neno

Emmanuel Neno is a Pakistani Christian author and translator.

View More On Wikipedia.org
  1. Mabinti bwana, ukianza nae mahusiano meseji anakujibu neno moja moja, sasa ngoja muanze kukaa nae ndani inakuwa vice versa 😂😂

    KABLA YA KUISHI PAMOJA: WEWE: "unajua baby xxxxxxxxxxxxxxxxxx xxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxccc" YEYE: "k" MKIANZA...
  2. T

    Je Nchi haina wazee wakushauri na neno lao likaogopwa na watawala? Tumechoka na Karma

    Nawaza sana Nawaza sana nawaza nasipati majibu. Nani alimtonya Mh Mpango abwage manyanga na akamsikia mapema nakung'atuka? Alafu akakosekana Mzee wakukishauri kiti badala yake akasogeza kiti kweli? Ina maana Mzee wangu Kikwete na weŵe ukatoa ushauri ambao umetuacha na giza nene kuliko mwanga...
  3. Weka neno la Faraja kwa wapalestina

    Ukiwa kwako hata kama unalala chini, ni kwako.
  4. ASKOFU Mwamakula atia neno kuhusu kuchaguliwa kwa Wassira kuwa Makamu Mwenyekiti wa CCM

    Mhe. Stephen Wasira anaanza kuiongoza CCM kama Makamu Mwenyekiti akiwa na umri wa miaka 80. Pengine, huu ni umri mkubwa sana kwa mtu yeyote kupewa uongozi wa juu katika chama cha siasa. Inawezekana kabisa kuwa Wasira atakuwa kiongozi wa kwanza mwenye umri mkubwa zaidi kushika nafasi ya juu ndani...
  5. Mwenye macho na masikio haambiwi tazama na sikia. Sitii neno hapa, tafakari mwenyewe

    Soma kichwa cha habari cha video, halafu tazama na sikiliza wanachokiongea hao jamaa. Halafu, tafakari kwa kina. https://youtu.be/Uu95VpOzQ3c?si=XxVL8cS2tKG4IkHv Kama muda wako hautoshi au MB chache anzia hapa. https://youtu.be/Uu95VpOzQ3c?si=SGqFhc3PLBRo94Gi&t=788
  6. Asili ya Msemo "Underdog"

    Tanzania, kama ilivyo kwa maeneo mengine ya Afrika na duniani, tunapenda sana mpira wa miguu. Mchezo huu umekuwa sehemu muhimu ya utamaduni wetu, ukijumuisha shangwe, mazungumzo na matumaini ya kila siku. Miongoni mwa misemo maarufu inayotumiwa na mashabiki, wachambuzi wa soka, wataalamu, na...
  7. Jumapili yako.. Tuandikie neno moja la Biblia likupendezalo

    Maana Mungu hakutuitia uchafu, bali tuwe katika utakaso.Basi yeye anayekataa, hakatai mwanadamu bali Mungu, anayewapa ninyi Roho wake Mtakatifu.Katika habari ya upendano, hamna haja niwaandikie; maana ninyi wenyewe mmefundishwa na Mungu kupendana. 1 Wathesalonike 4:7-9
  8. Ipo siku Chalamila litamtoka neno zito, Hata mwenyewe hataamini!

    Huyu Mheshimiwa apunguze maneno ya ovyo. Ipo siku litamtoka neno. Hata mwenyewe hataamini!
  9. R

    Naomba tafsiri ya neno 'exhaust fan" kwa Kiswahili

    Google na chatGTP naona hazinipi majibu yanayoridhisha.
  10. Neno CHAWA linavyowatafuna CHADEMA

    Sasa hivi wanachama wa CHADEMA wamegawanyika makundi mawili, kundi la Mbowe na Kundi la Tundu Lissu. Kundi la Mbowe wanaitwa CHAWA wa Mbowe. Nakumbuka neno hili lilitumika sana kuwatusi wafuasi wa CCM wanao muunga mkono Rais Samia Suluhu Hassan. Sasa ni zamu ya waasisi wa neno CHAWA kunywa...
  11. Cosmas Chidumule - Libarikiwe Neno Hili

    Habari za muda huu kwa wanajamiiForums, ninasikiliza wimbo wa Cosmas Chidumule unaofahamika kwa jina la "Libarikiwe Neno Hili" Muimbaji Cosmas Chidumule Bonyeza hapo chini uushushe kwenye kifaa chako (📀📲🎶).
  12. Neno lihusulo wajane. Usiseme hujaambiwa!

    1 Mzee usimkemee, bali umwonye kama baba; na vijana kama ndugu; 2 wanawake wazee kama mama; wanawake vijana kama ndugu wa kike; katika usafi wote. 3 Uwaheshimu wajane walio wajane kweli kweli. 4 Lakini mjane akiwa ana watoto au wajukuu, na wajifunze kwanza kuyatenda yaliyo wajibu wao kwa...
  13. Ni muda sasa BAKITA kuingiza neno "MBUSUSU" kwenye msamiati: Tumechoka kujieleza

    Kama ilivyojadi kwa manguli wa tasnia ya lugha mbalimbali ulimwenguni, ni kawaida kila mwisho wa mwaka kuingiza misamiati mipya katika lugha zao ili kuendelea kukuza na kuhuisha lugha zao asilia ili zisimezwe na lugha za kigeni. Ni muda sasa tuanze kuingiza misamiati kama Mbususu, Winga, Kwa...
  14. Ukipata Dola 2,000,000 utafanyia nini?

    Inasemekana! Kwa Sasa unaweza ukausaka utajiri na usiufanyie jambo lolote la maana kwenye Jamii!? Matharani ukipata $2,000,000 utafanyia nini!? Naomba kuwasilisha
  15. B

    Neno "tafuta hela" limeua dhana nzima ya neno" mahusiano" na" upendo"

    Kigezo Cha kuwa kwenye mahusiano kimekuwa kimoja🤔tu utasikia watu mtaani Wakina dada wanasema "tafuta hela"?! Utaweza kummliki huyo demu Lakini watu waliojipata kifedha mfano "vunja bei " wakati fulani alipublish sana swala la Kuhonga Ina maana hakuna aspect nyingine zinazowakutanisha watu...
  16. R

    "Eimeeenn!" ni neno ni la lugha gani?

    Haya makanisa yanayoota kama uyoga yanayojiita ya kiroho yana vituko achilia mbali hiyo miujiza feki. Eimeen ni neno la lugha gani? Siyo neno halisi katika lugha mama za biblia.
  17. B

    70% ya wahanga Gaza na Lebanon kunakosemekana kuuwawa magaidi, ni wanawake na watoto. Yawezekana maana ya neno gaidi haijulikani!

    Imekuwa ikiripotiwa na vyombo vya habari vyenye kuegemea magharibi kuhusu magaidi na ugaidi; wengine tukashadadia. Kwamba Israel inapambana na magaidi, na kutokea Oct. 7, 2023 takwimu ndiyo hizi: Bila shaka ndiyo maana kina Mandela, Gaddafi, Saddam, Castro, nk waliitwa magaidi. Kama ilivyo...
  18. Tundu Lissu: Upinzani tumechanganya sana Watu, tunahitaji kiongozi ambaye akisema neno anaaminika

    Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu akihojiwa na Kituo cha NTV cha Kenya amesema “Upinzani unahitaji kuwa na Uongozi wenye maono makubwa na yasiyokuwa na mawenge tofauti na ilivyokuwa hapo Katikati.” Aidha, Lissu amezungumza kuhusu nafasi ya kuwania Urais wa Tanzania kupitia CHADEMA baada...
  19. Je, umeshawahi mkuta mtu anatamka kimakosa neno la kiingereza/ Kiswahili/ jina la mtu hadi ukamhurumia?

    Je, ni neno gani la kiingereza, Kiswahili au jina la mtu ambalo mtu wako wa karibu au mtu yeyote unayemfahamu aliwahi kutamka kimakosa mpaka ukaona aibu kwa niaba yake, Ukamshusha hadhi uliyokuwa unampa au ukamhurumia. Binafsi nimekuwa nikitana na watu tofauti tofauti wasomi na wasio wasomi...
  20. “No hurry in Africa” Neno ambalo mara kadhaa limepotezea muda watu wengi sana

    Mtu kuchelewa ndege ni jambo la kawaida Afrika, kuchelewa kwenye Interview ni kitu cha kawaida, kuchelewa kazini pia. Lakini pia kuchelewa kupata huduma muhimu pia ni jambo la kawaida. Hili ni neno limewahi kukucheleweshea kitu gani cha msingi?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…