Yanga tuna bao 2 Simba 0. Ushihidi ni huu uzi. Yanga tumeadhamilia kushinda hii match. Wakati Simba tayari wanaonekana kushindwa hii match mapema sana. Hivyo nawashauri wana Yanga tuanze sherehekea Mapinduzi Cup.
Na hili kombe kwa kweli halina sababu ya kutotua Jangwani. Iwe mvua iwe jua...
Jamani tusaidiane katika hili nisijekupigwa huko Kariakoo naombeni msaada kwa wale watu wa mikoani mnaochukua nguo Kariakoo nielekezeni machimbo ya nguo za kike wanapouza kwa bei rahisi nisaidieni.
Kila nikienda naishia tu kwenye nguo za bei jamani nielekezeni tafadhari pia maduka ya urembo...
Wakuu habari za Wakati huu
Twende kwenye mada
Nilikuwa nahitaji kufahamu kama ni kweli kuna baadhi ya Sabuni za Unga unapozitumia mara kwa mara au zaidi ya mara moja huwa zinapausha Nguo?
Kama ni kweli, Je ni Kampuni ipi ambayo Sabuni zao huwa zina Ubora ambao pia hauna athari kwa mtumiaji.
Habari wadau.
Uvaaji wa nguo fupi kwenye baadhi ya mabaa na mighahawa limekuwa ni kama jambo la kawaida ingawa kwakweli halipendezi na ni udhalilishaji wa utu wa mwanamke.
Na Kwasababu hakuna sheria inayokataza jambo hili, inaonekana pia ni sera ya baadhi ya wamiliki wa mabaa na mighahawa...
Mhe. Waziri wa Maliasili na Utalii, naomba nitoe mtazamo wangu kuhusu Mamlaka ya Usimamizi wa Wanyamapori Tanzania (TAWA).
Wenzetu wa TAWA wamekosa weledi na hawatumii kabisa taaluma zao katika kushughulikia Wanyama waliopo nje ya Hifadhi, hakika wanachofanya siyo Profesionalism na Kinahamasisha...
Habari za asubuhi?
Anahitajika fundi mzuri wa kushona nguo za kike.
Eneo la kazi ni Tabata Aroma, Dar es salaam.
Kama unahisi hii ni kazi yako na inakufaa, wasiliana na Dalali - 0744033555
Baada ya uchaguzi kuisha na uteuzi wa Waziri Mkuu na uundwaji wa Baraza la Mawaziri kukamilika, ninaishauri SERIKALI kupitia kwa Waziri wa VIWANDA, biashara na uwekezaji akimulike kiwanda cha NGUO cha urafiki kinachojulikana Kama (TANZANIA-CHINA FRIENDSHIP TEXTILES CO) kilichopo Ubungo jijini...
Kila mwaka huko kaitika Kisiwa cha Sulawesi, Tana Toraja, Indonesia, wafu hufukuliwa kutoka makaburini ili kubadilishwa nguo na kuwatembeza Kijini hapo, watu wa eneo hilo wa kabila la Toraja wana mila ya ajabu inayoiitwa Ma’nene ambayo wanaamini mtu akifa bado yuko nao kwa hiyo inawalizimu...
Sijui nina tatizo au la, ila mimi nachukia sana kuona mwanamke kavaa kyupi,
Na vise versa naenjoy kuona KE akivaa boxer, nakua na amani
Nakumbuka mwaka fulani nilikua na date na tom boy yeye alikua anavaa boxer tu, huwezi mkuta kavaa kyupi, siku ya Kwanza kuonana nae alikua kavaa pensi, afu...
Mikutano mingi ya Chama cha Mapinduzi inapomalizika eneo la tukio watu wenye uniform za chama upotea au kuzibadilisha na hivyo kutoonekana wakiwa wamezivaa kurejea makwao.
Miaka ya nyuma mtaani watu walikua wanaona fahari kuzivaa kuanzia bodaboda, mama ntilie, wajumbe na watu wengine. Ilikuwa...
Wapo watumishi wa mahakama, tume, vyombo vya dola na taasisi nyingine wamekatazwa na sheria kwa kipindi chote Cha utumishi wasijihusishe na siasa lakini aidha kwa kujua au kutokujua leo wanavaa nguo za vyama, wanaposti picha kwenye mitandao wakiwa na nguo za chama Cha siasa na kuandika katika...
Heche ameandika ujumbe huu katika akaunti yake ya twitter:
Nimepokea taarifa kutoka Serengeti mgombea wetu mh. Catherine Ruge, Mwenyekiti wetu wa wilaya mh Francis Garatwa, na watu wengine waliokua ofisi ya Mkurugenzi kudai mabadiliko ya ratiba, wamevamiwa na polisi wamepigwa na kuchaniwa nguo...
Wakuu salama?
Kitambo sijapost hapa ila nimeona leo tuangalie upande wa pili wa shilingi; tuna idadi kubwa sana ya vijana wetu wasomi tena ambao wapo kwenye ajira iliyo rasmi lakini wakati huo huo wanafanya ujasiriamali mdogomdogo.
Sioni tatizo kufanya biashara ila shida inakuja pale ambapo...
Hii ni mara ya pili sasa mafundi nguo wananiharibia nguo zangu!
Namwambia vizuri tu kwa lugha inayoeleweka "...punguza urefu na upana." tunakubaliana... nampa pesa yake nasepa.
Leo nimekuja kuchukua nguo zangu kubabake zimemodolewa zote! Hapa nilipo nimechukia kinoma!
Nahisi sinaga bahati na...
Naomba kwa wale wafanyabiashara wa nguo au watembeaji kama mimi mnaoweza nisaidia kujua ni wapi naweza pata duka la nguo za watoto wa kiume hasa hasa SUTI au pigo zozote za ki ofisi na ki utu uzima uzima naomba mnisaidie location.
Au kama yupo anaemjua fundi mshonaji anaeshona suti kali kali za...
Kupitisha airport cargo yenye nguo za mtu binafsi alizokua anazivaa akiwa huko nje ya nchi alikokua anakaa sasa anarudi nazo bongo. Lakini kama cargo je customs analipia shs ngapi pale airport?
Asante.
Kuna Watu naona wamehoji sana 'posts' zangu nyingi za Kuanzia Jumamosi iliyopita tu hapa Jamvini ( JamiiForums ) huku wakisema kuwa imekuwaje GENTAMYCINE 'nimebadilika' ghafla. Natoa Jibu la jumla jumla kwani huenda wengi wenu ni Wageni Kwangu. Kuanzia sasa hadi Uchaguzi Mkuu nipo 'Kikampeni'...
Namfahamu mwanasiasa mmoja ambaye alikuwa akimtuma house girl kwenda kununua nyama buchani/ supermarket Afrika ya Kusini kila wiki.
Hili la kufua nguo Ulaya, Nairobi au Pretoria ni la kawaida sana kwa viongozi na wengi wao wanakwepa dry cleaners za hapa nyumbani kwa kuhofia kulogwa kupitia nguo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.