Ng'ombe hula nyasi na hutembea kwa kwato. Ng'ombe waliofugwa na binadamu walitokana na ng'ombe-mwitu ili kujipatia nyama na maziwa. Katika nchi nyingi hutumiwa pia kama mnyama wa mizigo anayevuta plau au magari.
Yapo mambo yaliyoibuliwa kwenye haya Maandamano tunayoendelea nayo yanasisimua sana .
Imeibuka Taarifa kwamba yuko Waziri mwenye ng'ombe wengi sana , ambaye anatumia V8 kuchungia mifugo hiyo , yaani iko hivi , wachunga ng'ombe walioajiriwa na Mh huyo wamepewa V8 Kufuatilia ng'ombe hao huko...
Wakuu natumai mko njema kabisa.
Kwa wakazi wa Dar es salaam nawasogezea huduma hii adhimu kabisa. Natoa huduma ya kuuza maziwa ya ng'ombe halisi kabisa, ni maziwa ya ng'ombe OG. Namanisha kuwa ni maziwa halisi yasio kuwa ata na tone la maji, ni maziwa ambayo ng'ombe anakamuliwa kisha unaletewa...
Wananchi wa Kalebezo kata ya Nyarubungo Wilaya ya Biharamulo, wakigawana kitoweo baada ya maafa ya radi kuua ng'ombe 16, mali ya Richard Daudi.
Ajali hiyo ilitokea Januari 13 mwaka.
Ukiwa na bilioni tatu, utanunua gari lipi la kifahari?
V8?
Range Rover?
Mercedes Benz S Class?
Nimeyataja hayo magari kwa kuwa ninayapenda. Na kama wewe ni mpenzi wa magari tajwa kama mimi, unaweza kuyapata yote ukiwa na bilioni tatu, na bado ukabakiwa na chenchi.
Kama kwa hela hiyo unaweza...
Nilikuwa sijui kama kuna ng'ombe mwenye thamani inayozidi milioni tano.
Lakini hii clip imenifungua macho! Ng'ombe wa maziwa anauzwa Tsh 12,000,000/=
Milioni kumi na mbili si bei ya IST used?
Ufugaji wa ng'ombe wa maziwa unalipa!
Katika hatua za ukuaji wangu nikiwa mdogo zamani! Nilibahatika kupata kazi ya kuchunga ng'ombe huko wilaya ya Hanang!
Nikiwa huko porini nilifanikiwa kujifunza mambo mengi sana yakiwemo mbinu za kulinda mifugo, madawa za mitishamba ya binadam, ishara ya mmea kuashilia matukio ya njaa au hatari...
Bara la Afrika pamoja na kuwa na raslimali za kila namna lakini bado ndo bara linaloongoza kwa umaskini kati ya mabara yote 7.
Hii inachagizwa na ukosefu wa viongozi bora.
Viongozi wengi wa nchi za Kiafrika wanafanana karibia kwa kila kitu (ukitoa wachache tu wanaojitambua). Wengi wao hawana...
Habari za wakati huu;
Kutokana na dharura hili eneo lipo Sokoni. Eneo Lipo Boma Ng'ombe kwa Wasomali Eneo lina Boma kama linavyoonekana pichani lenye vyumba 3 sebule Jiko na Dining. Pia kuna boma dogo la vyumba viwili na sebule lipo jirani.
Nyumba ziko kwenye eneo la ukubwa wa 23 kwa 17 Meters...
Hizi dini bana, kwa waislamu ukikamatwa unakula nguruwe ni hatari, kwa wahindu ukikamatwa unakula ng'ombe ni hatari. Watu wanaishi kwa kupangiana cha kukula kwa maagizo ya miungu wao ambaye kila mmoja hamtambui 'mungu' wa mwenzake.
Police in India have arrested three men in eastern Bihar state...
Je, na Wengine ( Wakosoaji uwafananishao na Ng'ombe ) wakienda mbali zaidi na Kukuita Wewe Empty Clove Island Baloon utafurahi nawe Kuvumilia kama Wao wanavyokuvumilia?
Ngoja kwa sasa Ng'ombe ninyamaze.
UZALISHAJI WA NISHATI YA NGUVU KAZI (UMEME AU MZUNGUKO) KUTUMIA WANYAMA..
Katika dunia hakuna nishati ya bure zaidi ya nishati upepo au nishati jua, japo hata nishati hizo, huhitaji vifaa vyenye gharama ili uweze kuvuna kile cha bure.
Ila pia tukumbuke wanyama wanaweza kukupa nishati hizo...
Nikiwa mdogo kijijini kwetu ngulugulu huko wilaya ya ileje Babu yangu alinifundisha namna nzuri ya kumkamua ng'ombe maziwa, nilipewa mbinu kwamba kuna ng'ombe wastaarabu, hauhitaji kumfunga kamba miguu ili umkamue, na kuna ng'ombe lazima umfunge kamba ndipo umkamue, kwa kuwa anaweza kukupiga...
Ingawa ni kama utani na inachekesha ila huwezi amini kuwa ng'ombe akijamba/kutoa ushuzi basi kile kitokacho huambatana na gesi ya methane ambayo huzalisha joto na moto/mwanga.
Wanaharakati mbalimbali wa mazingira wamekuwa wakidiscourage ufugaji/uzalishaji wa ng'ombe kwa wingi na kusema wazi...
Huko Morogoro umetokea mgogoro kati ya wananchi na wamaasai, chanzo cha mgogoro ni wamaasai walipeleka ng'ombe wao mtoni kunywa maji.
Maji ya mto husika hutumiwa kwa matumizi ya kila siku majumbani na wakazi wa eneo hilo, ipo sheria inayokataza mifugo kupelekwa ndani ya mto kunywa maji ili...
Tanzania nzima kila wilaya, kijiji, kata au tarafa lazima kuna kijiwe cha wauza Makonngoro na ngozi za ng'ombe ambazo watu wanakula na kulinda uhai wao.
Hawana uwezo wa kumudu samaki nyama au dagaa.
Hali ni ngumu sana.
Walevi wa pombe kali wanajifariji
MWENYEKITI UWT TAIFA NDUGU CHATANDA AFURAHISHWA NA UTEKELEZAJI WA KIKUNDI CHA WANAWAKE WANAOFUGA NG'OMBE WILAYANI MKALAMA
Mwenyekiti wa UWT Taifa ndugu Mary Pius Chatanda amefurahishwa na utekelezaji wa mradi wa kikundi Cha wanawake Tunza kilichopo Mkalama Mkoani Singida ambacho kimenufaika na...
Basi la kampuni ya Kiruto lagonga Ng'ombe
Bus (Kiruto) linalotoka Dar Es Salaam Kuelekea Mkoa wa Dodoma (Kondoa) liligonga mifungo. Ajali ilitokea tarehe 23/07/2023 saa 12 na dakika 14 jioni
Mifugo iliyokufa
Ng'ombe 08
Punda 02
Mifugo iliyojeruhiwa
Ng'ombe 07
Jamani kichwa kinajieleza.
Kwanza ni kweli mende anazalisha maziwa? Mende hawa hawa tunaowaona chooni? Sasa maziwa yenye yanakaa wapi na wanakamuaje? Halafu eti inasemekana maziwa ya mende yanavirutubisho kuliko ya ng'ombe, si makubwa haya!
Mende walivyo wachafu na wanavyoogopesha leo mtu...