Watu wa Kaya hii wana utaratibu wao, mpangaji hana sauti kwa mwenye nyumba katu, hawezi hata kupiga mluzi nje ya nyumba mbele ya mwenye nyumba, kwanini asione aibu kumpigia kelele mwenye nyumba?
Alipotia nia mwendazake aliwaomba wenye nyumba wampangishe kwa miaka kumi kisha atawarudishia nyumba...