Bachelor of Science in Accounting and Finance hii ndio kozi gani nimeshindwa kuelewa kabisa nipeni ufafanuzi hilo neno Science.
Na ina utofauti gani na BAF
Nimewasikia wengi wakilitumia neno ndoa halali. Wakisema ni mume wangu halili, wengine wakisema mke wangu halali. Wengine wakisema kuwa wamefunga ndoa halali n.k.
Je, mume anaporudi nyumbani asubuhi bila kusema alikuwa wapi hiyo tutaendelea kuiita ndoa halali? Mke na mume kila mmoja hajui...
Waungwana nimejaribu kufanya hivyo nimejikuta natumbukia kwenye website ya nsa.go.
Je hiyo kitaalamu imekaaje? Kuna uhusiano wowote baina ya hilo neno illuminati na hao jamaa wa national security ag?
Nimefarijika na moyo wa Mama Samia, kweli moyo wake una Bwana Mungu ndani yake.
Jana wakati wa kumuaga Eng. Patrick Mfugale alitumia Neno toka Biblia Takatifu, Neno liloleta faraja kwa waombolezaji wengi pale Karimjee.
Alisoma kutoka kitabu cha Joshua 1:9
"Je, si mimi niliyekuamuru uwe...
Mtume Musa baada ya kuwatoa waisraeli Misri aliua sana. Mungu pia aliua sana, alifikia hatua akataka kuwaua Waisraeli wote akamwahidi Musa akisema nami nitakufanya wewe Taifa kubwa na lenye nguvu kuliko wao. Kwanini? Kwasababu walikuwako "hardliners" na waliobobea waliokuwa wakifaidi makombo ya...
Mwamba Mbowe pamoja na Umwamba wake leo amegonga mwamba huko Nachingwea baada ya wananchi kulala barabarani wakilazimisha awasalimie.
Ikumbukwe kwamba Mwamba Mbowe au Mtemi Isike yuko Kanda ya Kusini kwenye kampeni ya Operesheni Haki yenye lengo la kuhamasisha upatikanaji wa Katiba mpya na Tume...
LOGIC:
"Wanaomwita Magufuli MWENDAZAKE wanahatarisha amani."
1. Mtu akimuita Mwendazake, ni hali gani inatokea ya kuhatarisha amani?
2. Marehemu akisikia anaitwa Mwendazake anaibuka na kuleta tafrani nchini kiasi cha kuhatarika kwa amani?
3. Au wafuasi wa Mwendazake kama hawa Viongozi wa...
Neno lipo ..."NISAMEHE"...neno hili ninamaana nyingine ambayo ni ..."NIHURUMIE"...
Linatamkwa hivi (kama mtu anaomba msamaha au ahurumiwe)
"TANYABHERHA"
Neno kuomba/kusihi....."KUSASAMA"
Sentensi "Naomba unisamehe "
"Ndaghosasama tanyabhera"
Kwenye upande wa "kuomba" lipo neno pia...
Wasalam
Nimekua nakumbana na neno hili kwenye manunuzi yangu huko kwenye nchi za Wenzetu (FOB) freight on board or free on board.
Please nimejaribu ku Google Sijapata uelewa mzuri naomba mwenye kujua anisaidie kwa utuo.
Asanteni
Cc CONTROLA
Kumekuwa na kasumba kwa baadhi ya wa Tanzania wa kada mbali mbali pale wanapo elezea jambo sasa inapokuja kuli tafsiri ilo neno au msamiati kutoka English kuja kiswahili, au kiswa kwenda Eng utasikia mtu anasema eti kwa lugha ya kitalaam inaitwa.
Mfano:
Mtalaam wa lishe labda anaelezea...
Mambo si mambo huko Instagram, Mega Star wa Bongo fleva , Diamond Platnumz amemwaga Povu zito Kwa FORBES , jarida linalohusika na kutoa takwimu za ukwasi wa watu maarufu duniani , Kwa kutofanya utafti wa kutosha kuhusu Mali zake ....
Kufuatia post hiyo mastaa mbali mbali wametia Nebo huku...
Wanangu hamjamboni?
Sijui niuite usomi, ujinga, ukoloni wala sijui. Wakati akisoma utangulizi wa Kitabu cha Mzee Ali Hassan Mwinyi, Profesa Rwekaza Mukandala alishindwa mara mbili kutamka neno wahafidhina. Ingekuwa kashindwa kutamka neno la kimombo ungesikia stori kibao.
Je, hii inamaanisha...
Disclaimer:imesimuliwa na Martin Izze
Chimbuko la muziki wa kizazi kipya tanzania na maana halisi neno Bongo Flava (SEHEMU YA KWANZA)
Moja kati ya mambo niyapendayo mno maishani ni muziki.Nimekuwa mfuatiliaji mzuri sana wa muziki si tu ule wa nje lakini kwa karibu ule wa nyumbani hasa muziki...
Nchi yetu inasifika kwa kuwa na waajiri wasiowaaminifu. Hili mimi mwenyewe nimejionea. Sasa basi, ili kusaidia kukomesha hili tupeane mbinu ambazo wafanyakazi wanatumia kuibia waajiri wao. Weka kazi yoyote, uhasibu, ualimu, mabaa medi, fundi ujenzi, udereva nk.
Wizi sio lazima pesa, weka wezi...
Ndugu zangu, nimekuwa kwenye stress za muda mrefu kiasi cha kupata panick attacks mara kwa. Nimekuwa mtu wa kunywa antidepressants sasa.
Naombeni mnipe neno la faraja angalau nione kuwa dunia bado ina watu wema.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.