Habari wanajamvi, naimani mko poa,
Moja kwa moja kwenye mada, Kuna kipindi niliota ndoto ya namna hiii, ndoto yenyewe ni ya shule yaani niliota Niko shuleni Advance, sikuwa na imani mbaya na ile ndoto mpaka ilipokuwa inajirudia.
Hapo ipinishtua nakuanza kuulizia maana yake ni ipi, majibu...