ngozi nyeusi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Kama chimbuko la watu lipo africa ina maanisha sisi ngozi nyeusi tuli-stuck katika evolution ndio maana wengi tunafanana sokwe na akili finyu

    Akili zetu tunazijua sisi ngozi nyeusi, kuna hakiko sawa. Katika kubadirika kutoka kwa yale masokwe kuna kitu kilitokea tukabaki katika steji ya ukuaji wa kimaumbile ,personallity na akili.
  2. JamiiForums Tanzania Waafrika/ Ngozi Nyeusi Hatujalaaniwa, Shida Ipo Hapa, Soma Kwa Umakini Mkubwa

    Kwa muda mrefu sasa nimekuwa nikitafiti kwanini ngozi nyeusi lawama zote tunazopewa/tunazojipa katika kufeli kwenye maswala ya kiuongozi/kiuchumi na kujisimamia. Wengi wanasema tumelaaniwa, wengine wanasema hatupo serious, wengine(wazungu na waarabu) wanasema bado tupo kwenye evolution n.k...
  3. JamiiForums Tanzania Kweli ngozi nyeusi inalaana(midnight talk)

    Nimeishi na jamii nyingi za kimatumbi.. Nilicho gundua tatizo sio hali ngumu ya maisha. Tatizo ni sisi wenyewe, we lack emotional awareness, and most people are dumb with degrees and masters. Leo hii nenda maofisini, unakuta jitu lina PhD lakini mentality yake hakuna tofauti na mtu...
  4. JamiiForums Tanzania Kwanini wazazi wanapenda watoto wakae Boarding, Wakati hapafai kwa sasa?

    Asilimia kubwa ya sisi ngozi nyeusi tuna kwepa sana majukumu hasa ya watoto na tunataka watoto wakae Bording mbali na macho yetu, kwamba huko ndio salama na Day sio salama, kwamba kule kuna Mapadri wakorofi, na Masister wakorofi sana. Mzazi yuko tiyali apeleke kitoto cha miaka 7 Bording kikae...
  5. JamiiForums Tanzania Ila ngozi nyeusi 😂

    Mtoto anaenda kisoma computer science chuo kikuu baba mkulima wa mkonge kwanini asisome kilimo akamsaidia baba yake kuongeza uzalishaji wa mazao? Nyumbani hakuna hata laptop hata ya kuchomelea tu that is wasteful of time my ninga Baba fundi cherehani mtoto anaenda kusomea family care inamsaidia...
  6. JamiiForums Tanzania Hii video ya wasira inaonyesha taswira halisi ya ngozi nyeusi

    Msikilizeni huyu mzee akipigania ubunge dhidi ya Ester
  7. JamiiForums Tanzania Sidhani kama kuna ngozi nyeusi yoyote duniani atakaekubali kutoka kama alivyoingia.

    Hata masikini wa kijijini kwake waliokuwa wanalalamika kurubuniwa huduma tena watakuwa wanamsimanga utafikiri wanamcheka kwa nini hakuiwaibia vya kutosha. MENTALLITY ⚡⚡
  8. JamiiForums Tanzania Ukiondoa mihemko ya kidini sisi ngozi nyeusi tunamengi ya kujifunza kwa waarabu tena tuanze na waarabu wa hapahapa Africa

    Habar Ukiacha itikadi za kidini waarabu wametuzidi mbali sana sisi watu weusi hasa kweny maeneo haya 1.Elimu 2. Maendeleo 3.Uzalendo 4.Uthubutu 5.Teknolojia 6.Sayansi 7.Miundombinu 8.Afya na Tiba 9.Michezo 10.Kujitambua 11. Kipato 12.Kilimo 13.Usimamizi wa rasilimali 14.Sio wanafiki na waoga...
  9. D

    JamiiForums Tanzania Mpaka lini waarabu wataendelea kutunyanyasa Ngozi nyeusi?

    KIla mwaka makombe wanachukuwa wao tu. Hivi kwanini wasiende ungana na wenzao wa akina Saudi na Qatar wakapambana na akina Al Nasir na Al Hilal Huko? Huu niuonevu kabisa
  10. JamiiForums Tanzania As of april 2, 2025, hawa ndio watu wenye ngozi nyeusi wanaoongoza kwa utajiri duniani.

    1. Aliko Dangote Utajiri: $23.9 billion | Chanzo: Cement, sugar | Citizenship: Nigeria 2. David Steward Utajiri: $11.4 billion | Chanzo: IT provider | Citizenship: U.S. 3. Robert F. Smith Utajiri: $10.8 billion | Chanzo: Private equity | Citizenship: U.S. 4: Alexander Karp Utajiri: $8.4...
  11. JamiiForums Tanzania Je ni kweli maisha ya Ulaya na Marekani ni magumu au ni mwendelezo wa ngozi nyeusi kukatishana tamaa?

    Wakuu mengi yanazungumzwa kuhusu uzuri na changamoto za maisha ya Ulaya na Marekani. Wengi wetu tunaamini huko ndo watu wanaishi na sisi wengine huku ni wasindikizaji tu ila kuna wengine wanadai eti maisha ya huku bongo ndo mazuri kuliko huko ng'ambo. Wakuu ukweli uko wapi maana mwenzenu...
  12. JamiiForums Tanzania Ngozi nyeusi ni laana?

    Prof. Minzi na wengine! Sijui kama Waafrika kuna siku tuta endelea na kufanikiwa kama wenzetu wazungu, wahindi, wachina, waarabu, nk. We seem to be at the lowest thinking, intellectual and moral level. Kwa nini nasema hivyo? Nimewekeza hela nyingi sana kununua mashamba Mkoa wa Rukwa wilaya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…