WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Ummy Mwalimu, amedai kuwa amebaini kuwapo wakurugenzi wanaume kutumia vyeo kujihusisha kimapenzi na watumishi wa kike.
Amesema tabia ya wakurugenzi hao inasababisha baadhi ya watumioshi kupigana kwa sababu yao...