Watu wanasema mficha maradhi kifoo huumbua ..mwanzo nilijua ni mihemko tu ya ujana na umri utakavyozidi kwenda mambo yatakuwa tofauti lkn sasa umri umeenda na kasi imekuwa n 5G,hii kitu ni balaa n zaidi ya njaa na kiu.
Na si kwamba natembea na wanaume hovyo hapana ila huyo mmja niliye nae huwa...