijapangiwa mkopo licha ya...
  3. Dewji: Ni ndoto ya kila kijana wa Kitanzania kufanya kazi MeTL

    Nafuatilia mahojiano aliyofanya mfanyabiashara tajiri kijana Mo Dewji na Bloomberg. Mo anadai anapata furaha kubwa pale inapokuwa ni ndoto ya kila kijana wa Kitanzania kufanya kazi na Kampuni yake, amedai watu wengi wameacha kazi mitandao ya simu na Kampuni za uchimbaji madini na kuamua kujiunga...
  4. L

    Rais Samia ni Kiongozi wa ndoto ya Watanzania

    Ndugu zangu Hivyo ndivyo unavyoweza kusema kuwa Mama Samia Ni Rais wa Ndoto ya watanzania ya muda mrefu, watanzania siku zote walihitaji kiongozi atakaye kuwa msikivu kwa matatizo na kero zao, kiongozi atakaye kuwa na moyo wa kuguswa na shida zao, kiongozi atakayekuwa na moyo na ngozi ya...
  5. C

    Fikra duni ndio chanzo cha kupoteza ndoto za kijana?

    Inafahamika kwamba wazazi hasa wa Kiafrika huwa na mitazamo juu ya maisha ya watoto wao kuanzia elimu mpaka makuzi ya watoto wao ndio hutoa taswira ya maisha ya mtoto. Lakini kwa upande mwingine wazazi wengi wa Kiafrika hasa waliyokulia kwenye nyakati za ukimaliza shule utapata kazi, hawaamini...
  6. Kwa hizi tweets za mtoto wa Museveni ni viashiria vya wazi kuwa shirikisho la siasa ndani ya EAC ni ndoto

    Kwa kipindi tofauti tofauti Jumuiya hii ya Africa ya Mashariki imekuwa inakumbana na mambo ya Ajabu ajabu kutoka kwa viongozi Awali miaka ya 2005's -2010's Tilipitia kile kilichooitwa Coalition of Willingness ambapo hapa kidogo baadhi ya wana jumuiya walitaka kumtenga Tz, hatukukaa sawa...
  7. Msaada wa ndoto hii

    Nimekuwa mara kwa mara naota kuku, aidha nakula nyama ya kuku au namkimbiza kuku ...kwa leo nimeota tulikuwa watu kama watatu hivi, tulikuwa tunamkimbikuza kuku na baadae mimi ndie niliefikiwa kumkamata huyo kuku...hii ina maana gani
  8. Kuota naokota hela, hii ndoto ina maana gani?

    Nilijifunza kutokupuuzia ndoto nnazoota huwa najitahidi kufatilia na kuulizia maana yake, kwani nimekua naota mambo halafu yanatokea kweli yanatokea vile vile nnavoona kwenye ndoto, hadi najihisi unabii unaninyemelea. Wiki kama mbili hivi zilizopita niliota nimepita njiani kuna kisima kimejaa...
  9. Wana JamiiForums, naomba mnisaidie kutimiza ndoto zangu kuwa Clearing and Forwarding Agent

    .
  10. Bado na Ndoto ya kwenda kuishi Canada

    Wadau habari za jamvini mimi naomba msaada kwa yoyote mwenye imani ambaye anaweza kunipa tips za kwenda Canada kupambana uko kimaisha kama hauna lolote unalojua kaa pembeni subiri ujadili mengine
  11. Maajabu: Niliamka katikati ya ndoto lakini bado nikabaki usingizini, na nikijaribu kujiamsha inashindikana kabisa

    Baada ya kujaribu mara kadhaa ili niamke na kushindikana nikaona isiwe tabu, wacha nitulie tu labda nitaamka mwemyewe tu, lakini ikawa inashindikana. Baada ya kuwaza kidogo, nikaona nijaribu ku-imagine naendesha V8 nione itakuwaje, kweli bhana, kugeuza shingo naona V8 nyeusi kalii imeandikwa...
  12. Msaada jamani kwa mtu yeyote atakayetambua hii ndoto

    Kwema, Kama kichwa Cha habar kinavyosema msaada wenu. Mimi nimeota usiku wa leo kuwa nyumba yangu ya Kijijini inaungua Moto mle ndani Kuna mtoto wangu mdg nikaenda nikamchukua nikaondoka nae Ila mke wangu akawa anataka aingie kuchukua vitu vingne nikamzuia aache tu viungwe maadamu mtoto tuko...
  13. Kila ndoto ina sababu na kusudi, usije ukapuuza ndoto yako hata moja

    Ni kweli kwamba ndoto, maono na njozi huja mara nyingi katika hali ya mafumbo sana ambayo kibinadamu ni ngumu kuelewa, lakini kwa msaada wa Mungu aliyefunua hayo huandaa na tafsiri halisi kuyahusu maono hayo ama ndoto na njozi hizo. Nina wakaribisha katika tafsiri za Ndoto.
  14. Z

    SoC02 + Ilivyoangamiza ndoto zangu

    Mwanzo nilikuwa binti mwenye nuru sana, pamoja na kufiwa na wazazi wote wawili wakati nikiwa na miaka 8 lakini sikuwahi kuwa na maisha ya ukiwa hata kidgo, ndugu zangu upande wa mama walilichukua jukumu la kunilea kwa zamu tena kwa mapenzi makubwa sana. Nikafanikiwa kupata elimu ya msingi na...
  15. H

    SoC02 Ndoto yangu shuleni Sumbawanga

    Nikiwa Form Six Sumbawanga Sec, Ilikuwa ni siku ya Ijumaa,Siku ambayo tulikuwa tunawahi kutoka Darasani kwani ilikuwa ni siku special kwa ajili ya Michezo. Basi bwana me nkiwa na kibaiskeli changu nilichochukua kwa Dogo mmoja wa Olevel... chini nkiwa nmepiga Soksi na Sendo huku juu tisheti na...
  16. Mungu nisaidie nitimize ndoto yangu ya kumsaidia mtu mmoja tu abadilishe maisha, akawe na maisha mazuri kabisa

    Kila mtu ana ndoto yake. Wapo ambao ndoto zao ni kuwa wafanyabiashara wakubwa wenye mapesa, wapo wenye ndoto ya kuwa maraisi, wapo wenye ndoto za kuwa na upako mkubwa kupitiliza, wakiliga chafya wafu wafufuke. Kwa kweli furaha yangu niweze kumsaidia mtu mmoja, awe mume au mke, mwana JF au...
  17. Kutotimia kwa ndoto yangu jana ya Mwigulu Nchemba kutangaza kujiuzulu hakunishangaza!

    Toka siku niliposikia kuwa WIZARA ya Fedha ingetoaa ufafanuzi kuhusu tozo ya miamala ya simu na benki, nimekuwa nikiota ndoto. Kuna ndoto na kuna ndoto. Kuna ndoto za usiku na kuna ndoto za mchana. Ndoto za usiku ama ni za kuleta tumaini au kutia hofu na ingawa kwa muda huweza kuleta tumaini...
  18. SoC02 Ile ndoto

    'Mama Kibandiko Unajua kupika kila kitu!'-" Pishi la Leo Maharagwe tena yame changanywa na Tui la Nazi!!'. ..."Basi Shibe yangu imekua Balaa". "Huwa nahisi raha Sana, pia najisikia Amani kula Chakula kilicho pikwa na Mke Wangu"- Nakumbuka nilimsifia Mkwe wangu kwa maneno hayo Mara Badaa ya...
  19. Binti kamaliza form 6 na ndoto za kusomea udaktari kwa matokeo ya Division 1 ya 9; Physics C, Chemistry C, Biology C, Maths C, amekosa mkopo

    Habari za jioni wakuu mabibi na mabwana Huyu binti namfahamu tangu akiwa mtoto. Anatoka kwenye mazingira magumu kuliko ngumu wenyewe. Hamjui baba yake mzazi, hajawahi kumsikia wala kumuona. Mazingira ambayo mama yake hawezi kumiliki hata simu ya elfu20, hawezi lipa kodi vyumba2 vya elfu 60...
  20. Manzoki aiaga rasmi klabu ya Vippers, anaelekea Nchini China kujiunga na klabu ya Dallian FC. Juhidi za simba kuinasa saini yake zagonga ukuta

    Muhimu: Mchina kamwaga milioni 930 kuinasa saini na mshahara mnono, wanaoaminishwa na tetesi kwamba Manzoki atacheza China miezi minne na kisha kurudi simba wajaitafakari upya, Ni sawa na rubani wa ndege apate kazi shirika la ndege halafu mtegemee baada ya miezi minne aanze kuendesha mabasi ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…