Tokea ipate uhuru Pakistan hakuna waziri mkuu aliyedumu kwa mda wa miaka 5, wengi wao ni miaka 4, 3 au siku kadhaa tu, hii inatokana na mfumo wao wa bunge ambao Mara nyingi unamuwih vigumu kwa mgombea kuwa na majority bungeni, hii inalazimisha kuunda serekali ya mseto ikitokea pande moja uhalali...