ngumu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. S

    Mechi ngumu ni kesho, na Yanga akifuzu, basi hata nusu fainali anaweza kutinga

    Naamini mechi ya kesho itakuwa na ushindani mkubwa kutokana na ubora wa timu zote mbili na Yanga asipokuwa makini, anaweza hata kupoteza hiyo mechi. Hata hivyo, Yanga akishinda kesho dhidi ya Watunisia, basi atakuwa na uwezo wa kufika hata nusu fainali. Hilli kiundi linaweza kutoa bingwa kama...
  2. Maisha ni asili kama hautoi ni ngumu kupata kwa mtiririko mzuri

    Hata Kama una Maisha Magumu jiwekee utaratibu wa kutoa hata kidogo unachopata . Yaani kipindi nilipokuwa bahili nilikuwa sipati pesa hata kidogo nilikuwa naishi kiujanja ujanja Lakini hii kanuni ukipata unatoa kidogo wahitaji Basi ngumu kukosa kitu Yaani Kama hautoi Mfumo unakuruka unaenda...
  3. Baadhi ya wanaume wakimbia familia zao kutokana na hali ngumu ya maisha

    Kutokana na hali ya ukame inayoendelea nchini na hivyo kusababisha upungufu wa chakula. Kwenye baadhi ya maeneo baadhi ya wanaume wamekimbia nyumba zao na kuwaacha wanawake na watoto pekee katika familia. Baadhi ya wanawake Wamekuwa wakijitaftia ridhiki kwa kwa kutembea umbali mrefu kuelekea...
  4. Ukahaba uliokithiri vyuo vya elimu ya juu

    Wakuu, maadam suala la ukahaba kwenye vyuo vikuu hapa nchini haipingiki, naomba tujadili leo sababu hasa ya hali kuwa hivyo. Je, ni kupenda maisha ya starehe pekee au kuna sababu nyuma ya pazia?
  5. B

    Vipers vs Simba ni game ngumu sana, Jumamosi Feb 25, 2023

    Simba tuingalie mechi ya Vipers vs Horoya kazi ipo sana. Katikati ya kiwanja Horoya waliweka watu 5 na wamepata sare kwa hiyo St Mary, sio kitu rahisi kwa Simba tujiandaeee. Saidio na Chama kucheza pamoja ni kansa kwetu, lifanyiwe kazi
  6. R

    Tusiombe tuwe na viongozi wenye roho ngumu kama Sudan. Papa anawapigia magoti na kuwasujudia waache vita lakini wao hawaelewi

    Mkuu wa Kanisa la Roma Duniani alikuwa nchini Sudani. Katika kuimiza Amani aliongoa Kwa uchungu sana. Akuishia kuongea Tu Bali akachukua jukumu la kuwapigia magoti kiongozi mmoja mmoja. Pamoja na hayo yote bado hatuoni wakiwa serious kutatua changamoto zao. Wakati papa natokwa machozi wao wala...
  7. Kutoboa kwa sanaa pekee ni ngumu! Hawa ni baadhi ya wasanii walioamua kujiongeza kutafuta kipato cha ziada kwa kufanya biashara

    Najua wengi tayari tunawajua kina Diamond na Sugu, nisingependa kuwaweka hapa maana hawa wapo levo za ma ivestor na mega business owners, washapita stage za kuhaso, kwa sasa wanaweka chao aidha mtaji wa pesa au umaarufu wa jina wanasubiri chao, wameajiri wataalam wa kuwaendesha biashara kama...
  8. Naweka Kumbukumbu Sawa, Murtaza Mangungu ni Mwana-CCM Kindakindaki, Wakili Kaluwa kutoboa ni ngumu sana

    Wakuu kwema? Leo Timu ya Simba SC inafanya uchaguzi wake wa Mwenyekiti wa Timu kupitia wanachama na pia Nafasi ya Wajumbe watano kuingia kwenye Board. Katika wagombea wa nafasi ya Uenyekiti kupitia Wanachamna ni pamoja na Bwana Murtaza Mangungu ambae ndie Mwenyekiti anaemaliza muda wake. Huyu...
  9. Kwa miaka yetu ilikuwa ngumu sana kuwa shoga. Unaanzaje kwa mazingira yale?

    Umesoma shule za kibabe hasa kama Kantalambo, Mazwi, Urambo, Lutengano, Ndembela, Iyunga, Tabora Boys, Majengo, Ruvu, Kibiti n.k Unaanzaje kuwa shoga? Lazima matako yatakaza tu nakwambia. Kazi za mbilingembilinge za huko. Darasa likipiga kelele wanakuja walimu pale mlangoni wamejipanga na kila...
  10. Bila upendo na umoja ni ngumu sana kuuondoa umaskini kwenye familia

    "Bora mtu baki kuliko ndugu" Hii ni kauli maarufu sana nyakati hizi kwasbabu ya upendo wa wanafamilia wengi kupungua baina yao. Wanafamilia wamekuwa hawapendani na kupelekea umaskini kuzidi kushamiri. Kwanza tujue kuwa bila familia imara hakuwezi kuwa na taifa imara. Mafanikio ya taifa yanaanza...
  11. Kwa hali hii kuoa au kuolewa ni kazi ngumu

    Kutoka Kiaraka, Magegeni, Bagamoyo mkoa wa Pwani, kumetokea utata juu kuzikwa kwa mwili wa marehemu Massawe ambapo upande wa mke wanataka mwili usafirishwe na upande wa mume na majirani wakitaka marehemu azikwe nyumbani kwake Kiaraka walipojenga na mke wake. Kutokana na utata huo mke...
  12. S

    TRA Wamepandisha kodi kwa magari yanayoingizwa nchini

    Washapandisha kodi kitambo. Baadhi ya gari zimeongezeka hadi milioni. Angalieni TRA tax calculator. ===
  13. D

    Elimu siyo ngumu lakini mambo kama haya ndiyo yanaifanya iwe ngumu kwa watoto; Wizara ya Elimu, BAKITA boresheni

    Huu ni mfano mdogo tu unaoonesha hatujui tunachokifanya kielimu! Tazama majina ya sayari kwa kingereza halafu ulinganishe na kiswahili chake, huu ni mzigo kwa watoto lakini hatuoni kama taifa! Miaka saba asome majina kwa Kiswahili halafu tena kitu kilekile aje aanze upya kukisoma secondary...
  14. M

    Hali imekuwa ngumu sana Kanda ya Ziwa, familia zinajikomboa kwa kununua debe la udaga, mahindi na dagaa

    Zamani kanda ya ziwa hali ya maisha ilikuwa safi sana. Samaki na vitoeo vya kila namna ilikuwa bei chee. Leo hii debe la udaga Tsh 27000. Inabidi kujiongeza kwa ugali na dagaa mwezi mzima.
  15. Kweli Hali Ngumu mpaka Muda huu 0-0

    No Mwaliko no invitation na mchezo ndo unaelekea mwishoni bado 0-0
  16. Wazazi wapumzisheni watoto wenu. Ngoma hii ni ngumu, wapeni moyo

    WAZAZI WAPUMZISHENI WATOTO WENU; NGOMA BADO NGUMU. WAPENI MOYO. Anaandika, Robert Heriel Inawezekana wewe ni miongoni mwa Vijana mnaopitia kipindi kigumu Kutokana na shinikizo la wazazi wakikutaka Uajiriwe. Licha ya kuwaambia upatikanaji wa kazi umekuwa ni mgumu lakini bado wazazi wamekuwa...
  17. Putin kwa mara ya kwanza alia hali ilivyo ngumu kwenye uwanja wa mapambano huko Ukraine

    Akiwahutubia wana usalama, amesema ngoma ni ngumu sana pale Donetsk na Lugansk, yaani huyu jamaa ni kama huvuta bangi, nakumbuka alipompa Zelensky masaa 24 aihame nchi, leo analia lia... Na atakoma ubishi maana kipindi cha baridi kali kinakaribia, wanajeshi wake wako kwenye nchi ya watu, watu...
  18. Halotel nimewavumulia vya kutosha, kwaherini

    Niliwaamini Sana niliwavumilia Sana. Najua nikiangalia salio nimechangia kampuni yenu na vinatosha. Narudi nyumbani. Inatisha, nimekuwa nikununua airtime tena via halopesa, nimefanya hivyo kw mtindo wa si chini ya 8-9000 Kwa siku..... Kwa mwezi mzima haipungui 9000*30 =270,000 Kwa uchache...
  19. Rufaa dhidi ya Sabaya ngoma ngumu bado

    Rufaa ya kupinga kuachiwa huru kwa aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai, mkoani Kilimanjaro, Lengai Ole Sabaya imeahirishwa hadi kesho Jumanne Desember 13, 2022. Rufaa hiyo ilikatwa na Serikali ikipinga hukumu ya kuwaachia Sabaya na wenzake watano iliyotolewa Juni 10,2022. Juni 10,2022 Sabaya na...
  20. Je, ni kweli Bongo maisha yamekuwa magumu kwa sasa? Nimepigwa mzinga na wahitimu watatu ndani ya siku moja. Kiwango wanachoomba ndiyo kimenishangaza!

    Toka Mwezi wa tisa nimekuwa nikipigwa mara KWA mara simu na watu ninao wafahamu wakiomba kukopeshwa hela. Wanasema maisha yamekuwa magumu sana hela hawaioni. Leo nimepigwa simu na watu watatu graduates ambao ninafahamiana nao. KILA mmoja kanipigia KWA wakati wake. HAWA ni graduate ambao...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…