Habari wakuu,
Safari ya mafanikio kwa aliyefanikiwa ni rahisi kuisimulia kuliko uhasilia uliopo field. Watu tumekuwa tukitengeneza maneno mengi ya uongo especially maneno ya vijiweni ili mradi kuiridhisha mioyo yetu na hali tulizo nazo.
Ukitazama kiurahisi kufanikiwa na kutofanikiwa ni kama...
Kuna vijana unawaweka dukani unaona kabisa uwepo wao ndio unachangamsha biashara kuanzia kutafuta wateja, ku negotiate, kutangaza biashara, kazoeleka na wateja, n.k. yaani wewe kila ukienda kufunga hesabu unakuta daftari la mauzo linameremeta.
Sasa kijana kaiba lets say elf 5 au 10 kwenye kila...
Moto unauma wewe assume kila siku unaungua kwenye kupika bado nguo za kusugua zinakusubiri. Kazi fulani hivi afu watu wanaidharau vibaya mno.
Sasa mbona na wenyewe wanazingua hawana umoja wao ni watu wanafanya kazi Kwa wakubwa kweli hakuna mjanja wa ku initiate Ka chama Hivi ikawa kazi RASMI...
Hello
Hapo zamani
Njaa nimewahi kulala zaidi ya mara moja.
Nimewahi kukosa mahali pa kulala.
Nimewahi kulala porini peke yangu.
Nimewahi kushikwa mjini kwa kosa la uzurulaji.
Nimewahi kukataliwa na mtu niliyemwamini kutia Saini fomu yangu ya kujiunga kidato cha 5.
N.k.
N.k
Baada ya miaka...
"Nilikuwa naamka saa 12 asubuhi naenda kwenye mihangaiko yeye namuacha amelala, nilikuwa naacha elfu 40 mezani haongezi hata elfu 5 tunakula hiyo elfu 40 siku inaisha anasubiri kesho tena niamke saa 12 nimlishe. Hajitumi, mimi mwanaume ambaye hahangaiki hana maana kwangu"-
My take : Yawezekana...
Ukitoka jasho furahia Kazi yake kuu ni kudhibiti joto la mwili. Maji katika jasho yanapovukiza, uso wa ngozi hupoa.
Kutokwa na jasho huondoa uchafu katika michakato ya metabolic na sumu kutoka kwa mwili wa binadamu, na kukuza afya. Jasho hutolewa kupitia pores ndogo sana kwenye uso wa ngozi...
Ukiangalia awamu ya tano na ya Sita kumekuwa na mzunguko hafifu wa fedha kwa wananchi... Pesa imepotea.
Ukilinganisha na awamu ya nne kurudi Nyuma inaonekana mzunguko wa pesa ulikuwa mkubwa mno(pesa ilikuepo).
Nimetafakari na kujiuliza maswali; "inawezekana awamu ya nne kurudi Nyuma tulikua na...
kwa makadirio makubwa mishahara ya wachezaji na benchi la ufundi kwa timu kuu, Yanga princess na vijana ni BILIONI 4
kwa makadirio ya juu, Timu kuu mishahara ni BILIONI 3
Wanaopata milioni 25 wawili
Wanaopata milioni 20 wawili
Wanaopata milioni 15 watatu
Wanaopata milioni 10 sita
Hao wengine...
Rafiki yangu mpendwa,
Tasnia ya elimu ya maendeleo binafsi imetawaliwa na maarifa chanya juu ya mafanikio.
Imekuwa inafundishwa na kusisitizwa watu kufikiri chanya ili kuweza kuchukua hatua na kupata mafanikio makubwa. Hiyo ni kwa sababu mtazamo hasi ndiyo kikwazo namba moja kwa watu...
Mjanja M1 naelekea kuiacha hii biashara ya miamala maana naona mazoea yamezidi kila uchwao, walianza Tigopesa kupunguza asilimia 10% kwenye miamala na sasaivi Airtel wamefuata huo Utoto.
Yani hapa nimlipe Mfanyakazi, nilipe pango, nilipe TRA n.k
Aisee! Hii nchi kila mtu anajiamulia atakacho...
Baada ya kujitunza kwa muda mrefu (mashallah),takribani week 3 zilizopita nikampata kijana mmoja tall, handsome, then black (Mungu anajua kumbaa mashallah) baada ya kunitaka kwa kipindi kirefu basi na Mimi nikaamua kum-bless moyo wangu na ye akanibless Wa kwake.
Binafsi nampenda sana na hii ni...
Ambao tayari tumejijengea uzoefu wa maisha ya kutafuta na kusimamia vpato vyetu ndani ya 12/15 years kipindi chote hicho lakini huu mwaka naona umekuwa mgumu zaidi kuwahi kutokea
Facts
Kwa siku naweza kupokea jumbe za kuombwa Ela zaid ya watu 2/3 na wako seriously na uhitaji wakati huohuo na...
Tuongee serious, suala la kupata mwanamke wa kuwanae kwenye mahusiano kwa upande wangu limekua gumu sana hasa baada ya kuvunja uhusiano na mtu.
Sio kwamba domo zege sijui kutongoza ninauwezo wa kutongoza mwanamke aina yeyote yule Duniani hata awe raisi wa nchi kama kanipa space ya kumtongoza...
Kama mnavyoona wale walianzisha mahakama ya icc wameanza wenyewe kwa wenyewe kuhusu swala la netanyau kukamatwa na hawa wote ni Nato.
Ziko nchi tayali wameshaweka
Msimamo wao juu ya netanyau kumkamata kwa warrant ya icc kama norway,german,spain,france etc.
Lakini kwa jicho. Mbali ukiangalia...
Michi vs KMC ni ngumu, ili tuwabamize mabao 5 ni lazima tuwenna quality players, Ile mechi ya Jana vs Geita angekuwepo Chama, Kibu ambaye alikuwa majeruhi na Mickson wangeweza kuibuka na hata mabao 6 jana, hawa akina Balua bado utoto na uchale mwingi, Jana kama Onana angeanza angalau na yule...
Habari wakuu,
Kiukweli kwenye haya maisha sio lazima ufundishwe kila kitu. Kuna wakati unafika unajaribu kupambana na kulifanya jambo fulani ndipo unakuja kujua mtu mwenye mafanikio ni wa kumheshimu sana. Ml 100 kwa kuzitamka zinaweza kuonekana ni pesa kidogo sana but in reality kuna baadhi ya...
Nadhani kwa sasa Dunia imesimama na majasusi wote Dunia wameamia Iran kunakotukio lakutisha.
Baada ya mvumo na bishindo vingi sasa wenye Dunia yao wameamua kufanya yao pasipo kuwepo ushahidi wakile kimetokea.
Wengi hawajuwi kile kiponyuma ya hili tukio ila Kuna vitu vya muhimu vimepotea kuliko...
Hiki kitu ni hatari sana kwenye hatima ya maisha ya nafsi za watu kuokolewa au kupotea milele: USHOGA na USAGAJI. Ni kweli maandiko yamenyamaza kuhusu msamaha wao. Ila ndugu, usijaribu kufanya vitendo hivi. Nitauliza maswali mawili tu mwenyekiti upeo anijibu:
Anayeweza kuonesha mahali kwenye...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.