Mimi ni kijana wa kitanzania mwenye kipaji cha uchoraji picha halisi ya kitu au mtu yeyote aina ya MONOKROMU ukubwa kuanzia A0,A1,A2,A3,A4 na A5.
Ni ombi langu kupokea kazi kubwa na ndogo za uchoraji kwani ninafanya kazi kwa bei nafuu kwa kumjali mteja.
Nikiwa kama kijana ambaye sina ajira...
Wadau hamjamboni nyote?
Sikia kauli ya kishujaa ya Mama Monica Masanja mkewe mchungaji Masanja
"Kusamehe ni lazima ndugu zangu, ili roho mtakatifu aweze kukaa ndani yako na kufanya kazi na wewe lazima usamehe, lazima uachilie"
Je unampa ushauri gani?
Njozi njema!
Nimepotezana nae mwaka 2015,
Na 2017 mumewe akafariki dunia kwa ajari ya pikipiki akiwa anaenda kazini.
Mumewe alikuwa anaitwa ADAM alikuwa mrefu mweupe alikuwa ni fundi wa vyombo vya moto.
Wakati napotezana nae alikuwa na watoto wawili wa kiume.
Mmoja alikuwa akiitwa RUBEN alikuwa na kama...
Wadau hamjamboni nyote?
Usumbufu niliopata Leo nikienda Morogoro nimejuta kupanda bus
Sitarajii kutumia tena usafiri huo nikienda Morogoro au Dodoma
Panda treni usipoteze muda wako kupanda bus labda kama unao muda wa kupoteza.
Mchana mwema
Jambo ndugu zangu
Naomba ushauri wa mawazo kutoka kwenu
Mwezi wa kwanza mwaka kesho nilichukuwa mke
Lakini baada ya miaka Kazaa Kupita
Yule mwanamke nilianza kuona tabia zake baba yake na mjomba wakashauri familia juu mke wake na mama
Sasa ilo jambo linanitatiza
Sijui nyinyi mnanishauri nini
Naomba kujua experience yako kwenye vitu vya kula kula me nilionaga dodoma labda ndo ardhi yake Safi Sana kuanzia karanga na Nyanya na Viazi na mboga za majani za dodoma ni bora zaidi. Yaani viwe ambavyo vya asili kabisa sio vya Madawa Madawa mengi. Mkoa gani una hiyo ardhi sijafika bukoba...
Ndo hivyo wakuu Hali sio Hali nimeamua nipige yowee mwenye maskio na asikie, maana jiwe limepigwa gizani na Mimi ndo nilikuwa nimejificha humo na jiwe ndo limenipata😓
Mimi ni kijana wa makamo tu zaidi ya vibarua Sina kingine cha kufanya naombeni kazi jaman, Sina ujuzi wowote ule zaidi ya...
1.Nataka Nisaidiwe Kuamsha/Kuzindua Kundalini Gharama Shilingi NGAPI?
🗣️JIBU;- Kuamsha Kundalini Hakuna Atakae kusaidia Si mchawi wala mganga Wala mtabiri Wa Nyota, Hakuna Dawa wala Pete ya kuvaa Itakayo Kusaidia Kuamsha Kundalini.
✍️Hii Ni Nguvu Yako mwenyewe Ipo Ndani YAKO, Mwenye Jukumu La...
Wadau hamjamboni nyote?
Huu ni utani tu ndugu zangu hivyo msiwe na hoja za mihemuko!
Nauliza hicho kiatu hapo chini astahili kupewa mchezaji yupi hasa?
Karibuni tujadili utani!
Mimi ni mzaliwa wa mwisho kati ya watoto tisa, wanaume watano na wanawake wanne
Wakati mzee wetu anaandika urithi aliandikia wanaume wanne tu akaagiza shamba ligawe mara nne tu wakati mimi ni watano wala hakunijumuisha
Mimi sikujua chochote kipindi hicho mana nilikuwa mdogo, baada ya kukua...
Ndugu zangu, kwasasa nipo nje ya ajira. Nahitaji kuchukua mafao yangu ya NSSF. Sasa, jina langu la kwenye account ya NSSF limetofautiana kidoogo na jina langu la kwenye kitambulisho Cha kupigia kura ambacho ndicho kitambulisho pekee nilichonacho.
Yaani Kwa mfano, kwenye NSSF jina ni ZIGONDWA...
Habari za Uzima Ndugu zangu.
Mimi ni Kijana wa Kiume Mwenye Umri wa Miaka 26 Nina Usikivu Hafifu. Hali hii imenifanya Nakosa Kazi / Mishe.
Juzi Niliitwa kwenye Usaili Kwenye Kampuni Ya Ulinzi Ya
"Ws insight Security" iliyopo Msasani. Usaili Nilifanya Vizuri Lakini walipogundua Nina Usikivu...
Samahani ndugu zangu, mwenye uelewa kuhusiana na foundation course naomba ufafanuzi, na pia ni vyuo vipi vinavyo toa hiyo course kwa Masomo ya Mathematics na chemistry (Education)
Vitabu vya dini vinasema kuna maisha huko mbinguni baada ya kifo, ndugu zetu waislamu wameahidiwa mabikra 72 huko peponi.
Yote yaliyosemwa kwenye vitabu vya dini kuhusu maisha baada kifo imebakia kuwa fumbo kwetu, maana hakuna aliyeenda huko na kuleta mrejesho, hata yesu mwenyewe alisema...
Habari kiongozi unasoma post hii naandika nikiwa na maumivu makali mno ya moyo maana najiuliza baba yetu alikosea kutuachia Mali? maana tunawaua watoto wetu, wadogo zetu na ndugu zetu kisa tunataka Mali waliyonayo hii ni sawa ama ni haki?
Mwaka mmoja sasa tangu nimekuwa na rafiki toka kongo...
Ndugu zangu habari za wakati huu
Wanawake tunawapenda sana sema kuna wakati mnachokitafuta mtakipata, sisi wanaume ni binadamu tuu na hatujakamilika kivile.
Umekaa umetulia zako ghafla simu inaingia namba ngeni sauti halisi ya mwanamke haieleweki anaibuka tuu na kusema baby wangu unaendeleaje...
Athari za mvua kubwa zinazoendelea kunyesha huko na kusababisha mafuriko makubwa kutatiza masomo ya vijana, makazi mengi ya watu kujaa maji, miundombinu hususani ya barabara kuharibika, nishati ya umeme kutatizika, shughuli za uzalishaji, biashara na huduma za usafirishaji kuzorota pakubwa ni...
Kichwa cha Habari kinajitosheleza.
Miaka ipi tumeanza kuvalisha watoto pempas je ni 90' au 2000'. Na vipi kuhusu chupi na vipi kuhusu boxer naombeni ufafanuzi.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.