Biashara ntashirikisha familia yangu niliyoijenga (hasa watoto) ama familia niliyotokea (kaka, dada, wadogo zangu, wazazi), nje ya hapo hawa watoto wa mjomba, ma mkubwa, ba mkubwa, ba mdogo, ndugu flani, n.k. sidhani kwakweli, undugu uwepo na ninaweza kuwasaidia mitaji ama kuwasimesha pamoja na...
Yaani natumika sana na watu wanaokuwa na ukaribu na mimi wakihitaji msaada wa kifedha au kihisia
Kwa sasa naweza sema ukiacha ndugu zangu, watu wote waliobaki wana ji attach kwangu tuu wakiwa na shida. Kuna mmoja yakimkuta kwa siku utapokea simu zaidi ya kumi, kila mara, akishatatua shida yake...
Nimefuatilia sana tunapokutana na wakuu wa nchi, mambo ambayo daima mnayaomba kwao ni dhaifu sana, ambayo ni;
1) Tupunguzieni ushuru wa Tende
2) Tupeni vifaa vya kuona muandamo wa mwezi
Bilashaka wakuu wanastajabu lakini wanapiga kimya, watafanyaje sasa maana ndio akili zilipoishia kwenye kuta...
Hili suala la Bandari naona baadhi yenu mmelibeba katika namna fulani ya UDINI, kila nikimuangalia kiongozi wangu wa KIISLAM akisimama mahali analizungumzia katika upande wa UDINI.
Sikilizeni, TEC imejaa watu wenye ELIMU kuanzia ya Elimu Dunia hadi elimu ya DINI (THEOLOJIA), ndo maana utasikia...
Salaam,
Hii ni kwa wale ndugu zangu wa PCB wenye matarajio ya kwenda medical schools(hasa public universities) lakini competition itawaondoa.
Jaribuni kozi nyingine nje ya field ya afya pale itakapo wabidi kama sisi kaka zenu tulivyojaribu.
Inawezekana usichaguliwe huko medical school kwa kuwa...
Wasaalam!
Poleni kwa majukumu, moja kwa moja kwenye mada naomba mnisaidie kwa mnaojua hizi aina za miamala (kwenye picha)
Kuna huu muamala CRDB wanaita
TMS Cash Withdrawal
Desc. Persanal Cash withdrawal
Naomba kujua ni muamala wa aina gani maana kuna kiasi cha pesa 300k nilipokea, nasikutoa...
Huyu hata sijamaliza naye week kumbe naye ni kimeo tu. Sijajua nakosea wapi ninapokuwa natafuta mwenza.
Huyu dada tupo naye Jengo moja la ofisi nlimfahamu muda tu this time nikaona niombe urafiki naye nikitegemea angekuwa na akili maana alisoma IFM ana degree na yupo kazini Bank flan hivi. But...
Wanajamvi poleni na harakati za hapa na pale.
Jamani nakumbuka hili tukio mpaka saivi ilikuwa 2020 ndo nimetoka kambi-jkt nipo zangu nyumbani pale bomangombe nikamuona Dada kama 23 years mambo yakawa fleshi nikampa taarifa ilikuwa jtano kuwa nitafika mjda wa chai.
Basi Siku ilipofika nikaazima...
Habari ya muda huu ndugu zangu, ni matumaini yangu kwamba wote mko poa kabisa na mnaendelea na majukumu yenu vizuri.
Ndugu yenu nina shida moja.
Nilipata ka uvimbe chini ya mstari wa korodani sasa nikahisi labda ni jipu maana kanauma sana lakini kila nkiangalia kama ni jipu basi nilitafutie...
Mimi naishi Mwanza, na ni mwanafunzi niliye maliza kidato cha nne mwaka Jana na nimebahatika kuchaguliwa kwenda A-level (Bwiru Boys Secondary School) katika mchepuo wa PCM.
Nilikuwa naomba kujua ubora wa shule hiyo na uwezo wake katika ufundishaji hili mdogo wenu niweze kupata elimu nzuri...
#mimi ni mwanafunzi niliye maliza kidato cha nne mwaka Jana na nimebahatika kuchaguliwa kwenda A-level( Bwiru Boys Secondary School) katika mchepuo wa PCM.
Nilikuwa naomba kujua ubora wa shule hiyo na uwezo wake katika ufundishaji hili mdogo wenu niweze kupata elimu nzuri itakayo nisaidia hapo...
Wakuu habari!!!
Natumaini tuko poa sote,na kwa wale wapitao katika magumu Basi Mungu aweke rehma zake mambo yaweze kuwa mepesi.
Tuje kwenye mada,ndugu zangu Mimi ni baba wa familia ya watoto wawili na mke mmoja.
Nimeamua nije kwenu nahitaji msaada maana duuh!Hali inakoelekea naona mwanga...
Habari zenu ?
Matumaini yangu nyote ni wazima wa afya mimi ni kijana wa kiume wa miaka 25,elimu yangu ni kidato cha sita nina uwezo wa kutumia computer vizuri sana na nishafanya kazi za research kama research assistance na mashirika kama MDH na NACP.
Nipo hapa wakuu kuomba msaada wa kazi...
INTRODUCTION
Eeeh bwana eeeh! Wazima humu na Heri ya pasaka sanaaa.
NB: Sina maana yoyote ya kudhihaki kutokana na kichwa cha habari.
Anyway baada ya salama twende kwenye mada.
SCENARIO
Nina jamaa angu huu mtaa lilipo duka langu.
Huyu jamaa angu yamemkuta MAKUBWAAAA kwenye ndoa yake (Tumuite...
Nimesikitishwa sana na kitendo cha kijana Hassan kumchoma kisu mwenzake kisa kamuomba maji ya Kunywa.
Ndugu zetu mlioko katika mifungo, mbona mna makasiriko sana kipindi hiki cha mwezi wa toba?
Nashangaa sana kuona mtu akasirika kisa mwenzie anakula.. mnahukumu vipi wakati nyie si Waumbaji...
Kama kichwa cha habari hapo juu.
Ndugu zangu nimesakinisha Ubuntu 22.04 kwenye HP Elitebook Folio 1040.
Nimefanikiwa mpaka mwisho lakini nikizima kuwasha tena inakataa.
Nimejaribu kupita Google lakini sijaambulia kitu.
Naomba mwenye ufahamu anielekeze namna ya kutatua tatizo hili...
Mimi ni mwalimu, mke wangu nae ni mwalimu, tunafundisha shule tofauti lakini ziko jirani. Tumejenga nyumba yetu na tuna watoto wadogo.
Tatizo langu limeanza baada ya kupata house girl mpya ambaye alikuwa ananitega. Uzalendo ulinishinda, tukitoka na wife asubuhi mimi namuacha shuleni kwake na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.