Kwa utafiti niliofanya kuhusu Taifa kutokuwa na Dini au Taifa kutofata dini yeyote, maneno haya yanapatikana katika katiba iliopo ile ya kiswahili pekee.
Bali sijaona maneno hayo ktk katiba ya kiingereza. Nilitatajia nikute katiba ya kiingereza ikitamka maneno haya;
Our state has no official...
Kwa wateja wetu wa nguvu.
Katika kusherehekea kuadhimisha wiki ya Huduma kwa Wateja, kaulimbiu ya mwaka huu ni Nguvu Ya Huduma.
Napenda kuwapongeza watoa huduma wenzangu wote wa TTCL. Pia kuwashukuru wateja wetu kwa kutuamini, na kuendelea kutumia huduma zetu.
Tunawathamini sana na kuwaahidi...
Habari wakuu !!!leo nimetafakari sana dhana nzima ya uzalendo! Hizi ndo Tabia za mtu mzalendo
1: Ni mwaminifu na mwadilifu kwenye kazi yake na majukumu yake
Mithali 14:5
Shahidi mwaminifu hatasema uongo; Bali shahidi wa uongo, pumzi zake ni uongo.
2: Ni kiongozi ambaye hana upendeleo kwa...
Adolescence ni neno la kimombo ambalo humaanisha umri kati ya utoto na utu uzima. Inakadiliwa miaka kati ya 10 hadi 19.
Umri huu umeitwa majina mengi ikiwemo foolish age kwa maana ya umri wa ujinga.
Kiukweli neno hili ni mtego mkubwa ambao wanadamu wameingizwa bila kujua.
Vijana umri huu...
Tazama clip/video kuhusu Nyumba ya Mwalimu Mkuu Shule ya Msingi Maweni, Kata ya Nguvumoja Wilaya ya Igunga.
Inadaiwa kuna ukosefu wa nyumba za Walimu katika shule ya msingi Maweni na kuwafanya walimu kutembea umbali mrefu kwenda na kurudi shuleni.
Kwanini kila wakati mnashusha bei ya bidhaa zenu ?
Leo unakuta mtu anauza/kutengeneza tovuti kwa laki nne kesho tatu keahokitwa mbili mara laki na 80 sasa hii biashara haiko stable kiasi hicho au inakuwaje wakati mwingine mtu anauza native app kwa laki tatu n.k , embu tuambie hilo soko...
Salaam!
Utenzi huu unabeba dhima ya neno "Ukatili" ambalo limekuwa likitajwa sana, lakini watu wengi wameshindwa hasa kuelewa neno hilo lina maana gani. Shairi hili lipo katika mtindo wa masimulizi kuhusu matukio ya ukatili yanayotokea ndani ya familia, ambapo mabinti yatima mapacha waliokuwa...
Mbunge wa Chalinze Mkoani Pwani Mhe Ridhiwani Kikwete alihudhuria mkutano wa pili wa wadau wa sekta ya mkonge mwaka 2021 na haya ndiyo aliyoyazungumza alipopata nafasi ya kutoa neno kwenye mkutano huo.
#KaziInaendelea.
Alikuwa mmoja wa viti maalumu waliongia kwa nguvu maalumu bungeni.
Sasa hivi dhahama imeikumba chama chetu. Basi anatakiwa kama kada mwandamizi aonekane mbele ya umma.
Atoe neno maana kama chama tunahitaji faraja.
Nawasalimu wana jamiiforums, haswa jukwaa hili pendwa la "stories of change" naimani nyote ni wazima.
Ujumbe huu unalenga kusaidia jamii yote hususani vijana, wafanyakazi, wanafunzi na vizazi vinavyo kuja.Ili kujua maana halisi ya neno "elimu" na kuacha upotoshwaji mkubwa unao toka kwa wazazi...
Ukiona mtu au watu wanatamani ushindwe, uanguke, uumie, ufeli au kupoteza uhai kabisa wewe binafsi mkeo au watoto wako usikimbilie kusema binadamu ni wabaya, binadamu wanachuki, binadamu wanakinyongo, binadamu wana wivu n.k huo ni muda wako kujitafakari.
Kila binadamu ana wivu, kila binadamu...
Hivi umepata kujiuliza unapopita katika mitaa mbalimbali ya mjini Dar au mji mwingine wowote Tanzania, jina la mtaa au eneo husika limetokana na nini?
Kwa mfano, Kijito Nyama limetokana na nini? Au Mlalakuwa, Au Mtoni kwa Aziz Ali n.k, n.k. Labda utadhani imetokea tu ... just ipo ipo, hapana...
Hivi karibuni jeshi la polisi nchini Tanzania limekuwa na mazoea ya kutumia neno Gaidi na Ugaidi katika nchi yetu inayosemekana kuwa ni kisiwa cha amani!
Kwa matukio ya hivi karibuni hususani lile la mbowe la kupewa kesi ya ugaidi na hili la ndugu hamza ambalo IGP Siro amesubutu kumuita Gaidi...
Tunaposema ndani ya CCM kuna watu wanahujumiana au wanamhujumu Rais Samia hamtuelewi mambo yanaanza kuwa wazi sasa. Gazeti mama la chama haliwezi kuandika habari hii bila kuwa na mkono wa viongozi wakubwa ndani ya chama.
Mama shituka mapema you will thank me later.
PIA, SOMA:
- Gazeti la...
Kwa Mjini kama Dar es Salaam na kwingineko si jambo la ajabu kukuta makundi ya watu mabarabarani wakitembea kuelekea huku na kule , wengine masokoni , wengine kwenye viwanja vya soka , wengine wakitafuta Bar nzuri za kunywea pombe zao baada ya uchovu wa hapa na pale , wako pia wengjne...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.