Mzee wetu ni katiri hasa, kiasi kwamba ametufanya vijana wake wote tumuachie kila kitu.
Sasa jana nmejikuta nalia ghafra baada ya kuwaona ndugu wanaoshirikiana na wamepiga hatua kimaisha.
Wazazi, fundisheni watoto wenu ushirikiano,
Niasaidieni, kifua kimekaba hatari🙏🙏🙏
mimi nikijana nina amri wa miaka 26 nimeona na nimejaliwa kupata mtoto wa kike ila ninatatizo Fulani ambalo linanitatiza kipindi naoa mke wangu kuna siku kulitokea misunderstanding Kati yangu na mke wangu mwenzangu kwa Asira akanilinganisha na ex wake kwa kumsifia ex wake kuwa yupo vizuri...
Huu mwaka kama wa 10 sasa toka nianze kumilik simu janja, naona mbs na gbs zinaishia tu kucheki ushilawadu tu katika mitandao ya kijamii
Naomba msaada kwa wanaotumia mbs kujiingizia kipato lakini zitaki kupitia michezo ya kamali.
Alinibania nikamvumilia sasa nikaona huu ni upuzi ya nn niteseke sasa baada ya kugundua nimeanza mahusiano mapya ameanza kuvurugwa.
Kipindi sina demu alikuwa ananijibu kwa jeuri kwa sababu alikuwa na uhakika yupo mwenyewe
Sasa baada ya kuendeleza mgomo nikamwambia Leo sitalala nyumbani, kufika...
Wakuu aisee nna changamoto ambayo nahitaji kuielewa kabla sijaipotezea as usual but this time nahitaji msaada wenu Ili nikiipotezea nisije jiuliza maswali kama haya Tena hapo badae..
Wanawake
1. Kwanini wanawake haswa my age Kila ninapo wakuta sehemu wanazotoa services mfano canteen, kwenye...
Nina miti ya parachichi iliyo ota katika shimo Moja na imekua na muda mrefu sana bila kutoa matunda imerefuka tu na kua nyembamba kiasi
Je, nifanyajee?
Hii haina haja ya kusalimiana,
Jana nikiwa kwenye harakati zangu za kutafuta mkate wangu wa kila siku kama ilivyo Ada kwa watu tuliombiwa tutakula kwa jasho. Niliibahatika kuingia kwenye jengo moja mitaa ya Masaki.
Wakati natoka kwenye hilo jengo nje nikakutana na kundi watu wanaoonekana ni...
Bila shaka awali ilionekana chama hiki ni kama chama cha siasa sawa na vyama vingine, Lakini kadiri muda unavyosonga kinaanza kudhihirisha sababu za uwepo wake
Nadhani madhumuni, misingi na malengo ya kuanzishwa kwake yameimarishwa au kuboreshwa zaidi hivi sasa na huenda kinyemela...
Infact...
Salaam kwa Wanajukwaa..baada ya pilika pilika na changamoto za hapa na pale nimerejea Jukwaani.Namshukuru Mungu Kwa Uhai..Sasa nitaweza kusoma na Kuchangia hoja
Nitafutie mwenye shepu kubwa hapo..
Nitafutie mwenye umbo namba 8 hapo...
Unamuona mweupe na mweusi hapo?
Umemuona handsome hapo?
Je unaweza kumfahamu boss na mtumwa hapo?
Umemuona mwenye PHD na darasa la 3 hapo??
Waweza kumuona mwenye 6 pack hapo?
SHORTLY
Huna uzuri wowote, huna elimu...
Wadau hamjamboni nyote?
Kichwa cha habari chahusika
Niwatakie Usiku mwema
"Usijifanyie sanamu ya kuchonga, wala mfano wa kitu cho chote kilicho juu mbinguni, wala kilicho chini duniani, wala kilicho majini chini ya dunia"
Kutoka 20:4
Yessssssss.. niaje!
Asee kazi nyingine ndugu zangu sio kazi. Mshahara 180 or less na hapo hujafanya kosa. Unagewa mkataba huo unaweza ukalia na unaambiwa kama hauuwez tunakuruhus njia ile nyeupe!.
Hapo unashngaa kila siku unalipwa elf 6 lakini siku hiyo ukikutwa na kosa unakatwa elfu 20...
Kwa kweli mmekamilika kweli sio utani, ila yapo mambo yanatufanya tuwe na wasiwasi wazee wa Jangwani.
Timu mnayo na mnaonyesha kweli mnataka bao, ile move ya Boka hadi mtu akajifunga sio masihara, yule ni Usain Bolt kabisa.
Lakini kwanini Azam jana wajifunge mabao yote matatu huku nyie...
Wadau hamjamboni nyote?
Nimeanza jifunza kuhesabu kwa kiarabu
Nimeona niwe tofauti na Wakristo wenzangu wanaoamini kuwa kiingereza ndiyo lugha sahihi zaidi kwao kuliko lugha nyingine
Kiarabu ni mojawapo ya lugha bora Duniani tena iliyotumika kushushia kitabu kitakatifu
Asubuhi ya leo...
Baada ya waislamu kuucheka,kuuponda ukristo hatimae nao wamefikiwa na wahuni
Huyu kwetu sisi wakristo ni muhuni kama wahuni wengine tu Hana tofauti na kiboko ya wachawi.
Nimemaliza
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.