Wakuu,
Hivi karibuni kumekuwa na matumizi ya midoli kwa wenye maduka ya nguo kuwavalisha mavazi yanayopatikana kwenye maduka yao
Sasa utakutana na mdoli wa kike umevalishwa sidiria na nguo ya ndani mchana kweupe na umewekwa nje kwa maonesho
Binafsi naona hata kama ni maendeleo ila sio sawa...
Naomba anayefahamu mchanganuo wa biashara ya ushonaji wa nguo anisaidie.nataka nione kama naweza kumsaidia mdogo wangu anaweza kushona nguo.sina uwezo mkubwa lakini jaribu kutumia mini quatations.
Wadau wa JF
Naomba ushauri wenu vitu muhimu vinavyohitajika katika biashara ya nguo, mtaji kiasi gani, changamoto za hii biashara ni zipi?
Nguo za kiume za dukani.
Wakuu naangalia Channel Ten uzinduzi wa nyimbo za kampeni kwa CCM nimeona Adam ndo host lakini kafanya kituko cha hovyo kwa kumpiga bunda Emmanuel Mbasha jukwaani hadi kuanguaka baada ya kuona Emmanuel Mbasha kazidisha masihara japo E Mbasha amezuga na Adam nae kazuga ila wameharibu.
Ni aibu...
Tokea watawala wetu watangaze kanuni zao za "kipuuzi" kuwa kuanzia sasa, hakuna chombo cha habari hapa nchini kurusha matangazo na vyombo vya habari vya washirika toka nchi za nje, hadi kwanza wapate kibali toka mamlaka ya TCRA, wamepaisha mno umaarufu wa vyombo hivyo vya nje maradufu bila ya...
Kumekucha salama,
Leo tarehe 06.08.2020 mgombea nafasi ya kazi ya Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Kwa Chama cha Mapinduzi, atachukua fomu kwenye ofisi ya NEC makao makuu ya Dodoma.
Baada ya kuchukua fomu ataongea na wananchi pia wanachama wa CCM kwenye ukumbi wa White House...
Shikamooni wakubwa zangu wote wa hapa jamiiforums. Mimi mdogo wenu (Last Born) Infantry Soldier nipo mzima kabisa wa afya. Thanks to God the Almighty.
Sio kila muda tunapaswa kusoma na kujadili makala zinazohusiana na masuala ya Cold War, jeshi na ujasusi wa KGB. Leo ngoja tujadili kidogo...
Wadau hivi haijawahi kuwatokea kuna mtu mnakutana naye na kila akikuta anakukuta na nguo zile zile yaani ata mkae miezi miwili alafu siku ukikutana naye anakukuta na nguo zile zile yaani unatamani umwambie ninazo nyingi.
CCM ilikuwa imefikishwa pabaya kiasi cha mtu aliyekuwa anavaa shati au kitenge cha kijani alirushiwa mawe. Leo hii tunaona maelfu ya wananchi wakiona fahari kubwa kuvaa jezi za kijani na wanajitokeza kwa wingi ili wapate nafasi ya kupeperusha bendera za Chama Kubwa.
Mbunge wa Jimbo la Kilwa Kusini Mhe.Selemani Bungara (Bwege) ametangaza kukihama chama Cha Wananchi Cuf na kuhamia chama cha ACT Wazalendo azalendo mara baada ya bunge kuvunjwa hapo kesho.
---
Ifahamike kuwa, nimeitumikia nafasi ya uwakilishi wa wananchi kwa maana ya ubunge wa Kilwa Kusini...
Tangu mwanzo walio wengi walianza kuwa na shaka juu ya haya mataifa ya nje namna yanavyoitazama Tanzania.
Tukio la kuumia kwa mh Mbowe kama inavyodaiwa kuwa alishambuliwa lilileta taharuki kubwa kiasi cha mataifa haya makubwa kuja na matamko mengi.
Jambo la kushangaza ni kitendo cha Marekani...
Hii sasa imegeuka kama style flani hivi kwa sasa na hii inafanyika mikoa mikubwa especially Dar na Arusha. Kina dada wamegeuza sehemu hiyo kua fursa ya kufanya ufuska wao mwingine. Mtu unajiuliza gym hakuna? Basi kama gym gharama, hakuna maeneo special kwa ajili ya hayo mazoezi?
Au labda...
Anaandika Anatropia Theonest Lwehikila (Mbunge wa Viti maalumu Segerea).
_________________
Somo la bure kwa wanawake wenzangu hasa wanaokihama CHADEMA. Endeleeni na tuhuma bandia dhidi ya chama kinachojua kilipowatoa. Leo tumependeza, tunanukia, shukrani halisi zimekuwa mateke.
Semeni yote...
Ikiwa kama watanzania wanaweza kudanganywa na mtu mmoja kama mazombie na bado wakakaa kimya , basi hii itakuwa bahati mbaya sana .
Paulo Makonda ambaye ni Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam alitoa amri kwa wenye nyumba kuwapunguzia kodi wapangaji wao kutokana na ugumu wa maisha uliosababishwa na...
Madai ya kwamba Lijuakali alipata ubunge kwa juhudi zake ni uongo , Chadema ndio iliyompigania hadi akafanikiwa kuwa mbunge , Tundu Lissu anadai kwamba hata mwaka 2013 Lissu alimpigia kampeni lijuakali kuwa diwani wa Ifakara kwa gharama zake
Tundu Lissu anadai kwamba Baba yake mzazi Lijuakali...
Wafanyakazi wa kiwanda cha kuzalisha Nguo cha Winds Group ltd maarufu kama Mazava kilichopo Msamvu, kinadaiwa kuwapa likizo ya miezi 3 wafanyakazi wake bila malipo.
Wafanyakazi wamezuiwa kuingia kiwandani kuendelea na shughuli humo leo Mei, 15.
Wakongwe wa hadithi naomba niwakumbushe juu ya kisa hiki cha kale. Najua kimesimuliwa sana, ila nafikiri si vibaya nikiwasimulia tena.
Siku moja Abunuasi alienda kwa Sultan. Katika mazungumzo akamweleza Sultan jinsi yeye Abunuasi alivyokuwa fundi hodari wa kushona nguo za kila aina. Akamwambia...
Huu ni ushauri kwa mzazi/wazazi.
Ukitaka kujenga au kufungua biashara katu usibadili mfumo wa maisha wa wanao kwa kuwanyima baadhi ya huruma au vitu walivyokuwa wanavitarajia kutoka kwako mzazi.
Mioyo yao ikiumia hutafanikiwa kumaliza ujenzi, na ukimaliza hiyo nyumba itakosa baraka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.