Urusi imefikia hatua za kuomba usaidizi wa wastaafu maana hali imekua balaa, Ukraine japo kataifa kadogo lakini kamehimili na kupangua mapigo yote, na kama kawaida kwa vita vya muda mrefu huhitaji wanajeshi wapumzishwe ili wengine waje kwenye mapambano, sasa imekua vigumu kuwarejesha nyumbani...
Utakuta demu anajifanya anataka Serengeti lite au Heineken wakati kiuhalisia bia yake safari laga.
Mi kuna siku demu kaniomba nimnunulie bia kulaleki anayaka Castle Lite wakati mi mwenyewe nakunywa Plisna
Nilimnunulia moja alivyotaka nyingine nikamwambia hapa tutakunywa plisna na double kick...
Muda kama huu Hayati Magufuli angeshakemea vitu kupanda bei. Leo hii mafuta ya kula lita 10 Tsh. 63, 000 huku lita 20 ikiwa ni Tsh. 117,000.
Wauza mihogo ya kukaanga biashara imewashinda sababu ya mafuta kupanda sana na sio kwamba hakuna wateja.
Tambi na ngano vimepanda bei mapema. Je, mwezi...
Hii nchi ni ngumu sana wadau, eti hapo mtu kashaliwa kichwa Hali ya kuwa alishawahi kuitwa Interview 2 na akafanya.
Alafu hawataki hata kupitia tena majina maana wengine walipeleka kwa Hakimu Ila bado wameandikiwa vivyohivyo.
Hii nchi ngumu sana inafikia kipindi mtu unawaza Why umezaliwa nchi...
Familia nyingi zina watu mizigo.
Ninaposema tabia mizigo ninamaanisha watu wenye tabia ngumu kumeza. Watu ambao wanavumilika tu kwasababu ni ndugu au wazazi lakini kiuhalisia hawafai hawafai! (Yaani kama ni chakula basi hawafai kwa kulamba, kutafna au kulumangia). Na hizi tabia ngumu za wazazi...
1. Kuangalia zile movies zinazoelezewa kwa kiswahili. Ukikuta mtu mwenye Elimu anafanya hivi jua ndo vile vyeti ....vileeeee. ..
2. Kuangalia tamthiliya za azam zinazungumzwa kiswahili wakati zilikuwa na lugha yake ya asili
3. Kuangalia vichekesho vya kipuuzi vya akina majuto,mkonjani n.k...
Hizi jela zetu zimekuwa sehemu ya mateso na sio sehemu ya kumrekebisha mtu tabia.
Mfano hapa jela ya Mbeya Mjini watu wanafanya kazi asubuhi hadi saa nane mchana, hio kazi wanayofanya ni nzito ambayo uraiani anastahili malipo ya chini iwe kumudu milo miatu lakini wao wanapewa chakula mara moja...
Sikatai kuna tatizo la ajira lakini ukirudi nyuma tatizo la ajira linakuja kwa upande fulani watu kufanya ajira kukosekana kwa mambo haya.
Mchango mkubwa ajira hupo kwenye sekta binafsi na watu binafsi.
Hizi sehemu sio kwamba zinashindwa kupanua wigo mkubwa ajira bali ni kutokana na changamoto...
Kwa masikitiko makubwa kwa vijana wanaosoma na wazazi kusomesha.
Jana nimeshuhudia wimbi kubwa la Majobless wa Leo na baadae. Ni baada ya kuhudhuria usaili wa kazi za kukusanya taarifa za makazi na postikodi.
Nafasi zilikuwa 415 tu kwa Manispaa ya Morogoro ila idadi ya waombaji ni 5500 hivi...
Kwa kweli sijawahi kuwa mshabiki wa vita vyovyote vile kwa sababu siku zote anayeadhirika katika vita ni binadam wa chini kabisa
Watawala kazi yao ni kutoa matamko tu, vitani huwezi kuwaona.
Mungu awe pamoja na wote Ukraine/Russia na wengine watakaoadhirika na vita hii.
Vyombo vinavyosukia pia...
1. Wachezaji wa Simba SC kwa sasa 95% ya Akili zao zipo katika Mchezo wa Shirikisho utakaochezwa Jumapili huko nchini Niger dhidi ya FC Gendamarie.
2. Wachezaji wa Ruvu Shooting FC ambao 85% yao ni Wanajeshi wanajua kuwa Wachezaji wa Simba SC huwa ni Waoga na hawapendi Kugongana hivyo watakuja...
Familia ya baba mama na watoto wawili iliamua kusafiri ili kutafuta elimu nzuri ya watoto na maisha bora kwao wenyewe. Walifika Canada na kuanza maisha.
Hali ilikua ngumu, walikaribishwa na rafiki. Kukaribisha watu wanne nyumbani si rahisi hivyo ilibidi watafute kibarua kitakachowawezesha...
Poleni na majukumu naomba nigusie machache kuhusu hili tukio la mtuhumiwa wa mauaji ya mfanyabiashara wa madini kudaiwa kujinyonga akiwa mahabusu.
Mahabusu ni chumba au jengo kama bweni ambalo mara nyingi linakua na madirisha mawili kwa juu na mlango mmoja wa chuma mengine mbao...
Tuseme ulikiwa unafanya biashara maeneo yasiyo rasmi (machinga) ukatolewa na serikali.
Ukatoka na msingi wako wa 2ml kwenda mtaani kuanza biashara unaamua kuuza kiduka cha vitu vidogo vidogo labda na gas za kupikia majumbani.
Kutokana na msingi kuwa mdogo na hali ya biashara mauzo yako...
Huyu jamaa ni nani na yupo kwa maslahi ya nani? Tukio la kuungua moto soko la Kariakoo alikuwa ni machinga, tukio la kuungua moto Karume yeye ni Mlinzi?na anapata attention ya media. Je huyu ni sehemu ya wale jamaa zetu?
Habari wadau,?
Binafsi nina swali najiuliza sana. Why sijawahi kusikia wanandoa wameuana Zanzibar ama Pemba?
Je, huko hakuna usaliti ama ndoa zao zina miujiza ya ziada.?
Bara kuna kesi nyingi hasa za mume kumuua mkewa ama kumjeruhi ila Zanzibar why hapana?
Unaempenda hakupendi au anakupenda kwa manufaa yake binafsi. Anaekupenda unamuona si wa hadhi yako.
Unapokutana na anaekupenda kwa dhati na wewe ukampenda kwa dhati, Kuna jambo litatokea mnaweza kushindwa kuoana. Mkioana mmoja anaweza kufa mapema.
Mnapendana lakini matatizo hayaishi...
Wale wanaosema tusikope, waje mezani na hesabu, nchi inakusanya Kila mwezi trilioni 1.2. Mishahara inakula bilioni 600, inabaki bilioni 600, hii ilipie umeme, maji, karatasi, mafuta ya magari,posho na mengineyo, inabaki ngapi?
Haya, kama SGR inaweza kula trilioni karibu 20, maana yake serikali...
Jaji Maarufu kimataifa Mhe. Joseph Sinde Warioba ameweka rekodi ya kipekee kwa kuongoza Tume mbili za Rais katika historia ya JMT na katika historia ya Majaji wa Tz. Tume yake ya kwanza ilikuwa ni ya kuchunguza kushamiri rushwa nchini; tume iliyoundwa na Mhe. Big Ben Mkapa ambayo hata baada ya...