nguo

  1. F

    Juma Raibu awavua nguo waliomvua Umeya Moshi

    Aprili 11 mwaka huu baraza la madiwani wa halmashauri ya manispaa ya Moshi lilifanya maamuzi magumu ya kung'oa kwenye kiti chake cha umeya,Juma Raibu ambaye ni diwani wa kata ya Bomambuzi . Miongoni mwa tuhuma zilizomng'oa Raibu kwenye nafasi yake ni pamoja na madai ya rushwa katika utoaji wa...
  2. J

    Shaka awanyosha CHADEMA Kusini Maelfu ya Kadi, Bendera na nguo akabidhiwa kumrudisha Mbowe

    Ziara ya Katibu wa siasa na Uenezi CCM ndugu Shaka Hamdu Shaka amekabidhiwa vifaa mbalimbali vya CHADEMA zikiwemo Kadi, flana, kofia pamoja na bendera sababu kubwa ikiwa wananchi wa kuseni wamemuelewa Mhe. Samia Suluhu Hassan Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika kuwatumikia wananchi...
  3. CCM si wafalme, CCM ya akina NAPE ilichukiwa sana na wananchi watu walichaniwa nguo hadharani huyu Nape ni failed leader hana jipya

    CCM ya Nape ilikataliwa na wananchi wananchi walitengeneza uasi mkubwa ndani ya nchi yao walichukizwa sana na uonevu wa wa viongozi Hali hii imejirudia watu wananyanyasika watu wanateseka machinga wako kwenye Hali ngumu mfumko mkubwa wa bei kuwahi kutokea Tanzania hii Hali inatisha Sana...
  4. Mwanza: Ukivaa nguo ya CHADEMA au yenye Maandishi "Katiba Mpya" huruhusiwi kuangalia mpira wa Simba na Yanga

    Polisi wamepiga marufuku Wafuasi wa Chadema kuingia CCM Kirumba kuangalia mpira wa Simba na Yanga. Wameambiwa Wavue nguo zilizoandikwa KATIBA MPYA au Wasiingie Uwanjani Viongozi wa BAVICHA wakiongea na Polisi Tanzania ili Wawaruhusu Wafuasi wa Chadema waungie uwanjani. Polisi bado wamedinda...
  5. Changamoto ya upatikanaji wa nguo bora za ndani za kiume(boksa)

    Habari za mda wadau natumaini mko poa na mnazisubiri per diem za mama kwa shauku kubwa. Kwa kuzingatia kichwa tajwa hapo acha nijikite kuelezea kero ninayokumbana nayo.Binafsi mimi kwa maisha yangu yote ya ukubwani (kuanzia baleghe)nimekua ni mtu ninayevaa boksa moja kwa siku, hivo...
  6. Marekani: Aliyeua Watoto 19 alikuwa akizomewa na wenzake kwa kuwa masikini na kuvaa nguo mbaya

    Kijana Salvador Ramos ambaye amehusika na mauaji ya watoto 19 na watu wazima wawili jana Mei 24, 2022 katika Jimbo la Texas, Marekani, imebainika alikuwa akizomewa na kuchekwa na wanafunzi wenzake kutokana na hali ya umasikini wake na familia yake. Rafiki wa karibu wa kijana huyo amesema...
  7. Epuka kuvaa / kumvalisha mwanao nguo zenye rangi hizi unaweza kuta unasapoti ushoga bila wewe kujua

    Mapema leo wachezaji wa Norwich city wakati wakicheza mchezo wao wa mwisho, england premier league dhidi ya totenham. Wamevaa tishert zenye rangi za kishoga wakimsapoti mchezaji wa Blackpool fc inayoshiriki ligi ya daraja la tatu huko wingereza aliyejitangaza kuwa ni shoga. Wapo wengi tu...
  8. L

    Fundi tunataka nguo zetu za Idd

    Leo ndo Idd, hutuambii kitu.
  9. Nusu ya wanaume Ulaya hawafui mashuka yao. Just Imagine Tanzania hali itakuaje?

    Huko ni Ulaya, wanaume wachafu hivyo, je huku unadhani mashuka yao yatakuaje? Nguo za ndani je? Jamani wanaume wenzangu tujitahidi usafi, uchafu sio uanaume.👇
  10. Napenda harufu ya nguo ya ndani ya mwanamke, nikilala naivaa kichwani inashuka hadi puani

    Nnatabia ambayo sio ya kawaida huwa napenda harufu ya chupi ya mwanamke na nikilala usiku naivaa kichwani halafu naishusha hadi puani inaziba pua kale kaharufu najihisi niko peponi. Je, nina shida? Ila iwe imevaliwa hata wiki na isifuliwe.
  11. Wanaovaa nguo za wapenzi wao huwa ni lugha ya picha kwa 'shoo' wanayoipata ndani

    Ukiona mdada anavaa nguo za mpenzi wake wa kiume, kama; mashati, tshirt, bukta, boxa, suruali, vest n.k Juwa mmewe/mpenzi wake anamkoleza ipasavyo. Ni vigumu, mtu kusema habari za mpenzi wake; hasa mambo ya sirini na kuyaweka hadharani. Ila kwa kuangalia vitendo, utagundua uwezo wa mwenza wake...
  12. Fundi wa kushona nguo Morogoro Mjini anahitajika

    Habari za humu ndani wakuu, kama heading inavyojieleza mimi nipo morogoro mjini ninayo cherehani ila nina majukumu mengine yanayonibana,natafuta mtu aliye serious na kazi na anajua kushona vizuri nimkabidhi cherehani kwa makubaliano maalumu tuweke kijiwe tupige kazi. mwenye uhitaji huo nicheki...
  13. Natafuta Mashine za kufulia Nguo

    Salamu Jf family Natafuta mashine za kufulia nguo na kukausha kwaajili ya biashara,kuanzia 12kg na ziwe zile za kufungukia pembeni na zenye sehemu ya kuweka sarafu.Kwa yeyote mwenye taarifa sahihi tafadhali ni PM Shukrani.
  14. Sababu ya magenge ya chipsi kufa

    SWALI LA KWANZA UNAPENDA AU UMEWEKEZA TU.?? Leo nataka nitoe mfano mmoja kwa kutumia GENGE LA CHIPS tu. Hapa naongea na watu wanaopenda sio wanaowekeza ,ndio unawekeza je unapenda ???? kwanza unapenda ??? Usilaumu Usimamizi wakati hufurahii kukaa kwenye Banda la chips mda mwingi Kuna watu...
  15. Nguo za mtumba za watoto sh 500/1000Tzs anayeuza

    Habari za wakati na poleni na mihangahiko. Naulizia Nguo za mtumba za watoto kwa anayefungua mzigo kwa bei hiyo 500/1000TZS tuongee biashara hapa hapa na wengine wanufaike mi ninanunua naenda kuuza nipate angalau faida kidogo. Mimi niko mkoani.
  16. Naomba kupewa maarifa kuhusu biashara ya nguo za ndani za kike

    Naombeni ndugu wajuzi humu ndani mnipe ABC ya biashara ya nguo za ndani kwa wanawake yaani chupi....nina wazo la kufata mzigo Kampala Uganda ila sasa bado sina uzoefu wake so naombeni mnichangie mawazo juu ya hili.....asanteni
  17. E

    Natafuta mtu anayefanya biashara ya uuzaji wa nguo za kiume mtumba Mikoani

    Ndugu habari.. !! Natafuta mtu anayefanya biashara ya uuzaji wa nguo za kiume mtumba mikoani... Nina bidhaa za nguo za jeans suruali, t-shirt ,na pia trak juu na chini.. (GRADE A) bei nafuu tu nipo maeneo ya Tabata segerea Mawasiliano 0744644627 0622531099 Hata pia kwa ulieko Dar Es salaam...
  18. E

    Natafuta mtu anayefanya biashara ya uuzaji wa nguo za kiume za mtumba mikoani

    Ndugu habari.. !! Natafuta mtu anayefanya biashara ya uuzaji wa nguo za kiume mtumba mikoani... Nina bidhaa za nguo za jeans suruali, t-shirt ,na pia trak juu na chini.. (GRADE A) bei nafuu tu nipo maeneo ya Tabata Segerea. Mawasiliano 0744644627 0622531099 Hata pia kwa uliyeko Dar Es salaam...
  19. E

    Natafuta wauzaji wa nguo za mtumba Mikoani

    Ndugu habari! Natafuta mtu anayefanya biashara ya uuzaji wa nguo za kiume mtumba mikoani. Nina bidhaa za nguo za 👖 jeans suruali, t-shirt ,na pia trak juu na chini.. (GRADE A) bei nafuu tu nipo maeneo ya Tabata segerea Mawasiliano 0744644627 0622531099 Hata pia kwa...
  20. Unazungumziaje hii fasheni ya Kim Jong-un, umeona upanga wa nguo yake?

    Mtazame Rais wa Korea, Kim Jong-un katika majukumu yake ya kawaida, wadau tuijadili hii fasheni ya nguo zake alizovaa.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…