ndugu zangu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Rorscharch

    Ndugu Zangu Waislamu, Kwanini Waarabu Wanakimbilia Kwenye Mataifa ya Makafiri Badala ya Nchi za Kiarabu Kama Saudia na Qatar?

    Katika miongo ya hivi karibuni, Ulaya imekuwa ni eneo la mchanganyiko wa tamaduni, ambapo mamilioni ya wahamiaji kutoka sehemu mbalimbali za dunia wamekuwa wakielekea huko. Miongoni mwao, kuna idadi kubwa kutoka nchi zenye Waislamu wengi, wakiileta tamaduni zao mbalimbali na mitazamo tofauti...
  2. B

    Naombeni ushauri ndugu zangu

    Habari za mda huu Nina million 1200000 wazo la biashara nililolipata ni kununu a pikipiki ya laki 8 alafu pesa inayobaki ninunue nguo za ndani za wadada na vigauni vikali niwe nawatembelea masaloon na kuwauzia je kwa hilo wazo nitafeli? Maana nitakuwa na pikipiki nitakuwa na uwezo wa kuuza...
  3. J

    Msaada jinsi ya kuondoa taarifa zilizojazwa kimakosa Ajira Portal kipengele cha Academic Qualifications

    Samahani ndugu zangu wapendwa, nisaidieni jinsi ya kuondoa taarifa zilizo jazwa kimakosa kwenye ajira portal pale kwenye academic qualifications
  4. Expensive life

    Ndugu zangu, Mbowe mnamuonea tu. Nani asiyejua utamu wa madaraka?

    Ni raha iliyoje kuona kundi kubwa la watu likikulamba na kukunyenyekea? Hata Lissu mwenyewe anajua kuwa moto aliouwasha siyo wa kitoto ni ngumu sana kuuzima kimasihara. Wapo waliojaribu wapo wapi sasa? Yaani kirahisi tu Mbowe amkabidhi kijiti Lissu? Thubutu, kuwa chairman wa chama kikuu cha...
  5. Subira the princess

    Ndugu zangu watanganyika usiku wa deni haukawii kukucha.

    Wasalaam. Mababu zetu zamani zile walikua na misemo ya konakona na mingine imenyooka, hatimae ule usiku wa deni umefika kesho tarehe 21/12/2024 mh mbowe atatoa msimamo wake kuhusu uenyekiti ndani ya chadema. Familia na wazee wamemnasihi asigombee, lakini machawa na wachumia tumbo wanamlazimisha...
  6. A

    DOKEZO Chuo cha ICOT-Morogoro cha Wizara ya Ujenzi kinatoa elimu dhaifu na hakilipi wakufunzi

    Habari ndugu zangu, kuna chuo kimoja kinaitwa ICOT hapo mjini Morogoro kipo chini ya wizara ya ujenzi kinatoa course za diploma kwa electrical, mechanical na civil engineering aisee kina changamoto kubwa sana. Chuo hakina wakufunzi wakutosha kwaio wanatumia wakufunzi wa part time ila cha ajabu...
  7. CAPO DELGADO

    NDUGU ZANGU WATANZANIA: Naomba mnisaidie kusikitika ni hili la uwanja wa Taifa.

    SELIKALI YA JAMUHURI YA MUUNGANO TANZANIA IMESAINI MKATABA WA UKARABATI WA UWANJA WA TAIFAA. Katibu Mkuu wa Wizara ya Utamaduni Sanaa na Michezo, Said Yakubu amesema Serikali ya imetoa Tsh 30 𝘽𝙄𝙇𝙇𝙄𝙊𝙉 kwa ajili ya kuufanyia ukarabati uwanja wa Mkapa. Amesema maboresho hayo yatafanyika katika...
  8. Nelson Kileo

    Kwa wale mnaokuja kula Christmas vijijini, zingatieni yafuatayo

    1. Huku pia tuna TV lakini chaneli zetu ni TBC na ITV hakuna mambo ya kuangalia series na TV tunawasha kuanzia saa 12 jioni baada ya kutoka shamba, acheni shobo. 2. Mje na dada wa kazi huku hakuna mtu wa kubeba mtoto wako anaye deka-deka. 3. Hakuna kuchotewa maji ya kuoga, ndoo ya maji kutoka...
  9. Bullshit

    Wokovu kwa ndugu zangu waislam

    Swali: Je, Uislamu unahakikishia wokovu wa mtu kwa hakika, au kuna kutokuwa na uhakika kuhusu hatima ya mwisho ya kila Mwislamu? Katika Uislamu, wokovu unategemea mizani ya matendo mema na mabaya (Sura Al-Zalzalah 99:7-8). Hata hivyo, hakuna Mwislamu anayehakikishiwa pepo, isipokuwa wale...
  10. Bullshit

    Swali kwa ndugu zangu Waislam

    Ikiwa Mitume wote walitumwa na Mungu, kwa nini kuna tofauti kubwa kati ya mafundisho ya Yesu (ambaye anatambuliwa katika Uislamu) na Nabii Muhammad? Yesu katika Uislamu anatambuliwa kama mtume wa Mungu lakini mafundisho yake katika Injili (kama vile upendo kwa adui na msamaha) yanatofautiana na...
  11. Bullshit

    Injili kwa ndugu zangu waislam

    Quran inasema injili na torati ni neno la Mungu na inakumbusha kuwa hakuna mwanadamu anawezakubadili neno la Mungu. Unaposema Bibliia iliaribiwa unakuwa kinyume na Quran, maana kwa mujibu wa Quran huwezi kuaribu neno la Mungu. Mungu aliumba mwanadamu kwa mfano wake, inaposema Mungu afanani na...
  12. Akilihuru

    Ivi hili inawezekana kwel? Ebu ndugu zangu njooni mtusaidie.

    Kwanz kutanguliza salam kwa kila mwana JF mwenzetu alie humu. Sasa ndugu wana jukwaa kaka yenu, mdogo wenu au rafiki yenu nina jambo langu ambalo limenisukuma mimi kuja hapa kuomba msaada na ushauri wa kitaalam kuhusu mambo fulan fulan ya kiafya. Ndugu yenu nina mwaka mmoja katika ndoa, ila...
  13. JanguKamaJangu

    Nabii GeorDavie: Yesu akirudi leo atataka kutumia gari yangu na atataka nimfuate Airport

    Nabii Geordavie amesema kwamba endapo Yesu angerudi leo, angehitaji kutumia gari lake na kumtaka amfuate uwanja wa ndege kwa ajili ya msafara wa hadhi yake. Nabii huyo alieleza kuwa Yesu angekuwa na mtazamo tofauti, akiamua kukaa naye na kuchagua gari miongoni mwa alizonazo ili kuendana na hadhi...
  14. Ibrahim hamadi

    Natafuta kazi ya Udereva

    Habar za muda huu Asalem aleykum, Ndugu jama na marafiki nipo hapo Leo kuelezea changamoto yangu kwenu nipo hapa kuomba Kazi za udereva wa kumuendesha mtu, taasisi yoyote ile hatakama ipo gari ya Uber. Niko tayari kufanya mana hiyo Kazi nimesha fanya na account zote ninazo za Kazi. Naomba...
  15. L

    Ndugu zangu Chadema Jeshi la Polisi halina siasa, Niffer na Diva wana siku ya pili leo wako lock up, mngekuwa nyie mko Lock Up hadi leo kelele kibao

    Huwa mara kadhaa viongozi wa Chadema wanapokamatwa na kusafirishwa mikoani wengi tunabeza na kudhani Polisi wanaigiza ama wanafanya siasa, mitandao yote ya Chadema utaona taarifa za kuzusha na ufala mwingi sana, mara Boni Yai kasafirishwa Kilimanjaro, utasikia Malisa kasafirishwa moshi...
  16. Rorscharch

    Ndugu zangu waislamu, nina maswali.....

    Kwanini maeneo ambayo mmejaa nyinyi kuliko Wakristo Dar es salaam kuna uduni wa kiasi fulani katika maendeleo mf. Nenda Chamazi - Mbagala, nenda temeke na maeneo mengine ambapo mpo wengi kuliko wakristo Kwanini watoto zenu wanasoma vizuri tu kwenye shule za Kikristo (mission) ila watoto zetu...
  17. Rorscharch

    Ndugu zangu waislam nina maswali

    Kwanini maeneo ambayo mmejaa nyinyi kuliko Wakristo Dar es salaam kuna uduni wa kiasi fulani katika maendeleo mf. Nenda Chamazi - Mbagala, nenda temeke na maeneo mengine ambapo mpo wengi kuliko wakristo Kwanini watoto zenu wanasoma vizuri tu kwenye shule za Kikristo (mission) ila watoto zetu...
  18. O

    Natafuta kazi ndugu zangu

    Elimu: shahada ya uuguzi. Umri: 31 Jinsia: Me Location: Dar es salaam Nina uzoefu wa kutosha wa kuhudumu, naombeni kazi wakuu. Niko full licenced. Mawasiliano yangu. 0694029955 / 0718605934 Email;omaryabdallahram@gmail.com
  19. masai dada

    Napambana sana niwatoe hatua moja ndugu zangu

    Watoto wakiume naona kama ni ngumu sana kusaidiana. Nahisi kama Mungu ananijalia kipato ili niwainue ndugu zangu. Yaani ninahisi nina jukumu hilo mabegani kwangu, Ila kuna mkubwa wetu mmoja wa kiume aliyetoka simuoni akipush hata kwa kidogo wenzake. Mimi ndo wakike pekee na ninataka ndugu kaka...
  20. Q

    Nimepata nafasi ya kujitolea miezi minne. Je, nichukue fursa au niachane nayo?

    Mimi ni fresh graduate, nimehitimu katika moja chuo kikuu hapa jijini. Taaluma yangu ni ualimu I have bachelor of science with education (biology and geography). Sasa wakuu Katika harakati za kupambana na maisha huku mtaani Toka mwezi wa Saba nilipo maliza, Leo hii nimeitwa na moja ya shule ya...
Back
Top Bottom