Habari wadau
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza. Nahitaji turubali ngumu kama zile zinazofunikia mizigo katika malori makubwa , sihitaji mpya ila itakayopatikana iwe nzima isivuje, hata kama itakuwa ina michoro , picha au matangazo ilimradi iwe ngumu .
Mwenye nayo tafadhali tuwasiliane PM