Baadhi ya mahitaji ya wadau:
Naombeni kupewa orodha ya maduka ya suti za kiume (za kisasa) yaliyopo Kariakoo. Nahitaji kuyazungukia. Kwasababu ya muda siwezi ku-design kwa fundi ndo maana nataka kuitungua dukani. Shukrani.
Kariakoo au Dar ni wapi tutapata pochi, vitenge na viatu vya kike bei za...
iko wazi kwamba yeye ndiye kiongozi wa juu kabisa wa majeshi yote nchini.
Swali langu ni dogo tu , ni lini Mheshimiwa atavaa sare za polisi ili kuonyesha kuunga mkono juhudi zao za kupambana na uhalifu au ni lazima avae za JWTZ tu kama ambavyo ameonekana mara kadhaa?
Naomba kuwasilisha...
Pichan ni mwaka 1937. kwa mara ya kwanza wanawake wawili
walivaa nguo fupi na kupita barabarani
waliteka akili za wanaume wengi na
kusababisha kutokea kwa ajali nyingi
harabarani
Fundi nguo anahitajika:
1. Awe ana ujuzi kwanza miaka 2 kuendelea.
2. Anafahamu kushona nguo za kike hasa za kwenye mashughuli mbalimbali kama harusi nk.
3. Awe na umri 25 -35
Piga namba 0737 610 682.
Mwekezaji kutoka nchini Uturuki, Bw. Mustafa Albayram ameahidi kujenga viwanda viwili kiwanda cha nguo na kiwanda cha kutengeneza glasi katika eneo la Isanga Mjini Bariadi Mkoani Simiyu mwaka 2020, mara baada ya kuridhishwa na mazingira ya uwekezaji ambapo viwanda hivyo vinatarajia kuajiri...
Wakuu umofia kwenu, hivi dawa ya kutofanya nguo zisipauke ni nini? Maana natumia maji ambayo yana chumvi kwa mbal, sasa nguo zinapauka sana,,,
Sasa ni nini dawa yake ili zisipauke?
Mkuu Naomba unisaidie kuomba ushauri huko
Ni week sasa nimempisha lakin anaomba msamaha nirudi
Ishu yenyewe iko hivi, mwaka huu nilimpata Dada mmoja nesi tukapendana nilikuta amepanga nyumba, nami kwakuwa nilikuwa kwenye shughuli za kikazi maeneo yale nilikuwa nimefikia nyumba ya wagen kabla...
Ili kuinua uchumi na kukuza viwanda vya nguo vya Kenya serikali imeamuru wafanyakazi wote wa serikali na umma kuvaa nguo zilizotengenezwa Kenya kutokana na pamba iliyolimwa nchini humo kila ijumaa na siku za sikukuu. Kwa kufanya hivyo inategemewa kilimo cha pamba kukuzwa na pia kuvipatia soko...
“Harmonize ana nguo ameshanunua kwa gharama ya Tsh. Milioni 6-7 na zipo zimekaaa kabatini, kitu ambacho mimi katika maisha yangu yote sijawahi kukifanya na wala ujinga huo kwanza sina”
Hayo sio maneno yangu mimi ni maneno ya Diamond mwenyewe akimuongelea Harmonize
Unajifunza nini katika...
Umeshawahi kukutana na hili? Utajisikiaje/unajiskiaje unavyorudi nyumbani unamkuta bibie amevaa shirt/t-shirt/pensi ama surual yako? Au akaomba kuvaa saa yako wakati anatoka!
Unafikiria nini juu ya mwanamke kama huyo?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.