Ngoja niweke ushabiki na chuki zangu pembeni dhidi ya Ndugai, katika hili la sasa la Rais Samia kumfokea, kumdhihaki, kumbeza, kumnanga na kumzodoa hadharani Spika wa bunge la Tanzania, Job Ndugai binafsi ninaona sio haki, sio uungwana na sio heshima.
Spika Ndugai ameonewa na kudhalilishwa...